ni kweli boss nimeona kwa wengi si yeye tu kwa kweli haswa kutoka kanda ile, walao waliosoma angalao kidato.Mkuu solution hapo ni kumpa exposure tufauti ya maisha, wanyaturu wengi hususan walioishia shule ya msingi hawana exposure hivyo ni rahisi wao kuridhika na kilichopo.
Kwani ulipoamua kumuoa ni nini kilikuvutia kwake?Au ndio wale unaagiza na unapewa tu?Jamani, mimi pia napitia hali hiyo hadi najuta kuoa. Maisha yangu yamekuwa mabaya kuliko, hadi nahic kuondoka nikaanzishe makazi mengine mahali flani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataliwa huyo huko...walao dini ndio anaweza kuwa mshiriki lakini sio kwenye siasa mkuu.
bado kipo boss, sio msabato, kuliwa ni jambo lingine mkuu.Ataliwa huyo huko...
Msabato?
Kilicho kupitia kwake mpaka ndoa.
bado anacho?
Sio hicho unachokibeza sasa hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzio wanatafuta wa hivyo...sikuyaona sana mkuu maana ni mpole na aibu nyingi so sikumsoma kwa ndani sana.
Hahahaaaaa....Yaaani jamani umenichekeshaaa...Eti empty set..Sio usmart wa mavazi nafikiri mtoa mada anamaanisha wife wake ni mweupe kichwani...empty set,zero yani hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wawata ndugu ,sio viwawa yeye ni mke wa mtu tayari mpeleke kwa wamama hukolabda wawata ndugu yangu viwawa sijawahi waelewa, nao wawata siku hizi wamekua sio wakiroho tena
Kuna watu wana vitabu mbalimbali, waweza pia kutembelea mashule yaliyo karibu, azima huko. Mada ziwe nizile zakumjenga kifikra: hadithi, mashairi, tawasifu na wasifu wa watu mbalimbali mashuhuri. Muziki wa kale.Asante boss ila kwa umbali tuliopo na hio maktaba ni mtihani, lakini kwa namna nyingine ni njia nzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu, exposure itasaidia sanani kweli boss nimeona kwa wengi si yeye tu kwa kweli haswa kutoka kanda ile, walao waliosoma angalao kidato.
Ishi maisha yako, achana na maisha ya Status...mfunze kwa yale ya muhimu kwa ustawi wa familia yako na si kwa ajili ya kuonekana kwa watu sababu watu waone una mke mjanja haitakusaidia lolote au waone una mke mshamba haitakupunguzia lolote...Hiyo lifeshow unayoitaka utakuja kuleta mrejesho hapa sababu sababu automatically atakuja kujiona amechelewa sana. Mfunze na kumu-update mkeo kwenye masuala ya msingi yenye manufaa kwa familia yako.Habari za wakati huu wakuu?
Mimi niko na mke na mtoto
Maisha yetu bado yako chini kwa kiasi. Sote kiwango cha elimu ni darasa la saba
Kimwonekano tunalingana maumbo hatupishani sana ila nimempita miaka kumi.
Kifikra namuona kama yupo chini mno, nimewahi kufuatilia stori zake na wanawake wenzake nimeona hoja zake ni nyepesi sana mpaka natamani kumwambia awe msikilisaji tu lakini nashindwa
Mimi kwa haraka haraka watu hawadhanii kama ni std seven lakini yeye kwa kweli gepu ni kubwa.
Ndani ya nyumba sijawahi kuona ushauri wake au mkakati wake wa kuinuka, yeye akipata chakula tu basi.
Kabila mnyaturu mimi mchaga.
