Ni vibaya kufall in love?

Ni vibaya kufall in love?

Hakuna ubaya mwayaa...jiachiee,ila uwe tayar kwa lolote maana lazma utakuwa na criteria zako za muonekano na nn..usije ukakutana na mtu pua kama honi ya tractor au mdomo kama chuchunge..ukabaki gaaaaah! B ready for anythin' mama..usijiwekee expectations kubwa sana
 
Hapo sasa ndio kingine ninachokifikiria tena
 
Hapo sasa ndio kingine ninachokifikiria tena

Ila usipate hofu....take a heart and just flow with the beat,talk to him... The outcome might be positive just the way u expect it to be..
 
Marhaba daughter....dadii yupo siku hizi namfungia ndani si unaona mama zako wadogo walivyo wengi?

Hahahaaaaaaa mom bana, mpe hi....me mkweo namlinda ka nini saizi nafanya mpango hadi kazi nifanye nae ofisi moja...
 
Back
Top Bottom