Gef
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 507
- 459
we jamaa una akili ya chap chap sana unajuaSio usmart wa mavazi nafikiri mtoa mada anamaanisha wife wake ni mweupe kichwani...empty set,zero yani hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa una akili ya chap chap sana unajuaSio usmart wa mavazi nafikiri mtoa mada anamaanisha wife wake ni mweupe kichwani...empty set,zero yani hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule makanisani kuna vyama vyakina mama kama ni Mkristo, ongea hata na mama mchungaji kisha apatatage somo humo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlishawah kupiga nusu kuua, nkagundua ana tatizo. So namuangalia tuMkuu piga marufuku tabia ya kununa nyumban kwako then kutokea hapo ndio myajenge mengine ya msingi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi shukuru MUNGU mchukulie kama alivyo, pole sanaAlishakalishwa chini na pastor bado hakubadilika. Ni sheedah sana mkuu. Huwa nahic nna mkosi maishani mwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlishawah kupiga nusu kuua, nkagundua ana tatizo. So namuangalia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeleke shule au corse za elimuHabari za wakati huu wakuu?
Mimi niko na mke na mtoto. Maisha yetu bado yako chini kwa kiasi. Sote kiwango cha elimu ni darasa la saba. Kimwonekano tunalingana maumbo hatupishani sana ila nimempita miaka kumi.
Kifikra namuona kama yupo chini mno, nimewahi kufuatilia stori zake na wanawake wenzake nimeona hoja zake ni nyepesi sana mpaka natamani kumwambia awe msikilizaji tu lakini nashindwa.
Mimi kwa haraka haraka watu hawadhanii kama ni std seven lakini yeye kwa kweli gepu ni kubwa. Ndani ya nyumba sijawahi kuona ushauri wake au mkakati wake wa kuinuka, yeye akipata chakula tu basi.
Kabila ni Mnyaturu mimi Mchaga. Hapo awali kabla ya kumuoa alikuwa house girl kwa kipindi chote.
Sasa natamani asiwe jinsi alivyo, natamani awe wa kimjini mjini, maana anaonekana ni shamba hivi. Nataka awe walao kama wadada waliosoma, awe mwanamke smart.
Naomba ushauri tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si umsomeshe chuo?
Ongea nae kirafiki vile unavyotaka awe
Acha tu, sasa mwenzetu mke yupo yupo tu akiletwa house girl ndiye anaonekana mama mwenye nyumba [emoji23]Si mlisema mke asomeshwe cherehani tu, mbona vigeugeu nyie viumbe.... mnatuchanganya sasa.
ItageuzwaNyie si ndo hodari kutwa kucha kutuonya tuepuke kuoa mke msomi..!!
Na me namshangaa huyu mwanaume anavotaka kukosa bahati kirahisi tyuuhnaona una lazimisha umkose yaani kabisa umnunulie smartphone umpeleke sehemu nzuri kwa miguu wakati ataona v8 na watamwomba namba usije ukajichanganya ukamsomesha hapo utajua kwann CCM ni chama cha mapinduzi lakini hakitaki mapinduzi ya fikra
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa so ndo vizuri auanayo ila hana muda sana wa matumizi mengine zaidi kupigia ndugu zake na sms tuu.
Vizuri wapi ndugu yangu, mi napenda awe hata huku jf ila ndio hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa so ndo vizuri au
Sent using Jamii Forums mobile app
Na me nashangaa huyu mwanaume sijuw apewe Nini Tena khaaa lolKwani ulipoamua kumuoa ni nini kilikuvutia kwake?Au ndio wale unaagiza na unapewa tu?
Kama ulitaka mshamba kwamba ni watulivu na hawana kuhoji. basi mke umepata..
Kipofu...haoni lolote zaidi yako
Kiziwi...hamsikii chochote zaidi yako
Bubu..kafunzwa kukaa kimya ili ndoa idumu..yeye kazi yake ni kukuhudumia ..kupika..usafi.ulezi..nk.basi!
Huoni raha..hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na me namshangaa huyu mwanaume anavotaka kukosa bahati kirahisi tyuuh
Sent using Jamii Forums mobile app