Ray c upo wapi Baby girl mad ice kuna masela wa manzese kila mtu na starehe yke ili game sugu chez mabovu...zipi... nshasahau mkuu...
Kweli mti mkavu hauchimbwi dawaKuna ule wimbo wa 'milioni 50 kila kijiji" -by Mzee baba
simu ya mkononi wa innocent galinoma.zipi... nshasahau mkuu...
Hiyo sina...simu ya mkononi wa innocent galinoma.
Mkuu nasubiriWakuu kuna wimbo aliimba Mez B unaitwa Unaonekana Unaye...mwenye nao anisaidie
Wakuu Gwankaja Kioo Idimi
Tafadhali naomba nyimbo za Jeez Mabovu tafadhali.
Natanguliza shukrani.
Search YouTube May it be - EnyaNatafuta wimbo flani hvi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia