Ni watu maarufu wanasilimu kwa kasi bongo au watu kusilimu huambatana na kampeni kubwa ya matangazo?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,240
Reaction score
90,297
Wabillahi taufiq,

Nimeona taarifa za kusilimu kwa watu maarufu wa mitandaoni bongo hivi karibuni, kuanzia Pierre Liquid, Snura majanga na Gigy money.

Watu wakisilimu taarifa zao hujaza sana mitandaoni kuanzia kusilimu kwao, kufunga ndoa za Kiislamu na kwenda kuhiji Mecca.

Sijawahi kuona mitandaoni taarifa za watu maarufu kuritadi, wakibatizwa baada ya kubadili dini au wakifanya mambo ya ugalatia.
 
Akili za Kwa mtoro, manyema, kichangani n the like
 
Snura wa chura na Gigy wa chuma wa chuma dah..!! 😹

Nikikumbuka viziwa vya Gigy km maskio ya mbwa nachoka sana..!!
Afu akawa anamuombea sponsor chuma wa chuma kwa Allah amuongezee midolali nyieeeee 😹😹😹

Nchi ngumu sana hii
 
Wabillahi taufiq,

Nimeona taarifa za kusilimu kwa watu maarufu wa mitandaoni bongo hivi karibuni, kuanzia Pierre Liquid, Snura majanga na Gigy money.

Watu wakisilimu taarifa zao hujaza sana mitandaoni kuanzia kusilimu kwao, kufunga ndoa za Kiislamu na kwenda kuhiji Mecca.

Sijawahi kuona mitandaoni taarifa za watu maarufu kuritadi, wakibatizwa baada ya kubadili dini au wakifanya mambo ya ugalatia.
Gigy money? Hahaha huyo hawezi kwenda kanisani atafukuzwa hukohuko msikitini panamfaa
 
Wabillahi taufiq,

Nimeona taarifa za kusilimu kwa watu maarufu wa mitandaoni bongo hivi karibuni, kuanzia Pierre Liquid, Snura majanga na Gigy money.

Watu wakisilimu taarifa zao hujaza sana mitandaoni kuanzia kusilimu kwao, kufunga ndoa za Kiislamu na kwenda kuhiji Mecca.

Sijawahi kuona mitandaoni taarifa za watu maarufu kuritadi, wakibatizwa baada ya kubadili dini au wakifanya mambo ya ugalatia.
Wee waliouacha Uislamu na Kuwa Wakristo liwe Tangazo, huwapendi nini? Si kesho tu magaidi wataenda kata kichwa?
But don't worry ukitaka kujua hali ya islamists ni tete wewe jionee tu mwenyewe mpaka sheikh mkuu ikabidi atoe tamko kuhusiana na uongo wa kurani na hadith za mtume zinavyofichuliwa kwa kasi.
Huu mwaka wanalo hilo. Nafikiri wataiomba TCRA ipige marufuku TT, ama sivyo Ex-muslims watakuwa kibao
 
Back
Top Bottom