UNIVERSTY CORNER... inaitwa masikini na nyingine inaitwa USINICHEKE zote za jamaaa hao na mbili za jamaa wawili wanaitwaa WAR WILL za long kidogo hata jina nimesahau bahati mbaya
 
Kuna wimbo nautafutaga unaimbwa " mwache alewe anapoza maumivu, twache tulewe tunapoza maumivu" mwenye kujua anijuze
 
nipe no nikutumie nina kwenye pc kwa sasa natumia simu
Sijakuelewa. Unao kwenye PC ila sasa unatumia simu akutumie namba umtumie!!!?

Kwa hiyo unaweza kuutoa kwenye PC na kuutuma direct through no ila huwezi kuubandika hapa??
 
Natafuta za legho stars ikiwa na tshimanga kalala assosa.wimbo unaitwa makubwa yamenipata 0765742340
 
Natafuta za legho stars ikiwa na tshimanga kalala assosa.wimbo unaitwa makubwa yamenipata 0765742340
Huo Wimbo unaitwa Fransisca, ninao ila siwezi kukutumia kwa Whatsapp, nitajaribu kuuweka hapa kama itakubali.
Maana tuficha ID zetu sasa simu zetu tumesajiri kwa majina yetu.
 
natafuta wimbo wa Parklane, mdundo miondoko ya funky hivi. Kuna miaka (2000's) beat yake ilitumika sana RFA kwenye kipindi cha magazeti asubuhi...

mwenye nao tafadhali...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom