BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,020
Unakumbuka majina ya wanafunzi mliokuwa nao la kwanza? La kwanza sikumbuki ila la kuanzia la tatu nawakumbuka walimu wengi tu na majina yao.
Dada muuza barafu..
Ninakumbuka nilipata rafiki Mwarabu alikuwa na mdogo wake darasa moja. Nimerudi nyumbani bibi alinidhadithia maisha enzi za utumwa, Waarabu walivyoteka watu na kuwapeleka utunwani. Niliapa kuvunja urafiki.Unakumbuka majina ya wanafunzi mliokuwa nao la kwanza? La kwanza sikumbuki ila la kuanzia la tatu nawakumbuka walimu wengi tu na majina yao.
Ninakumbuka nilipata rafiki Mwarabu alikuwa na mdogo wake darasa moja. Nimerudi nyumbani bibi alinidhadithia maisha enzi za utumwa, Waarabu walivyoteka watu na kuwapeleka utunwani. Niliapa kuvunja urafiki.
Bibi alinifahamisha kuwa hata huyo rafiki yako hayajui haya yalifanywa na babu wa babu zake .
Nilimuelewa.
Snoopy Doggy kwenye ROCK AND ROLL HALL OF FAME 2017 anaongea mengi sana kuhusu the late Tupac mojawapo akisema Tupac ndio mtu wa kwanza kumvutisha BANGI..... Na anakumbuka somo hilo walilifanya usiku... Ndio kusema Tupac alikuwa Mwl wa kwanza wa Snoopy ktk WEE SMOKING.... Mlisoma hongera zenu na walimu wenu!
hilo jina ni kweli au umetunga tuMwalimu Nyambi
Kweli hata sie tumefundishwa na mwalimu wa jina hilohilo jina ni kweli au umetunga tu
Kweli mkuuhilo jina ni kweli au umetunga tu
Umemaliza shule gani Ukute tumesoma wote 😃😃😃huyu mwalimu ni mtu wa kusini.Kweli hata sie tumefundishwa na mwalimu wa jina hilo
Snoopy anamsifia sana Tupac hata kuhusu ndoa yake ambayo sasa ina miaka 20 na ushee.
Ndio ndio wa kusiniUmemaliza shule gani Ukute tumesoma wote huyu mwalimu ni mtu wa kusini.
Mwahenya anakwambia utahenya.Daah, Mkuu umenikumbusha hizo nyimbo.. Bahati mbaya Mkwili alitangulia mbele za haki.