Kule mjengoni kuna mh. Kijana me hoiii yani nikimuona tu najichekea peke yangu
Jifungukie tu best
Wengine tumejifungukia tukapata mume na kuolewa...wengine wachumba.....wengine wakaliwa kisela na kuachwa .....wengine walitukanwa....
Try urs....best lucky
mimi ni mume wa mtu... na michepuko kwangu NO..
haaaa, siamini..na kuolewa ushaolewa??
But i really feel like i love him
Mwenzenu nimekufa kwa mh. kijana ipo siku nitampigia no yake ninayo
Habari wanajukwaa,
Kwa dhati kabisa kutoka moyoni nimeamua kuandika huu uzi naomba niulize je ni vibaya kwa msichana kufall in love kwa mvulana?maana kusema ukweli wa Mungu kuna mwanamember nampenda sana kiasi kwamba namfikiria muda wote ingawa sijawahi kumwona msaada jamani