Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

Mkuu elewa! Sio chanika mwisho sehemu inayoitwa bodaboda!

Nimemaanisha ukifika chanika mwisho wafate wale wakaka wanaoendesha bodaboda uwaulizee
Yes nimekuelewa Nina enda sana Chanika Nimejenga huko Nina namba za boda boda wa chanika ambazo nimezisave kwa jina: Bodaboda chanika . That's why I was saying am in my phone searching 4 bodaboda chanika.
 
Yes najua na Mimi nitawatafuta baada ya ramadhani ila sitaki mishangazi ya 2004 nataka watoto wa 2006
Kaka huu mji ni wamoto. Jana nipo zangu Mnazi Mmoja nikawaona wamama wengi wa kila Rika (kiujumla huwa nawakuta) wamekaa nje fremu zisizofunguliwa, ikabidi nimuulize mwenyeji wangu kuhusu Ile hali, nikajibiwa kuwa wana Biashara zao 1. Ombaomba 2. Ukahaba.

Hilo la ombaomba nimejiridhisha ni kweli kwaio nataka nikajiridhishe kwenye UKAHABA wao.

NB. Wamevaa vyema haswa, wamejistiri na miongoni mwao ni wazuri unaweza kujiuliza walichokosa na usipate jibu.
 
Picha kwa niaba ya mlalamikaji
 

Attachments

  • Screenshot_20240307-220129.jpg
    Screenshot_20240307-220129.jpg
    295.1 KB · Views: 3
Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.

Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.

Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni makazi ya watu, tena saa tatu tayari wako barababarani.

Ku pretend hili suala halipo, ni kuweka vichwa vyetu kwenye mchanga huku miili yote iko nje.

Ni vema sasa hawa watu wawe na maeneo maalum ya mambo yao, watuachie mitaa /maeneo ya makazi. Si jambo jema kabisa.

Hata ni mtaa moja basi wapeni wakae
Kuwapa mtaa au eneo maalumu haitobadirisha uhalisia kwamba maadili yamevurugika kwa asilimia kubwa sana.
Na kama wanainchi, kama wazazi au wazazi watarajiwa hii tabia inabidi ipigwe marufku kbs.

Wakikamatwa wanajiuza wachukuliwe hatua kali sana ili kunusuru jamii yetu na taifa letu kwa ujumla
 
Back
Top Bottom