Ni vipi ninaweza kumfanya mke wangu awe ‘smart’?

Ni vipi ninaweza kumfanya mke wangu awe ‘smart’?

Habari za wakati huu wakuu?

Mimi niko na mke na mtoto. Maisha yetu bado yako chini kwa kiasi. Sote kiwango cha elimu ni darasa la saba. Kimwonekano tunalingana maumbo hatupishani sana ila nimempita miaka kumi.

Kifikra namuona kama yupo chini mno, nimewahi kufuatilia stori zake na wanawake wenzake nimeona hoja zake ni nyepesi sana mpaka natamani kumwambia awe msikilizaji tu lakini nashindwa.

Mimi kwa haraka haraka watu hawadhanii kama ni std seven lakini yeye kwa kweli gepu ni kubwa. Ndani ya nyumba sijawahi kuona ushauri wake au mkakati wake wa kuinuka, yeye akipata chakula tu basi.

Kabila ni Mnyaturu mimi Mchaga. Hapo awali kabla ya kumuoa alikuwa house girl kwa kipindi chote.

Sasa natamani asiwe jinsi alivyo, natamani awe wa kimjini mjini, maana anaonekana ni shamba hivi. Nataka awe walao kama wadada waliosoma, awe mwanamke smart.

Naomba ushauri tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha ujinga umepata mwanamke wa Singida kalala unataka kumuamsha sio endelea mkuu utakuja kulia kilio cha mbwa mwitu. Muacha hivyo hivyo ila jitahudi kumtengeneza unavyotaka wewe acha kutengeneza jamii mke wako. Mpende kama alivyo. Swali la nyongeza antena ipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole wewe boss, ujue ndoa ni zaidi ya ulioainisha hapa!
Hapa tatizo ni kupenda sura, mshepu na kufinyiwa kwa ndani unajikuta unayapuuzia mapungufu mengine yote ili uendelee kufaidi. Kimbembe sasa ni baada ya kumvuta ndani hakupi ushauri wowote wa kimaendeleo lazima uchukie

Pole sana kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli boss uliyasema ilaa sio kwa yote.
Mnasemaga darasani la saba ndo wake bora, mnasemaga sisi wenye vijielimu vyetu uchwara[emoji3]hamtutaki, ati sisi waongeaji,wajuaji sasa inakuwaje bwashee? Ati sisi tuna urgue sana, tena mkisikiaga kasoma koz Fulani, utaskia " huyo atanifunga' ahaaaa

Mr masawe komaa na mkeo, sana sana mbadilishe mazingira, mtoe out, ikiwezekana mpeleke shule wajanja watanfundisha huko shule.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kupitia Uzi huu nyie wanaume, kazi ya Mke sio kuzaa tu, kazi ya Mke ni kuwa na smart kichwani( appearance) uwezo wa kutatua jambo Fulani, mipango, ushauri.faraja upendo na heshima. That's all.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu
unakaa ndani na mwanamke hasemi hata"baba hii corona ni hatari"..siwezi kabisa,mke wangu lazima awe na kiwango fulani cha usmartness

Mazingira yanabadilisha mindset..jaribu kumtoa out sehemu classic,..kuna Tv shows pia zinasharp watu,yaani taratibu tu ataanza kujanjaruka na kuwa na mawazo mapana..ila kingine ni yeye kujishughulisha na vitu(mfano biashara) ambayo atakuwa anaongea na watu wa kaliba tofauti tofauti with time ataanza kubadilika..


Sema wahenga walisema"usimuamshe aliye lala"..kazi kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, ila sio shida nadhani.
Wewe acha ujinga umepata mwanamke wa Singida kalala unataka kumuamsha sio endelea mkuu utakuja kulia kilio cha mbwa mwitu. Muacha hivyo hivyo ila jitahudi kumtengeneza unavyotaka wewe acha kutengeneza jamii mke wako. Mpende kama alivyo. Swali la nyongeza antena ipo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeo mbona ndo habari ya mjini me ningempata huyo wala nisingehangaika mpokee jinsi alivyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom