Ni wakati gani wachawi huroga?

Ni wakati gani wachawi huroga?

tabia ya kuacha kufanya jambo la msingi/muhimu kwa wakati na kupoteza kufanya jambo ambalo halina maana yoyoote na kutengeneza sababu sababu zisizo na maana mradi usifanye jambo la maana lakini kama kutakua na msukumo basi utaifanya kazi/jambo vizuri sana. Tabia ya kusema suala hili nitalifanya baadae ikikomaa utashika watu uchawi kumbe mchawi ni wewe mwenyewe. Vunja vunja hiyo tabia kwa kuthamini muda, jiwekee malengo na deadline utapona huo ugonjwa.
 
jaman kuna thread ya mshana jr anaeleza jinsi ya kuroga nimeitafuta sijaipata,kwa mwenye ujuz naomba aiweke hapa nisome,sina mpango wa kumroga mtu
 
Mkuu mbona hamaki imekuzidi? Usiwaroge watu, hawa sio mali ya mtu bali ni mali ya Mungu. Ndiye aliye waumba sasa weye wataka kuwamaliza ubaki na nani?? Kwani kakufanyaje? Si umpeleke Polisi au umwachie Mungu amshughulikie??
Miye kwa hilo la kumloga, siungi mkono kabisaaaaa.
 
Ukiuliza hili swali wengi watakuambia usiku...lakini kiuhalisia ni kwamba wachawi huroga muda wowote katika mazingira yoyote na popote.Wale wa usiku ni wanga na washirikina tuu.

Mwanga kazi yake kubwa ni kufurahisha nafsi kwa kukuchezea na kukuchosha lakini hana madhara kivile.

Mshirikina ni mpiga dili na mfanyabiashara ni mtu wa kati huyu ndio mhusika mkuu wa kupeleka kwa wachawi zana za kufanyia madawa kama nywele damu, nguo, nyayo, kucha, viungo vya binadamu kulingana na mahitaji nk nk..

Mshirikina hana muda bali huangalia ni saa ngapi na sehemu gani sahihi ya kufanya yake ili apate alichokusudia (kumbuka mshirikina pia anaweza kuwa mwanga au mchawi )

Sasa basi mchawi yeye ndo yule anayejiita au kujifanya mganga wa kienyeji huyu anacheza na fani zote tatu uchawi ushirikina na ulozi.

Ni mchawi huyu huyu anayeweza kukuroga kwa kutumia ushirikina wake kisha akakutibu kwa kutumia uganga wake ni michezo tu ya kucheza na zana.

Mchawi na mshirikina huweza kufanya mambo yao popote na vile jinsi wapendavyo wao japo kupitia ushirikina hupata vitendea kazi na kupitia uchawi huweza kutoa tiba.

Mpiga zongo ni mchawi si mshirikina japo anatumia ushirikina kukupiga hilo zongo.

Ukikuta umewekewa madawa sehemu jua ni mchawi katumia ushirikina kufanya yake

View attachment 324847View attachment 324848

Lakini usihadaike wala kubabaika siku hizi uchawi wa kweli unapotea kilichobaki ni stori na mazingaombwe.

Kitakachokuumiza ni imani yako na woga wako.Simama na Mungu wako utafunuliwa mengi.
Sio kweli kaka.With due respect I beg to differ
 
