Ni vibaya kufall in love?


how can you fall in love with an icon?
 
how can you fall in love with an icon?

The way he contribute in threads na pia nmejikuta tuu nampenda hata nkiona avatar yake nachanganyikiwa kabisa yaani
 
Kupenda hakuna tatizo, namna unavyopenda ndo inaweza kuwa shida
 
Ndio nishapenda sasa nifanye nini jamani
 
Kwa raha zako bibie jiachie, kwanini uutese moyo wako na dawa waijua?
 

Si vibaya. Kabla hujaweka ID yake nenda PM. Msije chezesheana vya mbavu hadharani ukasajili ID mpya
 
Wee fall tu, hakuna ubaya, ila ukiangukia meno usije unalia lia hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…