Mimi ni mwanaumeWewe ni wa kike? Nijibu kabla watu hawajaja.
Hujaolewa?Habari wanajukwaa ninatafuta mpenzi anayeishi Dodoma. Tufurahie maisha pamoja.
Umri 30-40.
Acha tu kakaKila la kheri mkuu
Asikwambie mtu upwiru noma 💔😅
Ungesema tu mapema mkuu. Watu tumetoka mbio mbio tukijua we ni pisi Kali.Mimi ni mwanaume
Kila la heri.Asante sana kaka
Chako ni chako wamejaa teleHabari wanajukwaa ninatafuta mpenzi anayeishi Dodoma. Tufurahie maisha pamoja.
Umri 30-40.
Noma broAcha tu kaka
Jinsia gani?Mimi ni mwanaume
Hata wewe mkuu,Kila la kheri mkuu
Asikwambie mtu upwiru noma 💔😅
Nao huwa wanatafuta wapenzi?Chako ni chako wamejaa tele
Hapana hua naupata kisha nauondoa chap kwahiyo haunitesi kabisaHata wewe mkuu,
Huwa unakutesa?
YesNao huwa wanatafuta wapenzi?
YesNao huwa wanatafuta wapenzi?
Unatumia njia shirikishi?Hapana hua naupata kisha nauondoa chap kwahiyo haunitesi kabisa
Nikifika Dodoma , chako ni chako ipo mtaa gani?