Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.

Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.

Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni makazi ya watu, tena saa tatu tayari wako barababarani.

Ku pretend hili suala halipo, ni kuweka vichwa vyetu kwenye mchanga huku miili yote iko nje.

Ni vema sasa hawa watu wawe na maeneo maalum ya mambo yao, watuachie mitaa /maeneo ya makazi. Si jambo jema kabisa.

Hata ni mtaa moja basi wapeni wakae
hahahahaha komaeni tu
 
Imagine umemwambia bwana ako unaenda halafu haujaenda , na yuko karbu na hizo huduma, ....ila ukiona wapo mahali flani jua kabisa hapo kuna wateja.
 
Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.

Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.

Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni makazi ya watu, tena saa tatu tayari wako barababarani.

Ku pretend hili suala halipo, ni kuweka vichwa vyetu kwenye mchanga huku miili yote iko nje.

Ni vema sasa hawa watu wawe na maeneo maalum ya mambo yao, watuachie mitaa /maeneo ya makazi. Si jambo jema kabisa.

Hata ni mtaa moja basi wapeni wakae
kino pale ukitokea mnyamla kabla ya kwa robi wani ni mapema tu tena pembeni wanauza ftari afu wao wako kwa mbele kwenye uwanja alooo. Kazi sanaa. Afrika sana kumepoa siku hizi. Ilikuaga sa12 tu jion hata jua halijapotea, wako kama wote. Vita ngumu hii, ukute hata mkuu nae na kelele zile kumbe ni mteja wao tu.
 
Unajua kwa mtaani yani sehemu za makazi ni jambo la aibu sana, unapita na watoto wako au wazazi ni jambo baya sana
Unapita na watoto (wa umri gani?) wako au wazazi usiku wote huo unaenda wapi? Wewe kama wewe ndio unaeona ni jambo baya sana. Wenzio kwao hiyo ni fursa ya kuchagua bidhaa iliyo bora zaidi. 😁 Ni vizuri wewe na wenzako msiohusika piteni njia nyingine ili msibughudhi biashara za watu na nyie pia msikwazike.
 
Unapita na watoto (wa umri gani?) wako au wazazi usiku wote huo unaenda wapi? Wewe kama wewe ndio unaeona ni jambo baya sana. Wenzio kwao hiyo ni fursa ya kuchagua bidhaa iliyo bora zaidi. Ni vizuri wewe na wenzako msiohusika piteni njia nyingine ili msibughudhi biashara za watu na nyie pia msikwazike.
Serikali i officilize tu tupate na kodi.. wafungiwe meter kwenye vikojoleo ili kujua viwango vyao vya matumizi.
 
Back
Top Bottom