Ni wakati gani wachawi huroga?

Ni wakati gani wachawi huroga?

mshana jr bwana angu akiingiza tu anakojoa, baada ya muda mfupj dudu husimama kisha huingiza tena na kukojoa mapema, anaweza kwenda hadi round tano.
Je nina jina mahaba anayemfanya akojoe mapema na kunianya na minyege, au karogwa? Au nini laweza kuwa tatizo?
Hilo jini mahaba unashea nalo.
 
Mkuu mshana!umenifurahisha mwisho wa Uzi wako kuwa ni uwoga na imani yetu ndiyo kinachotuumizaga!ila sir god ndiyo kila kitu
 
Ukiuliza hili swali wengi watakuambia usiku...lakini kiuhalisia ni kwamba wachawi huroga muda wowote katika mazingira yoyote na popote...wale wa usiku ni wanga na washirikina tuu
Mwanga kazi yake kubwa ni kufurahisha nafsi kwa kukuchezea na kukuchosha lakini hana madhara kivile
Mshirikina ni mpiga dili na mfanyabiashara ni mtu wa kati huyu ndio mhusika mkuu wa kupeleka kwa wachawi zana za kufanyia madawa kama nywele damu nguo nyayo kucha viungo vya binadamu kulingana na mahitaji nk nk...mshirikina hana muda bali huangalia ni saa ngapi na sehemu gani sahihi ya kufanya yake ili apate alichokusudia (kumbuka mshirikina pia anaweza kuwa mwanga au mchawi )
Sasa basi mchawi yeye ndo yule anayejiita au kujifanya mganga wa kienyeji huyu anacheza na fani zote tatu uchawi ushirikina na ulozi
Ni mchawi huyu huyu anayeweza kukuroga kwa kutumia ushirikina wake kisha akakutibu kwa kutumia uganga wake ni michezo tu ya kucheza na zana
Mchawi na mshirikina huweza kufanya mambo yao popote na vile jinsi wapendavyo wao...japo kupitia ushirikina hupata vitendea kazi na kupitia uchawi huweza kutoa tiba
Mpiga zongo ni mchawi si mshirikina japo anatumia ushirikina kukupiga hilo zongo....ukikuta umewekewa madawa sehemu jua ni mchawi katumia ushirikina kufanya yakeView attachment 324847View attachment 324848 Lakini usihadaike wala kubabaika siku hizi uchawi wa kweli unapotea kilichobaki ni stori na mazingaombwe....kitakachokuumiza ni imani yako na woga wako...simama na Mungu wako utafunuliwa mengi

Unasema siku hizi uchawi wa kweli hakuna? Una uhakika ? Hebu tembelea hapa :

FAHAMU KUHUSU NDUMBA ZA KICHAWI NA JINSI YA KUJIKINGA NAZO.
 
Darasa Murua. Ila kuna jamaa hapo kauliza, - 'alilala ameelekea kwengine na alipoamka akajikuta kaelekea kwengine'. Tafadhali jichawi ama mshana, mumjibu huyo, maana inanitokea hata mimi mara chache chache, hasa nikijisahau kulala bila kusali, ama kusali maombi ya zima moto.

Ahsante!
 
mshana jr bwana angu akiingiza tu anakojoa, baada ya muda mfupj dudu husimama kisha huingiza tena na kukojoa mapema, anaweza kwenda hadi round tano.
Je nina jina mahaba anayemfanya akojoe mapema na kunianya na minyege, au karogwa? Au nini laweza kuwa tatizo?
Kuna mada mahali tushaongelea swala la kujizuia wakati wa tendo.
 
Darasa Murua. Ila kuna jamaa hapo kauliza, - 'alilala ameelekea kwengine na alipoamka akajikuta kaelekea kwengine'. Tafadhali jichawi ama mshana, mumjibu huyo, maana inanitokea hata mimi mara chache chache, hasa nikijisahau kulala bila kusali, ama kusali maombi ya zima moto.

Ahsante!
Kuna dunia ya mchana na kuna dunia ya usiku...japo zote zinakuwa ni dunia moja lakini kila moja ina vituko vyake na vioja vyake...na kwa kiasi kikubwa ni michezo ya wanga na mambo ya giza
 
Nashukuru kwa majibu yako Mshana Jr. Japo ili mtu akuelewe unapomjibu ama mabandiko yako, anahitaji utulivu wa kipekee wa akili kukuelewa.

Kama utakumbuka ulipigwa vita sana mwanzoni, ila wengi wanakuelewa siku hizi.

Siku moja moja uwe unaweka kiswahili rahisi kama Jichawi, ili ueleweke basi aisee, unaweka lugha ngumu, ndiyo maana maswali ni mengi, na uzuri unayajibu yote tena kwa ukarimu.

Nimejifunza ku focus katika maisha bila kujali changamoto kuna mtu alishawahi kuniuliza nalipwa bei gani nikamwambia silipwi chochote bali ni dhati tu ya rohoni ya kuwafunulia watu haya mambo mpaka leo ni best friend
Haikuwa kazi rahisi wala safari ya furaha na vicheko lakini hatimaye sasa naelekea kueleweka na maswali na chagizo vimepungua mno...lakini haikuwa rahisi
 
Mshana jr na Jichawi hivi kuna hii tabia umelala usiku ukiamka asubuhi unakuta umechanjwa chale au kunyolewa nywele je kuna madhara yanaweza kumtokea mtu maana watu wengi wameshakutana na hili tukio.
 
Mshana jr na Jichawi hivi kuna hii tabia umelala usiku ukiamka asubuhi unakuta umechanjwa chale au kunyolewa nywele je kuna madhara yanaweza kumtokea mtu maana watu wengi wameshakutana na hili tukio.
Kuna wakati hivi vitu huchukuliwa kamaalighafi tu kwa ajili ya kwenda kufanya kazi kwingine
 
mshana jr hivi karibuni nimeanza kusikia kitu kikipita juu ya bati chenye tambo kama binadamu. Yaan tambo mbilimbili, hata mpaka alfajiri kikifika mwisho kinalia mlio ambazo bado sijajua ni mnyama au mdudu gani. Swali langu ni kwamba je atakuwa mwanga?? I wish siku moja anate nimuone live maana ananikosesha usingizi as you know alfajiri ndio kausingizi kananoga...
 
Jumamosi hutawala nyota inayoitwa Zohali hivyo siku hii hutumika sana kurogea ama kuombea watu mabaya maana ni rahisi zaidi kufanikisha, siku nyingine ni jumanne.....hapo hutawala nyota ya Mirihi (moto) hapo inakuwa ni rahisi kufarakanisha, kutuma uadui na ukawa na nguvu kiasi kwamba mwenye kuja kutibu lazima ajuwe sawa sawa kucheza na nyota (iwapo ni mganga).
Ijumaa hii zaidi hutumiwa na majini
[HASHTAG]#Jichawi[/HASHTAG] , pls nipe elimu juu ya siku na nyota na kipi kizuri kifanyike siku gani, kama hizo habari za Zohali na Mihir
 
Back
Top Bottom