Nilikuwa na dawa yangu ya dharura kama zile kwenye koti langu, kwanza niliramba kidogo kuhakikisha iwapo kama kuna uadui uliobaki tumboni ufe, baada ya kuhakikisha nipo sawa sawa nikatumia dawa hiyo kufanya manuizi maalum yakiambatana na vitendo vya kichawi kisha nikarudi na kukaa ili kuendelea na taratibu za mazishi.
Wale wazee walianza kuhangaika bila kutulia sehem moja hali iliyoonyesha wazi kuwa vitu vimeanza kuwasulubu, ila baada ya mda alikuja mzee mmoja mweupe hivi na hakuwepo kabla pale msibani kwani alitokea njia nyingine kabisa........alinisihi na kuniomba radhi kwa kuniambia wale ni watoto tu na wamekosea hivyo anawaombea msamaha na kwamba tumeshakuwa ndugu tutabadilishana ujuzi na kusaidiana mengi.
Akaendelea kuwa alikuwa mbali ila ameona yote waliyonitendea na iwapo nikiondoka na kuwaacha vile itakuwa sina uvumilivu kwenye hizi kazi, mda wote huo wale wazee walikuwa hoi mfano wa watu waliovimbiwa na walilala katika jamvi.......sikuona kama ni vema kupanga ligi hali ya kuwa nipo ugenini na nilichonacho ni kitu cha aina moja wakati wenzako wana nyenzo za kutosha.
Nilirekebisha mambo na nikarudi salama salmini nashukuru.

Yote ni batili chini ya jua na Mungu ndio njia ya kweli
Uongo
 
Teh teh teh ndio.....niliwahi kwenda mji fulani tulipata msiba, wakati wa kula nilipatiwa chakula na wazee watatu wa mji ule.
Nilipoanza kula walikuwa wakiniangalia sana na kama wanaoonyesha jicho la kutaka nile zaidi, nilipomaliza kula nikatapika pembeni chakula chote wakaonyesha kushtuka sana......nikawafuata na kuwaambia kuwa zamu yenu nimeshaiona bado zamu yangu sasa na nikanyanyuka na kusukutua.
Ilikuwa wameweka vitu vikali kiasi ambacho mtu unaweza kwenda na maji hivyo walishtuka kwa kuona mitego yao nimeivuka kirahisi, ndugu Mvumbo, hapo jazba ilishanipanda nikaingia chooni lengo sio kujisaidia bali na mimi kupata wasaa wa kugeuza mashambulizi.

Tumuabudu Mungu atatuepusha na hadaa za dunia hii
Hahaha mwalimu ume skip kitu hapo, tunahiji darsa, ehee choooni ukaunda nini na wewe?
 
Teh teh teh ndio.....niliwahi kwenda mji fulani tulipata msiba, wakati wa kula nilipatiwa chakula na wazee watatu wa mji ule.
Nilipoanza kula walikuwa wakiniangalia sana na kama wanaoonyesha jicho la kutaka nile zaidi, nilipomaliza kula nikatapika pembeni chakula chote wakaonyesha kushtuka sana......nikawafuata na kuwaambia kuwa zamu yenu nimeshaiona bado zamu yangu sasa na nikanyanyuka na kusukutua.
Ilikuwa wameweka vitu vikali kiasi ambacho mtu unaweza kwenda na maji hivyo walishtuka kwa kuona mitego yao nimeivuka kirahisi, ndugu Mvumbo, hapo jazba ilishanipanda nikaingia chooni lengo sio kujisaidia bali na mimi kupata wasaa wa kugeuza mashambulizi.

Tumuabudu Mungu atatuepusha na hadaa za dunia hii
Mkuu unafahamu matumizi ya mnyaa na maajabu yake? Je kuroga kwa kuumba sanamu ya udongo ni kweli? Na je uchawi huo una madhara? Umesema kua kwasasa uchawi umeisha nguvu kwanini ikiwa kwa imani yangu uchawi ni taaluma ambayo Mungu aliishusha kuwapa watu mtihani, na majini wakawafundisha watu uchawi hivyo kwann usiwe hai wakt uliletwa kama mtihani kwetu?
 
Imani za kichawi ni imani tu.

Hakuna jingine la ziada lililo na athari za uhalisia.

Ni mambo ya kufikirika yasiyo na nguvu zozote
Mkuu wewe ni wa imani gani, vitabu vitukufu vinakubali uchawi upo na Mungu aliuleta ili iwe majaribu kwa watu, km ilivyo pombe, wizi, zinaa, na kuwepo kwa Mungu Mwenyewe.

