Ni vipi ninaweza kumfanya mke wangu awe ‘smart’?

Ni vipi ninaweza kumfanya mke wangu awe ‘smart’?

Kwa kweli hata mm wa kwangu yuko hivyohivyo kama wa kwako..nimejitahidi sana kumjenga kifikra lln wapiii.tatizo ni kwamba hawa watu wa hivi hawapendi kudadisi mambo na ndio maana hawana elimu mpya.
ndio kaka, mimi namuachi simu yenye access ya internat na computer lakini hana muda navyo kabisa yaana. unajua unampenda mtu mpaka unaona kama haujamfanya awe na na thamani katika watu lakini namna inakosekana ndio maana yunalazimika kushikisha hapa jukwaani hatukosi mawili matatu
 
asante mkuu kwa kweli kama adabu na hofu ya Mungu anayo sana , ila mazingira ya kukua kwake ndio kisababishi ndugu yangy kama ulivyosema, mimi ninampenda sana ndio maana nataka awe mtu katika watu boss wangu.
Mwambie ajiunge na chama cha kina mama, huwa kuna vitu vinapatikana humo na pia kuna mama wachungaji wazuri tu unaweza ongea naye watakuwa wanampa mawaidha mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za wakati huu wakuu?

Mimi niko na mke na mtoto
Maisha yetu bado yako chini kwa kiasi. Sote kiwango cha elimu ni darasa la saba

Kimwonekano tunalingana maumbo hatupishani sana ila nimempita miaka kumi.

Kifikra namuona kama yupo chini mno, nimewahi kufuatilia stori zake na wanawake wenzake nimeona hoja zake ni nyepesi sana mpaka natamani kumwambia awe msikilisaji tu lakini nashindwa

Mimi kwa haraka haraka watu hawadhanii kama ni std seven lakini yeye kwa kweli gepu ni kubwa.
Ndani ya nyumba sijawahi kuona ushauri wake au mkakati wake wa kuinuka, yeye akipata chakula tu basi.
Kabila mnyaturu mimi mchaga.
Hapo awali kabla ya kumuuo alikua house girl kwa kipindi chote

Sasa natamani asiwe jinsi alivyo, natamani awe wa kimjini mjini, maana anaonekana ni shamba hivi, awe walao kama wadada walio soma hivi

Yaani natamini awe mwanamke smart hivi

Ushauri please .

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa we jamaa unataka kumbadilisha mtu fikra ukubwani utaanzia wapi???
 
Ni kazi keeli kweli kumfinyanga mwanamke wa kirangi, kinyaturu na kiiraki.
Asili inawatesa sana, hata ukiinuka kimaisha mabadiliko mskubwa utakayo yaona ni lujisioia sana na dharau.
I second that, na pia amtengeneze ki fikra.

Pengine mke bado anajiona yeye hana thamani kwa sababu alikuwa housegirl.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kazi keeli kweli kumfinyanga mwanamke wa kirangi, kinyaturu na kiiraki.
Asili inawatesa sana, hata ukiinuka kimaisha mabadiliko mskubwa utakayo yaona ni lujisioia sana na dharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
ndicho nacho dhani pia mkuu asili inaleta shida sana kanda ile maana si yeye tuu ni wengi si wake kwa waume, walao waliosoma kidogo mkuu.
 
Wewe ulibadilishwa ama ulijibadilisha???

Kuna tofauti kati ya mtu kujitakia mabadiliko na mtu kushurtishwa abadilike. Matokeo yake hayawezi kufanana.
labda kwa kweli , kwa hio mwarobaini hakuna kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom