Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,019
- 142,904
Mkuu wewe ni wa imani gani, vitabu vitukufu vinakubali uchawi upo na Mungu aliuleta ili iwe majaribu kwa watu, km ilivyo pombe, wizi, zinaa, na kuwepo kwa Mungu Mwenyewe.
Nakumbuka Central Africa wanasheria ya kuhukumu wachawi, na kuna jela ya wachawi, Mwandishshi wa Aljazeera alimuuliza Mwanasheria wa serikali ktk nchi hiyo kua uchawi haujathibitishwa kisayans hivyo kwann wanaamini na kuwahumu watuhumiwa wa uchawi pale wanapokamatwa? Jibu la mwanasheria liliku. " watu duniani waislam na wakristo wanaamini uweo wa mungu na miujiza ya mungu ktk maisha yao, na hakuna siku mungu alionekana au kuthibitishwa na sayans kua yupo lakini anaabudiwa,iweje ushangae uchawi ambao tunawwza kumuona mtu anasababisha madhara kwa wengine na pngine anakiri kua amemroga mtu au amkula mtoto wa juran aliepotea.
Hivyo ukiwa unaamini kuna mungu basi usiwe mzito kuamni kua kuna uchawi na unafanya kazi yak
Kubwa ni kua na imani kwamba uchawi ni kiumbe cha mungu km simba, kuku, mbingu, ardh, binadamu, mti, upepo n.k. kwakua ni kiumbe tu basi alieumba ndiilo mwenye nguvu na mamlaka juu ya hicho hivyo usiwe na hofu na uchawi ikazidi hofu yq mungu, na usiwe na matumaini na uchawi ukaacha kumtumaini Mungu. Huo ndio mtazamo wangu.
Hakuna uchawi wewe.
Watu tushatoa changamoto kwa wachawi waturoge humu lakini bado tupo tunadunda tu.