Hapo awali kabla ya kumuuo alikua house girl kwa kipindi chote
Sasa natamani asiwe jinsi alivyo, natamani awe wa kimjini mjini, maana anaonekana ni shamba hivi, awe walao kama wadada walio soma hivi
Yaani natamini awe mwanamke smart hivi
Ushauri please .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke anasomeshwa cherahani tuu..Msomeshe
Jamaa naamini very soon atakuja kuliaMkuu [emoji848] mimi nakushauri huyo ndege wako akija kujanjaruka utakuja hapa unalia TIME WILL TELL, still bado ni mdogo bila kwenda mbali kwanza ndoa yenu ina umri gani unaweza kuta nie mature na wewe umempita miaka Kumi kuwa makini sana kuna stage aliruka za ujana Kuna Mambo yakufanya
Ni mwepesi wa kudanganywa kutokana na kiwango chake cha elimu niwie radhi hapa
Utandawazi ni mbaya Sana Mimi mangi nakuona unataka wife wa kidigital ajiunge JF , Facebook, WhatsApp, Instagram utampoze mda wowote ule akishajua mwelekeo wa dunia umekwisha mabaharia wanapita nae
Ngoja kwa leo niishie hapa kwanza nitakujakukushauri wakati unataka kumrudisha ndege wako bandani [emoji3578]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili la internet ndio usiseme,mimi wa kwangu hata taarifa ya habari tu kujua kinachojiri ni shida yy kazi na tamthilia tu.Nimegundua pia ni Suala la Shule aliyosomea pia Maana hakumbuki hata kidogo Baadhi ya Masomo aliyosoma na amemaliza stnd 7.ndio kaka, mimi namuachi simu yenye access ya internat na computer lakini hana muda navyo kabisa yaana. unajua unampenda mtu mpaka unaona kama haujamfanya awe na na thamani katika watu lakini namna inakosekana ndio maana yunalazimika kushikisha hapa jukwaani hatukosi mawili matatu
Hapa ni kweli tupu umeongea mkuu,ingawa wanawake sampuli hii wanaudhaifu wa ujuzi wa mambo (ambayo sio lazima sana ajue)lkn wako vizuri katika ustawi wa familia zao.Mm kwa kweli najivunia kuwa na mwanamke drs la saba ingawa hanijengi ki fikra.Aiseee awali ya yote nikusifu kitu kimoja.
Unajali ... Sema nn , usikae kuumizwa sanaa na hali yake, jifunze kuishi naye kama alivyo ili mradi tu kila kitu kinaenda sawa
WALA USIJARIBU KUMPA MAZINGIRA MAPYA NAKUMKUTANISHA NA WATU UNAOWAONA WAKISASA KISASA .
Atayabadili mazingira, au mazingira yambadili ja utarudi hapa ukilialia... Uzungu waachie wenyewe.
SIKUSHAURI SANA, KUMFANYA ABADILIKE KWA AJILI YAKO, BALI NAKAZIA WEWE UBADILIKE KWA AJILI YAKE NA UJIFUNZE KUISHI NAYE KAMA ULIVOISHI NAYE MIAKA YOTE IYO....
Kwa utafiti wangu WA kawaida..Wanaume waliyo Oa wanawake Darasa la Saba.. Wana furaha sana kuliko hawa waliooa wanawake kitabu kichwani.
Ukumbuke kua, MWANAUME NINLAZIMA IWE JUU YA MKEO KWA KILA KITU KUANZIA UJANJA, MAISHA ,SAUTI N.K
Mpeleke unakotaka, alafu utajua maana yangu.
Heeeee....atakuwaje na muonekano was kimjini mjin wkt umesema hauna hela???? Tafuta hela Kwanza ukishapata urudi hapaHabari za wakati huu wakuu?
Mimi niko na mke na mtoto
Maisha yetu bado yako chini kwa kiasi. Sote kiwango cha elimu ni darasa la saba
Kimwonekano tunalingana maumbo hatupishani sana ila nimempita miaka kumi.
Kifikra namuona kama yupo chini mno, nimewahi kufuatilia stori zake na wanawake wenzake nimeona hoja zake ni nyepesi sana mpaka natamani kumwambia awe msikilisaji tu lakini nashindwa
Mimi kwa haraka haraka watu hawadhanii kama ni std seven lakini yeye kwa kweli gepu ni kubwa.
Ndani ya nyumba sijawahi kuona ushauri wake au mkakati wake wa kuinuka, yeye akipata chakula tu basi.
Kabila mnyaturu mimi mchaga.
Hapo awali kabla ya kumuuo alikua house girl kwa kipindi chote
Sasa natamani asiwe jinsi alivyo, natamani awe wa kimjini mjini, maana anaonekana ni shamba hivi, awe walao kama wadada walio soma hivi
Yaani natamini awe mwanamke smart hivi
Ushauri please .
Sent using Jamii Forums mobile app