nani pia nilimuona akiendelea na majukumu ofisini kwake magogoni Dar!
Msiwe na haraka. Serikali inahama kidogo kidogo. Hadi mwaka 2020 kabla ya uchaguzi mkuu serikali yote itakuwa imehamia Dodoma na yale majengo yake yote ya Dar yatakuwa yameshauzwa kwa wawekezaji wa mahoteli ya five stars. Kwenye hii transition si ajabu kumuona waziri mkuu aki operate kutokea Dodoma na Dar.
Kahama kiroho lakini kimwili yupo DSM jaman kumbkeni dsm kuna SHIDA NA RAHA ZOTEEEEE nafsi imemsuta
Dodoma alienda kwa ziara kama mikoa mingine safari ya dodoma tutakwenda kwa awamu haaah jamani shikeni adabu zenu mbona mnatufuatilia kila siku haaaWana Jamvi naombeni mnisaidie katika hili,
Wiki kadhaa zilizopita tulishuhudia waziri mkubwa akiagwa pale airport akiwa kwenye bombardier akielekea Dodoma. Ilisemekana alikuwa anatekeleza agizo la Mheshimiwa Rais, hata alipowasili vyombo vya habari vilionyesha ziara zake alizofanya akiwa Dodoma.
Lakini jambo linalonoshangaza, wiki yote hii waziri mkubwa yuko Dar kwenye ofisi yake ile ile ya siku zote.
Tumeshuhudia akiendelea na majukumu yake kama kawaida.
Inamaana majukumu yake ameshindwa kuyafanyia Dodoma?
Waziri Mkuu Mh Majaliwa Kassim Majaliwa ndiyo amehamia Dodoma rasmi kama ulivyosikia na kunaonaWana Jamvi naombeni mnisaidie katika hili,