Ni Waziri Mkuu yupi aliyehamia Dodoma?

Ni Waziri Mkuu yupi aliyehamia Dodoma?

Wana Jamvi naombeni mnisaidie katika hili,

Wiki kadhaa zilizopita tulishuhudia waziri mkubwa akiagwa pale airport akiwa kwenye bombardier akielekea Dodoma. Ilisemekana alikuwa anatekeleza agizo la Mheshimiwa Rais, hata alipowasili vyombo vya habari vilionyesha ziara zake alizofanya akiwa Dodoma.

Lakini jambo linalonoshangaza, wiki yote hii waziri mkubwa yuko Dar kwenye ofisi yake ile ile ya siku zote.

Tumeshuhudia akiendelea na majukumu yake kama kawaida.

Inamaana majukumu yake ameshindwa kuyafanyia Dodoma?
majaliwa
 
Leo yupo nachingwea kesho anaenda Ruangwa jimboni kwake atakuwa hapo kwa siku 3
 
Amehama kimakazi sio ki ofisi yaani asubuhi yupo dar Jioni dom, siku nyingine akibanwa sana na kazi analala hapa hapa dar.
 
Au pengine mkuu alieleweka vibaya..labda zoezi la kuhamia Dodoma ni kuhamishia familia na makazi yako na sio kuhamia kiofisi..
 
Mie mzima.
Kimya sana. Wapi hiyo?
 
Full maigizo at work.
Halafu hawa viongozi wakuu wa nchi hawafanyiwi uhakiki wa vyeti, matumizi mabaya ya pesa za umma nk, lakini utawasikia wakiuelekeza mkuki kwa nguruwe daily.
 
makazi yake ya kiofisi ni idodomya lakini hii haimzuii kutekeleza majukumu yake akiwa mikoa mingine. ni waziri mkuu wa JMT na si dom. Muwaambie na wabunge wenu kila mtu akae jimboni kwake na matamko yao yote watolee majimboni
kwa hiyo ziara yake jijin dar inaisha lini ili ahamie mikoa mingine?
 
Drama na comedy awamu hii ni mkakati number one
 
Kama ulizaliwa hapa na kukulia hapa ukiwa mkoani unajihisi kama upo nje ya dunia.. Nna rafiki yangu kazaliwa hapa ila kapangiwa kazi Arusha but mpaka sasa ni miaka kama 2 but hana raha kabisa.. Itakuwa ndo kilichomkuta Majaa
 
Kwa sasa kule Dodoma anawakilishwa na Suluhu, nadhani atakuwa ameenda kumshikia ofisi kwa mda...
 
Back
Top Bottom