Ni vipi ninaweza kumfanya mke wangu awe ‘smart’?

Ni vipi ninaweza kumfanya mke wangu awe ‘smart’?

Hili la internet ndio usiseme,mimi wa kwangu hata taarifa ya habari tu kujua kinachojiri ni shida yy kazi na tamthilia tu.Nimegundua pia ni Suala la Shule aliyosomea pia Maana hakumbuki hata kidogo Baadhi ya Masomo aliyosoma na amemaliza stnd 7.
Makubwa haya, lakini ndiyo mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom