Mwl. Gipson Mwasumbwe, shule ya msingi Masoko, 1972
Sent using Jamii Forums mobile app[/Q
Shikamoo baba
Mwl. Gipson Mwasumbwe, shule ya msingi Masoko, 1972
Sent using Jamii Forums mobile app[/Q
Shikamoo baba
Hongera sana mkuu, Mimi mamayangu alikua mwalimu wa darasa la tatuNamkumbuka maana alikuwa mama yangu.
Tena kipindi hicho huyo mwalimu mmoja ndio anakuwa wa masomo yote kwa chekechea, au la 1&2, basi mnamzoea hadi raha.Hongera sana mkuu, Mimi mamayangu alikua mwalimu wa darasa la tatu
Mwalimu Pili, mama yake na Rehema, ambaye pia ni mama yake na Shabani. Madaraka Primary school late 70's
Mwaalimu pili wa shule gani Mkuu.?Mwl. Pili, I loved her very much very beautiful indeed, but she is the late now, I even wanted her to get married to my Uncle whom they didn't even know each other, very interesting!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nnakumbuka mkuu japo nilisoma Zaid ya shule 1 toka la kwanza Hadi la 7Kwa yule aliosoma shule moja toka la kwanza hadi la saba .anaweza kuwafahamu...ila kwa sisi tuliohamahama shule huwezi kumbuka..
Mkuu kiukweli ninawakumbuka WALIMU wangu wa masomo karibu yote wa shule za MSINGI 3 nilizo soma-:Kwa yule aliosoma shule moja toka la kwanza hadi la saba .anaweza kuwafahamu...ila kwa sisi tuliohamahama shule huwezi kumbuka..
Mwaalimu pili wa shule gani Mkuu.?
Atakuwa mwenyeji wa Tanga.Mwalimu Anyitikile Tuntufye Atupele 1997
Ha ha ha! Mchaga wa Rombo huyo.
Kaka ulitaka wauze mchicha shuleni?Ha ha ha! Mchaga wa Rombo huyo.
Walimu wengi sijui kwanini walikuwa wajasiliamali wa ice cream, visheti, ubuyu na barafu hasa hawa wa chekechea na primary.
Sent using Jamii Forums mobile app