Nani?Majaliwa a.k.a Majanga ati anawatumikia Watz! Watz gani hao? Kagera Watz hawana hamu na hawa ma-Bwana yaani Magufuli na Majaliwa!
Huyu bwana Majaliwa inaonsha hana tofauti na yule PM aliyeshindwa kumshauri Rais mstahafu Mwinyi enzi zake kuhusu Muungano kiasi cha kupelekea Zanzibar kujiunga na OIC!
Majaliwa na Rais wake wanaendesha nchi kama Dreva mlevi na utingo wake!Rejea speech ya Rais msahafu Mwinyi(14/10/2014)! Hakuna anayemshauri mwenzake ni mwendo wa KUKURUPUKA,KUSHTUKIZA,KUTUMBUANA na KUVIZIANA!!!
Nchi inaendeshwa kwa MATUKIO NA MAFUNUNU! Haijulikani nani Rais na nani WM yaani wote 2 ni bogus!
Huko mikoani kwene Halmashauri na Majiji haijulikani nani RC,DC, DED, Mweka Hazina, RAS au DAS! Kwa kifupi HAKUNA UTAWALA WA SHERIA, NCHI NI VURUGU TUPU KILA SEHEMU!!!!
Mwaka 1 wa A5 hakuna lolote la maana zaidi ya UBABE na VITISHO! Miaka 4 mbele ni GIZA NENE!!!
Poleni sana Watanzania maskini na yatima mlioachwa na Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere(RIP)!