Ni vipi ninaweza kumfanya mke wangu awe ‘smart’?

Ni vipi ninaweza kumfanya mke wangu awe ‘smart’?

I second that, na pia amtengeneze ki fikra.

Pengine mke bado anajiona yeye hana thamani kwa sababu alikuwa housegirl.
sidhani kama anajiona hana thamani laa! bali mii ndio nataka kuipandisha thamani yake kulingana na nyakati tulizo nazo na mazingra pia boss wangu
 
Kwa kweli hata mm wa kwangu yuko hivyohivyo kama wa kwako..nimejitahidi sana kumjenga kifikra lln wapiii.tatizo ni kwamba hawa watu wa hivi hawapendi kudadisi mambo na ndio maana hawana elimu mpya.
 
Mkuu solution hapo ni kumpa exposure tufauti ya maisha, wanyaturu wengi hususan walioishia shule ya msingi hawana exposure hivyo ni rahisi wao kuridhika na kilichopo.
 
MTU HUWA ANAATHIRIKA KUTOKANA NA MAZINGIRA ALIYOTOKA NA MAZINGIRA ALIYOPO, KWANZA HILO TAMBUA.
IKISHA KUMFANYA MKE WAKO AWE KAMA WEWE ULIVYO, NI WEWE MWENYEWE KUMFAHAMISHA KWA NJIA ZA UTARATIBU NA URAFIKI, VIPI UNATAKA AWE.

SIO WASOMI WOTE WAPO SMART HAPANA, HILO TAMBUA.

AMA JAMBO LA KUTAKA AWE WA MJINI MJINI, HAPO JITAYARISHE NA MAMBO MENGI SANA AMBAYO HUENDA YAKAKUPELEKEA KWENGINE KABISAAA
asante sana mkuu kwa ushauri huu
 
Pole sana , mfundishe kwa upole mpeleke hata course yeyote achangamshe ,ila mpe darasa asije changamka kwa vyote, huyo itakuwa alitolewa kijijini tu alikuwa ni kazi za nyumbani tu hakuna kutoka labda akionana na mtu wa nje ni mahouse girl wenzie, mfundishe mwenyewe na usimwogope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja za wadau hapo juu pia mnunulie majarida ya kielimu ujasiriamali na biashara muweke mbali na hao marafiki zake maana wanasema ndege wanaofanana huruka pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
yaanai marafiki wamemzidi akili fikra mtazamo nkndio maana mimi nataka walao awe kama wao, ila asante kwa ushauri boss.
 
Pole sana , mfundishe kwa upole mpeleke hata course yeyote achangamshe ,ila mpe darasa asije changamka kwa vyote, huyo itakuwa alitolewa kijijini tu alikuwa ni kazi za nyumbani tu hakuna kutoka labda akionana na mtu wa nje ni mahouse girl wenzie, mfundishe mwenyewe na usimwogope Mungu yupo nayo sana, ila mazingira aliokulia kama ulivyosema ndivyo ilivyo. sasa mimi nampenda sana ndio maana natamani na yeye awe kat ya waliopo ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu kwa kweli kama adabu na hofu ya Mungu anayo sana , ila mazingira ya kukua kwake ndio kisababishi ndugu yangy kama ulivyosema, mimi ninampenda sana ndio maana nataka awe mtu katika watu boss wangu.
 
Jamani, mimi pia napitia hali hiyo hadi najuta kuoa. Maisha yangu yamekuwa mabaya kuliko, hadi nahic kuondoka nikaanzishe makazi mengine mahali flani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukiondoka na huyo umwachie nani mkuu? Mwelimishe mnakuwa mnatoka naye out sehemu mbalimbali, yaani ukipita hata mlimani city kuna watu huwa wanashangaa daa ila ndiyo hivyo, wengine hata ukifika sehemu usioijua unapiga jicho la pembeni dakika 0 umesha kopi mazingira lakini ndiyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom