Ni Waziri Mkuu yupi aliyehamia Dodoma?

Ni Waziri Mkuu yupi aliyehamia Dodoma?

Wana Jamvi naombeni mnisaidie katika hili,

Wiki kadhaa zilizopita tulishuhudia waziri mkubwa akiagwa pale airport akiwa kwenye bombardier akielekea Dodoma. Ilisemekana alikuwa anatekeleza agizo la Mheshimiwa Rais, hata alipowasili vyombo vya habari vilionyesha ziara zake alizofanya akiwa Dodoma.

Lakini jambo linalonoshangaza, wiki yote hii waziri mkubwa yuko Dar kwenye ofisi yake ile ile ya siku zote.

Tumeshuhudia akiendelea na majukumu yake kama kawaida.

Inamaana majukumu yake ameshindwa kuyafanyia Dodoma?

Very interesting......Pengine alikwenda kuripoti tu, sasa ndiyo 'anafungashafungasha' mizigo....tehtehtehtehtehteh.....
 
Daslaam pazuri wewe...asikwambie mtu yaani kila siku anazurula daslam eti kahamia dom
 
Eti wanasema ..kali kuhamia dom ni sawasawa na Majimaji ya Songea kuchukua ubingwa wa vodacom premium league
 
Wana Jamvi naombeni mnisaidie katika hili,

Wiki kadhaa zilizopita tulishuhudia waziri mkubwa akiagwa pale airport akiwa kwenye bombardier akielekea Dodoma. Ilisemekana alikuwa anatekeleza agizo la Mheshimiwa Rais, hata alipowasili vyombo vya habari vilionyesha ziara zake alizofanya akiwa Dodoma.

Lakini jambo linalonoshangaza, wiki yote hii waziri mkubwa yuko Dar kwenye ofisi yake ile ile ya siku zote.

Tumeshuhudia akiendelea na majukumu yake kama kawaida.

Inamaana majukumu yake ameshindwa kuyafanyia Dodoma?

huyu anafaa kushitakiwa kwa kudanganya umma wa Watanzania pamoja na Bunge!
 
Matumizi mabaya ya fedha za umma. Lengo la watumishi wa ofisi ya PM ni kupata posho ya kuwa nje ya kituo wanapokuwa Dar, wakati wanaishi majumbani mwao.
 
Wana Jamvi naombeni mnisaidie katika hili,

Wiki kadhaa zilizopita tulishuhudia waziri mkubwa akiagwa pale airport akiwa kwenye bombardier akielekea Dodoma. Ilisemekana alikuwa anatekeleza agizo la Mheshimiwa Rais, hata alipowasili vyombo vya habari vilionyesha ziara zake alizofanya akiwa Dodoma.

Lakini jambo linalonoshangaza, wiki yote hii waziri mkubwa yuko Dar kwenye ofisi yake ile ile ya siku zote.

Tumeshuhudia akiendelea na majukumu yake kama kawaida.

Inamaana majukumu yake ameshindwa kuyafanyia Dodoma?
sanaa mbaya sana
 
Wasubiri TWAWEZA. Watakuja na matokeo ya utafiti unaompongeza Waziri Mkuu Kwa kuhamia Dodoma mwaka jana (2015) kabla hata hajawa Waziri Mkuu!! TWAWEZA hawatakigi ujinga eti!!!
 
Yaan uache dar uende wap??
Hata ningekua mm nisingehama.
Nimewadanyanya nahama mwez wa tisa. Nimehama siku ya mwisho kabisa msije sema mm mwongo. So mtajiju
 
Kamkumbuka demu wake pale konokono Bar, Ferry kigamboni karibu na kwa Scaba Scuba..
 
wana JF walioko Dodoma tuliwaomba wafuatilie kila siku ili kujua Waziri kuu kwa wiki na kwa kila mwezi ni siku ngapi yuko ofisini Dodoma ili baadae wasije watu wakasema ameamia Dodoma jina lakini kazi anafanyia Dar,hiyo ni kazi rahisi sana kuifanya ni kuakikisha kila siku unafika au unaulizia kama waziri yupo ofisini na sisi tuliopo dar tutakuwa tunaakikisha kama yupo ofisini na walioko mikoani watakuwa wanafuatilia kwenye vyombo vya habari ili tusije danganywa kwamba waziri wetu hafanyii kazi Dodoma
 
Namkumbuka Nabii Tito wa Dar (anayepromote wababa kuzaa na maHG)
ANASEMA MBINGUNI NI BAHARINI, labda wakuu hawataki9 kwenda mbali na mbinguni!!
 
Back
Top Bottom