Ni vipi ninaweza kumfanya mke wangu awe ‘smart’?

Ni vipi ninaweza kumfanya mke wangu awe ‘smart’?

Siyo wasomi wote smart [emoji106]
MTU HUWA ANAATHIRIKA KUTOKANA NA MAZINGIRA ALIYOTOKA NA MAZINGIRA ALIYOPO, KWANZA HILO TAMBUA.
IKISHA KUMFANYA MKE WAKO AWE KAMA WEWE ULIVYO, NI WEWE MWENYEWE KUMFAHAMISHA KWA NJIA ZA UTARATIBU NA URAFIKI, VIPI UNATAKA AWE.

SIO WASOMI WOTE WAPO SMART HAPANA, HILO TAMBUA.

AMA JAMBO LA KUTAKA AWE WA MJINI MJINI, HAPO JITAYARISHE NA MAMBO MENGI SANA AMBAYO HUENDA YAKAKUPELEKEA KWENGINE KABISAAA
 
Hapa tatizo ni kupenda sura, mshepu na kufinyiwa kwa ndani unajikuta unayapuuzia mapungufu mengine yote ili uendelee kufaidi. Kimbembe sasa ni baada ya kumvuta ndani hakupi ushauri wowote wa kimaendeleo lazima uchukie

Pole sana kiongozi
 
Mnasemaga darasani la saba ndo wake bora, mnasemaga sisi wenye vijielimu vyetu uchwara😀hamtutaki, ati sisi waongeaji,wajuaji sasa inakuwaje bwashee? Ati sisi tuna urgue sana, tena mkisikiaga kasoma koz Fulani, utaskia " huyo atanifunga' ahaaaa

Mr masawe komaa na mkeo, sana sana mbadilishe mazingira, mtoe out, ikiwezekana mpeleke shule wajanja watanfundisha huko shule.😂😂😂😂

Kupitia Uzi huu nyie wanaume, kazi ya Mke sio kuzaa tu, kazi ya Mke ni kuwa na smart kichwani( appearance) uwezo wa kutatua jambo Fulani, mipango, ushauri.faraja upendo na heshima. That's all.
 
Hapa tatizo ni kupenda sura, mshepu na kufinyiwa kwa ndani unajikuta unayapuuzia mapungufu mengine yote ili uendelee kufaidi. Kimbembe sasa ni baada ya kumvuta ndani hakupi ushauri wowote wa kimaendeleo lazima uchukie

Pole sana kiongozi
Kumbe watu hawapendi ndiyo Mzee , ndiyo Mme wangu yaani Wewe utakachoamua mimi sawa tu mme wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari iko wapi tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hawezi kukuhoji chochote wewe uliye naye siku zote itakuwa vipi kwa watu baki?

Ataweza kulinda na kusimamia familia kweli kama haupo?

Huo sio upole ni unyonge na ugoigoi huo ni hatari sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom