Kuna wimbo harmonize ameimba na phyno Archana na huu WA body,una Kama mdundo flan IV ,nautafta balaah
 
Kuna wimbo nautafuta mpaka leo sijajua ni nani ila ulikuwa unapendwa kupigwa Sana TBC kipindi cha jioni cha miziki, alieimba ni mdada sijui jina lake, anamwimbia jamaa kwamba , " napotapata mpenzi wangu haupo wala sikuoni, bicoz i love you", harafu ghafla anatoka ndani ameshika kashikilia mabaloon au maputo akakimbia nayo mpaka Maeneo ya baharini akafika pale akayaachilia yakapaa angani!?

Nb: nahisi ntaupata kwa kuambiwa jina tu
 
Naombeni huu wimbo
Moja ya mashairi anasema
Nainda eeeh nainda mama
Rudisha roho namwili mama

Au hata jina la huyu msanii
 
Naomba nyimbo;
1.Niache kazi ya Mradi nitakula kwako - Mzee Makongoro.
2.Tausi ndege wangu - Fundi Konde.
 
Kuna ule remix yake bongo wanaimba "naomba namba tushee wote naomba namba tushee wote.........."I think Ni mnaijer Yule jamaa
 
Kuna wimbo maishairi yake nasema
Sasa baby gal
Sasa baby gal si itani nimekumiss
Nakutafuta nashindwaa..
Sasa baby gal
Tafadhali mwenye kuujua tafadhali sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom