Mkuu @ mshana jr jee ni kwel maj ya chumvi au maj ya ndimu kama ulivosema yanaweza kutumika kukukinga na roho za giza?? Mfano ukinynyuzia maji ya chumv ndan, au ukayaweka kwny chombo maalum ndan kwko inasaidia kufukuza nguvunza giza?? Maana naona hata maji ya baraka wanayotumia wakatoliki wa Roma ni ya chumvi..
Swali lingne mkuu.. nimekua nikisikia kua bangi ni jani takatifu katika imani ya( KiRasta) kwamba mtu yoyote anayetumia bangi inakua ni ngumu kama sio haiwezekan kabisa kumloga au kumdhuru kichawi. Na ndio maana wenzetu marasta hupiga bangi kwnza kabla ya ibada wakiamin hufukuza roho zote chafu. Na pia nilishawahi kusikia kisa kimoja ambapo mtu aliekua akiamin analogwa alipoenda kwa mganga alipewa bangi ili kujikinga. Je kuna ukwel wowote kuhusu hli?? Na kama upo matumiz yake sahihi ni yap?? Ni lazima kuvuta? Au la..