Nakumbuka Central Africa wanasheria ya kuhukumu wachawi, na kuna jela ya wachawi, Mwandishshi wa Aljazeera alimuuliza Mwanasheria wa serikali ktk nchi hiyo kua uchawi haujathibitishwa kisayans hivyo kwann wanaamini na kuwahumu watuhumiwa wa uchawi pale wanapokamatwa? Jibu la mwanasheria liliku. " watu duniani waislam na wakristo wanaamini uweo wa mungu na miujiza ya mungu ktk maisha yao, na hakuna siku mungu alionekana au kuthibitishwa na sayans kua yupo lakini anaabudiwa,iweje ushangae uchawi ambao tunawwza kumuona mtu anasababisha madhara kwa wengine na pngine anakiri kua amemroga mtu au amkula mtoto wa juran aliepotea.

Hivyo ukiwa unaamini kuna mungu basi usiwe mzito kuamni kua kuna uchawi na unafanya kazi yak

Kubwa ni kua na imani kwamba uchawi ni kiumbe cha mungu km simba, kuku, mbingu, ardh, binadamu, mti, upepo n.k. kwakua ni kiumbe tu basi alieumba ndiilo mwenye nguvu na mamlaka juu ya hicho hivyo usiwe na hofu na uchawi ikazidi hofu yq mungu, na usiwe na matumaini na uchawi ukaacha kumtumaini Mungu. Huo ndio mtazamo wangu.
 
Nilikuwa na dawa yangu ya dharura kama zile kwenye koti langu, kwanza niliramba kidogo kuhakikisha iwapo kama kuna uadui uliobaki tumboni ufe, baada ya kuhakikisha nipo sawa sawa nikatumia dawa hiyo kufanya manuizi maalum yakiambatana na vitendo vya kichawi kisha nikarudi na kukaa ili kuendelea na taratibu za mazishi.
Wale wazee walianza kuhangaika bila kutulia sehem moja hali iliyoonyesha wazi kuwa vitu vimeanza kuwasulubu, ila baada ya mda alikuja mzee mmoja mweupe hivi na hakuwepo kabla pale msibani kwani alitokea njia nyingine kabisa........alinisihi na kuniomba radhi kwa kuniambia wale ni watoto tu na wamekosea hivyo anawaombea msamaha na kwamba tumeshakuwa ndugu tutabadilishana ujuzi na kusaidiana mengi.
Akaendelea kuwa alikuwa mbali ila ameona yote waliyonitendea na iwapo nikiondoka na kuwaacha vile itakuwa sina uvumilivu kwenye hizi kazi, mda wote huo wale wazee walikuwa hoi mfano wa watu waliovimbiwa na walilala katika jamvi.......sikuona kama ni vema kupanga ligi hali ya kuwa nipo ugenini na nilichonacho ni kitu cha aina moja wakati wenzako wana nyenzo za kutosha.
Nilirekebisha mambo na nikarudi salama salmini nashukuru.

Yote ni batili chini ya jua na Mungu ndio njia ya kweli
Mkuu umenichekesha sana, kwa asiejua anaweza kuina km mchezo lakn haya mambo yapo sana. Hii naitwa lisilobudi hutendwa, km watu wamekufanyia uchawi si inabidi ufanye tiba ka imani yako?, swali na kwamba ni wakati gani utagundua kua kinachokusumbua ni uchawi? Au umerogwa?
Nakumbuka niliwahi kwenda Tanga kwa Mkono msibani, nilihudhuria mazishi ya mjimba wa girfrnd wangu, ilipofika usiku alinifata akanipa kidude km kijiwe sikumbuki au kitunda akaniambia huku si kama Dar waeza pigwa zongo chukua hiki kiweke mfukoni usikitupe mpaka tuondoke Tanga. Dooh ukiwa mgeni inabidi usikilize wenyeji nikachukua
 
Back
Top Bottom