ldd
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 790
- 128
Astaghfirullah rabbi min kulli!
hamna lolote, tunapiga kama kawa! malaya 2pige kitimoto 2ache! mdudu balaa!
Astaghfirullah rabbi min kulli!
Astaghfirullah rabbi min kulli!
Astaghfirullah rabbi min kulli!
Tafsiri: Yaaani hakuna haramu alichokiumba Mwenyezi Mungu!
Naombeni kwa wale wazoefu mnijuze, ni wapi naweza pata nyama safi ya mdudu kwa ajili ya kuuburudisha mwili na roho yangu for the weekend, nimechoka sana na kazi zimenibana sana nahitaji mdudu nile nitulie hadi jumatatu.
Asanteni sana kwa wale mtakaonijuza na kwa wale mtakaokasirika nawakaribisha pia ila muache wivu
Ukiwa DAR - Tia mguu kwa Mama Kamche, opp. Kakobe
Ukiwa Songea - Tia mguu Bombambili karibu na Village Park
Ukiwa Cairo Egypt - Caracas Avenue Plot 17B kuna kamgahawa kadogo sana ka Wafaransa
Ukiwa Doha Qatar - Ramada Plaza (Continental Bay)
Ukiwa Maryland USA - Tia mguu Ping Sheng Sichuan Buffet ipo Silver Spring karibu na National Liquidator
Ukiwa Nairobi Kenya - Luthuli Street nyuma ya stendi ya Falcon (Mgahawa wa Wasomali) kitambo sasa sijui kama bado wapo (last time mwaka 2000)
Ukiwa Bagamoyo - Hii barabara inayoenda Kiwangwa, Miono inaanzia makaburini, hatua chache baada ya njia ya stendi
Hii kitu hii

Hii kumbe ndio tafsiri yake, safi sana
Tafsiri: Yaaani hakuna haramu alichokiumba Mwenyezi Mungu!
Makao makuu ya CDM kinondoni mtaa wa Ufipa. Hapo wanagawa bure kabisa.....