Ni Waziri Mkuu yupi aliyehamia Dodoma?

Ni Waziri Mkuu yupi aliyehamia Dodoma?

Wana Jamvi naombeni mnisaidie katika hili,

Wiki kadhaa zilizopita tulishuhudia waziri mkubwa akiagwa pale airport akiwa kwenye bombardier akielekea Dodoma. Ilisemekana alikuwa anatekeleza agizo la Mheshimiwa Rais, hata alipowasili vyombo vya habari vilionyesha ziara zake alizofanya akiwa Dodoma.

Lakini jambo linalonoshangaza, wiki yote hii waziri mkubwa yuko Dar kwenye ofisi yake ile ile ya siku zote.

Tumeshuhudia akiendelea na majukumu yake kama kawaida.

Inamaana majukumu yake ameshindwa kuyafanyia Dodoma?
Haha.
 
Usiamini kila unachokiona kwa mwanasiasa........
 
Mlitaka waziri mkuu aende dodoma mara ngapi ofisi ya wsziri mkuu ipo miaka mingi dodoma wa kwanza kuhamia alikuwa samweli malechela kwa sasa mnaposema waziri mkuu ahamie Dodoma ahamie mara ngapi?
 
Huu utafiti wa 4 kwa 1 viongozi wetu wanautumia vibaya kwa kuwa watu vichaa basi ndio muwafanyie hivi sio vizuri viongozi wetu
Hii nne kwa moja itatugharimu sana hasa ukitegemea katika mawaziri wanne pia mmoja ndio hivyo tena .Katika wakuu wa mikoa wanne mmoja ndio hivyo tena.Katika walimu wanne mmoja ndio hivyo tena na katika madaktari wanne mmoja ndio hivyo.kwa mtindo huu tumekwisha😵😵😵😵
 
Wana Jamvi naombeni mnisaidie katika hili,

Wiki kadhaa zilizopita tulishuhudia waziri mkubwa akiagwa pale airport akiwa kwenye bombardier akielekea Dodoma. Ilisemekana alikuwa anatekeleza agizo la Mheshimiwa Rais, hata alipowasili vyombo vya habari vilionyesha ziara zake alizofanya akiwa Dodoma.

Lakini jambo linalonoshangaza, wiki yote hii waziri mkubwa yuko Dar kwenye ofisi yake ile ile ya siku zote.

Tumeshuhudia akiendelea na majukumu yake kama kawaida.

Inamaana majukumu yake ameshindwa kuyafanyia Dodoma?
makazi yake ya kiofisi ni idodomya lakini hii haimzuii kutekeleza majukumu yake akiwa mikoa mingine. ni waziri mkuu wa JMT na si dom. Muwaambie na wabunge wenu kila mtu akae jimboni kwake na matamko yao yote watolee majimboni
 
Makamu wa rais ana ZIARA huko, jana alikua Moro kuelekea Dom.
 
Suala la kuhamia Dodoma ni mtihani mgumu sana kwa Majaliwa na hata kwa Samia Suluhu. Dodoma sio sehemu nzuri kabisa kwa "Executive People to Live"
Kifupi huenda likapelekea baadhi yao kwenda na maji. Ngosha hatanii kabisa.

Keep my word.
 
Wana Jamvi naombeni mnisaidie katika hili,

Wiki kadhaa zilizopita tulishuhudia waziri mkubwa akiagwa pale airport akiwa kwenye bombardier akielekea Dodoma. Ilisemekana alikuwa anatekeleza agizo la Mheshimiwa Rais, hata alipowasili vyombo vya habari vilionyesha ziara zake alizofanya akiwa Dodoma.

Lakini jambo linalonoshangaza, wiki yote hii waziri mkubwa yuko Dar kwenye ofisi yake ile ile ya siku zote.

Tumeshuhudia akiendelea na majukumu yake kama kawaida.

Inamaana majukumu yake ameshindwa kuyafanyia Dodoma?
Huu ni utawala wa kisanii na wakurupukaji
 
Kuhamia dodoma ilikuwa ni sanaa tu na hadaa kwa watz,,,ccm wameanza kupenda ujinga na wasipo angalia kuhamia dodoma itabakia historia
 
Back
Top Bottom