Ni wakati gani wachawi huroga?

Ni wakati gani wachawi huroga?

Kwann ulalaji wa kitandani upande flan unakua unaota ndoto za kutisha tisha hadi ukiamia upande mwingine wa kitanda. Hii inasababishwa na nn?? mshana jr
 
Teh teh teh ndio.....niliwahi kwenda mji fulani tulipata msiba, wakati wa kula nilipatiwa chakula na wazee watatu wa mji ule.
Nilipoanza kula walikuwa wakiniangalia sana na kama wanaoonyesha jicho la kutaka nile zaidi, nilipomaliza kula nikatapika pembeni chakula chote wakaonyesha kushtuka sana......nikawafuata na kuwaambia kuwa zamu yenu nimeshaiona bado zamu yangu sasa na nikanyanyuka na kusukutua.
Ilikuwa wameweka vitu vikali kiasi ambacho mtu unaweza kwenda na maji hivyo walishtuka kwa kuona mitego yao nimeivuka kirahisi, ndugu Mvumbo, hapo jazba ilishanipanda nikaingia chooni lengo sio kujisaidia bali na mimi kupata wasaa wa kugeuza mashambulizi.

Tumuabudu Mungu atatuepusha na hadaa za dunia hii
huko chooni ulifanya nini?
 
Kwann ulalaji wa kitandani upande flan unakua unaota ndoto za kutisha tisha hadi ukiamia upande mwingine wa kitanda. Hii inasababishwa na nn?? mshana jr
Hii kitu ina tafsiri nyingi sana
Hata kwenye nyumba zetu kuna upande no njia au mapito ya nguvu za giza
Kuna baadhi ya milalo huvutia nguvu za giza
Kuna upande pia wanna hupenda kufanya mambo yao
 
mshana jr hivi karibuni nimeanza kusikia kitu kikipita juu ya bati chenye tambo kama binadamu. Yaan tambo mbilimbili, hata mpaka alfajiri kikifika mwisho kinalia mlio ambazo bado sijajua ni mnyama au mdudu gani. Swali langu ni kwamba je atakuwa mwanga?? I wish siku moja anate nimuone live maana ananikosesha usingizi as you know alfajiri ndio kausingizi kananoga...
Kitu rahisi ni kutupia mifupa ya kitimoto halafu uone matokeo yake lakini ishu ya kutaka uwaone au wagande ni jambo linalohusisha mambo mengi ya kishirikina
 
Teh teh teh ndio.....niliwahi kwenda mji fulani tulipata msiba, wakati wa kula nilipatiwa chakula na wazee watatu wa mji ule.
Nilipoanza kula walikuwa wakiniangalia sana na kama wanaoonyesha jicho la kutaka nile zaidi, nilipomaliza kula nikatapika pembeni chakula chote wakaonyesha kushtuka sana......nikawafuata na kuwaambia kuwa zamu yenu nimeshaiona bado zamu yangu sasa na nikanyanyuka na kusukutua.
Ilikuwa wameweka vitu vikali kiasi ambacho mtu unaweza kwenda na maji hivyo walishtuka kwa kuona mitego yao nimeivuka kirahisi, ndugu Mvumbo, hapo jazba ilishanipanda nikaingia chooni lengo sio kujisaidia bali na mimi kupata wasaa wa kugeuza mashambulizi.

Tumuabudu Mungu atatuepusha na hadaa za dunia hii
Kwa kwa hiyo mkuu jichawi UMEEAGA na huku mnasema Tumuombe Mungu!! Ni mungu yupi huyo! Au kwa habari ya kinga mungu hana tatizo na hilo ni kama ulinzi Mwingine?
 
Kitu rahisi ni kutupia mifupa ya kitimoto halafu uone matokeo yake lakini ishu ya kutaka uwaone au wagande ni jambo linalohusisha mambo mengi ya kishirikina

Mmmmhhhh.... Kitimoto yenyeww kharamu kwangu. Anyway ngoja arukeee akichoka ataacha.
 
Jumamosi hutawala nyota inayoitwa Zohali hivyo siku hii hutumika sana kurogea ama kuombea watu mabaya maana ni rahisi zaidi kufanikisha, siku nyingine ni jumanne.....hapo hutawala nyota ya Mirihi (moto) hapo inakuwa ni rahisi kufarakanisha, kutuma uadui na ukawa na nguvu kiasi kwamba mwenye kuja kutibu lazima ajuwe sawa sawa kucheza na nyota (iwapo ni mganga).
Ijumaa hii zaidi hutumiwa na majini
ijumaa! Kha ndo cku ya ibada
 
Hawa mapichapicha tu hakunaga cha uchawi ni uoga na halucination za watu.
 
1456306286755.jpg
Uko mbali na uhalisia ila kwakuwa ni mtazamo wako wala haina shida
 
Teh teh teh ndio.....niliwahi kwenda mji fulani tulipata msiba, wakati wa kula nilipatiwa chakula na wazee watatu wa mji ule.
Nilipoanza kula walikuwa wakiniangalia sana na kama wanaoonyesha jicho la kutaka nile zaidi, nilipomaliza kula nikatapika pembeni chakula chote wakaonyesha kushtuka sana......nikawafuata na kuwaambia kuwa zamu yenu nimeshaiona bado zamu yangu sasa na nikanyanyuka na kusukutua.
Ilikuwa wameweka vitu vikali kiasi ambacho mtu unaweza kwenda na maji hivyo walishtuka kwa kuona mitego yao nimeivuka kirahisi, ndugu Mvumbo, hapo jazba ilishanipanda nikaingia chooni lengo sio kujisaidia bali na mimi kupata wasaa wa kugeuza mashambulizi.

Tumuabudu Mungu atatuepusha na hadaa za dunia hii
ahaa mkuu hii kitu ianzishie uzi basiii
kama inavutia na pia ina funzo sio mbaya uka share na sisi
 
Mimi nimeaga.....halafu nakusihi wewe usifuate kama mimi.....na pia nakuonyesha kipi cha kufuata
Huoni huko unakotuambia tufuate ndiko kuzuri zaidi? Au wewe unazo imani zote mbili za asili na hizi zilizokuja?
 
Mtaani Kwetu Kuna Paka Wanalia Sauti Kama Ya Mtoto Mchanga Nyakati Za Usiku ... Pia Kuna Mbwa Huonekana Usiku Tu Wakibweka Sauti Isiyo Yakawaida Kama Mbwa Tuliowazoea ... Je, Hawa Paka Na Mbwa Ni Wanga , Wachawi Au Ni Washirikina ,,, ?
 
Mkuu jichawi je naweza kufuga majini watakaoshika amri zangu ambao nikiwaagiza tu jambo lifanyike saa hiyo hiyo hata kama ni kuua mtu?
 
Back
Top Bottom