Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

Hivi nyie wana jf hamjui kama kula kitimoto ni dhambi? Laaaaa!! yani mpaka mtandao wa jf sasa hivi unanuka kiti moto. Please nauomba uongozi wa jf kwa wale wote wanaotumia hiyo ki2 muwatafutie ukurasa wao mana tukikaa nao karibu wanatupaka shombo.
 
wewe mwenyewe juzi tulikuwa wote kwenye kwene queue halafu saa hizi unakuja na hii maneno ya kitoto namna hii, ulidhani kutumia ID hio ndio hatukufahamu?? Aaaah kumbe umjiunga juzi haya baadae Mpwa, karibu sana
 
hahaa wanafiki kinoma, Zanzibar huwa inapatikana Kanisa la Roman Matajiri wanaokaa sehemu za Mbweni na Chukwani huwa wnapelekewa mpaka home...
wanaoongea humu JF ni vinamba tu[/QUOTE

mi nashukuru kuwa wakati wa mwezi ( ....) huwa tunapata kingi tena kwa bei nafuu bila foleni
 
Mods badilisheni heading ili tuone coverage ya kitimoto nchi nzima. Nimefurahi hii ya dar lakini pale iringa mabanda ya ccm ni "waiti pepa" ya kufa ntu.
 
wewe mwenyewe juzi tulikuwa wote kwenye kwene queue halafu saa hizi unakuja na hii maneno ya kitoto namna hii, ulidhani kutumia ID hio ndio hatukufahamu?? Aaaah kumbe umjiunga juzi haya baadae Mpwa, karibu sana

hapo nimecheka sana!
 
Nenda pale B Bar Sinza kwa Remmy utaakutana na mtaalamu Cheupe, yn hutoacha kwenda ni tamu balaa!!! kila la kheri na Weekend njema

duh..yule white siyo mchezo kabla ya hapo alikuwa pale JJ
 
Hivi nyie wana jf hamjui kama kula kitimoto ni dhambi? Laaaaa!! yani mpaka mtandao wa jf sasa hivi unanuka kiti moto. Please nauomba uongozi wa jf kwa wale wote wanaotumia hiyo ki2 muwatafutie ukurasa wao mana tukikaa nao karibu wanatupaka shombo.

yaani inaonyesha ni jinsi gani unayopenda kitimoto, umesoma heading tu ukakimbilia kuingia kwenye hii thread
 
Nyuma ya nyumba ya Kikwete pale Migombani street....mpaka ya kuchoma...ila pana mhudumu shoga....

shim.gif
shim.gif

shim.gif
 
Aaah! Kila tunachokula kinadhuru mwili na afya cheki. Ng'ombe-rift valley, maziwa yasipochemshwa vizuri- T.B, kuku/bata-mafua ya ndege, hata mboga za majani na matunda siku hz zipo zinazopunguza nguvu za kiume. Lakini hatuishi milele sote tutalionja joto la mauti. So tofauti ya anayezikwa akiwa na ugonjwa na anayekufa na viungo vizima ni nini?
Hajayaona yote hayo yeye ameona magonjwa yaliyopo kwenye kitimoto,ni kituko cha mwaka!!
 
Hivi nyie wana jf hamjui kama kula kitimoto ni dhambi? Laaaaa!! yani mpaka mtandao wa jf sasa hivi unanuka kiti moto. Please nauomba uongozi wa jf kwa wale wote wanaotumia hiyo ki2 muwatafutie ukurasa wao mana tukikaa nao karibu wanatupaka shombo.
Dhambi kwako mkuu!!tusiingiliane imani,kila mtu aendelee na imani yakei!!
 
Nenda banana ukonga pale stendi kwanyuma! Yani kuna baa zaidi ya 400 na kila baa ina jiko la gesi kwaajili ya wakatoliki,usisahau malaya na mashoga wapo wakumwaga!
Tatizo linaloboa kunaombaomba wakutisha yani anaweza kufunulia donda alilona mpaka hamu ya wakatoliki ikaisha kabisa.

ha ha ha ha ha ha ha hii tabia ya kufunuliana hiiii ipo siku akikufunulia unachukua stick una m"poke"
 
Mkuu, nami nilikuwa na shida hiyo asante!
Tuhamasishane kumla abubakali kwa sana kwa ajili ya afya zetu.
Utafiti uliofanyika Wachina ni no1 kwa ulaji wa abubakali hawatupi kitu.
Na ndio wanadamu wanaoishi sana hapa ktk sayari yetu.

ha ha ha ha ha kuna mchina nilimuona anashughulikia utumbo wa Abuu kwaa omo na brash maeneo ya kinondoni
 
hahaa wanafiki kinoma, Zanzibar huwa inapatikana Kanisa la Roman Matajiri wanaokaa sehemu za Mbweni na Chukwani huwa wnapelekewa mpaka home...
wanaoongea humu JF ni vinamba tu
Unafanya kosa lilelile, sidhani kama kuna haja ya kubeza watu hapa. Kama unapenda kula kitimoto basi wewe kula tu kwa raha zako hakuna haja yeyote ya ku-provoke watu wengine. Kama matajiri wa zanzibar huwa wanapelekewa so what?? Au matajiri ndiyo wanaokupangia wewe cha kufanya???!!!
 
Back
Top Bottom