Ni upi usahihi kuhusu uwepo wa Dinosaurs duniani?

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,503
1,906
Katika kusoma soma huku na kule nimekuatana na kitu ambacho kimenichanganya; labda nilete kwenu wana ndugu. Ipo hivi:

Katika kufuatilia historia ya Dinosaurs inasamekana kwamba waliishi miaka kama billions zilizopita ila na kwa kipindi hicho hakukuwa na binadamu, lakini katika maandkio matakatifu yanaonesha viumbe (namaanisha wanyama wote kama maandiko yanavosema) hawa waliumbwa siku mbili kabla ya binadamu. Namaanisha viumbe waliumbwa kama leo then binadamu akaumbwa kesho kutwa.

Swali: Mbona kama hesabu zinanishinda hapa, maana huku (bible} ni siku moja na tena imesema ukawa usiku na ukawa mchana, lakini huku inasemekana ni miaka mabilioni.

Mwenye ufahamu kidogo anisaidie.
 
Kwanza

Weka haya

Penye nukta weka nukta sio mkato.

Yaani uandishi wako hupumziki.
 
Ugumu unaokukuta ni wa kutaka kujibu hili swali kwa kutumia references mbili tofauti ambazo zinapingana.

Moja inasema binadamu aliumbwa nyingine inasema binadamu alievolve.

Na kuevolve siyo mchakato wa siku moja unlike kuumbwa kama biblia inavyotuambia.

Kwahiyo swali lako ili kupata majibu kwanza inabidi uchague reference mojawapo kati ya ya kidini au kisayansi/ historia.
 
Katika kusoma soma huku na kule nimekuatana na kitu ambacho kimenichanganya; labda nilete kwenu wana ndugu. Ipo hivi:

Katika kufuatilia historia ya Dinosaurs inasamekana kwamba waliishi miaka kama billions zilizopita ila na kwa kipindi hicho hakukuwa na binadamu, lakini katika maandkio matakatifu yanaonesha viumbe (namaanisha wanyama wote kama maandiko yanavosema) hawa waliumbwa siku mbili kabla ya binadamu. Namaanisha viumbe waliumbwa kama leo then binadamu akaumbwa kesho kutwa.

Swali: Mbona kama hesabu zinanishinda hapa, maana huku (bible} ni siku moja na tena imesema ukawa usiku na ukawa mchana, lakini huku inasemekana ni miaka mabilioni.

Mwenye ufahamu kidogo anisaidie.
Bible iko very spiritual, ukisoma kama novel utajikuta unachanganyikiwa utadhani unasoma makala za Don Nalimison a.k.a Deogratius Kisandu
 
Katika kusoma soma huku na kule nimekuatana na kitu ambacho kimenichanganya; labda nilete kwenu wana ndugu. Ipo hivi:

Katika kufuatilia historia ya Dinosaurs inasamekana kwamba waliishi miaka kama billions zilizopita ila na kwa kipindi hicho hakukuwa na binadamu, lakini katika maandkio matakatifu yanaonesha viumbe (namaanisha wanyama wote kama maandiko yanavosema) hawa waliumbwa siku mbili kabla ya binadamu. Namaanisha viumbe waliumbwa kama leo then binadamu akaumbwa kesho kutwa.

Swali: Mbona kama hesabu zinanishinda hapa, maana huku (bible} ni siku moja na tena imesema ukawa usiku na ukawa mchana, lakini huku inasemekana ni miaka mabilioni.

Mwenye ufahamu kidogo anisaidie.
Ukitaka jibu la swali lako inatakiwa uchague upande mmoja ,kati ya dini au science.
 
Watu mnakosea, biblia na sayansi ni vitu viwili tofauti kabisa.

Chagua upande mmoja ndipo ulete hoja yako hapa. Otherwise hautapata majibu sahihi maana kila upande uko sahihi kwa namna yake.
 
tafiti nyingi zinaonesha hii dunia si ya jana wala juzi ni miaka mabilions. pia kuna vitu humu funian vipo mpaka leo, lakin cha kushangaza binadamu hatujui vimetoka wapi au vimejegwa na nan na mbona technoogy yake ni kubwa ivo

inaonesha ss ni wageni hapa.
 
Ushaidi wa mabaki ni kigezo tosha tu
IMG_3726.jpg

IMG_3727.jpg

IMG_3728.jpg

Kwa nini !
Kijografia tunaweza kupima kwa ardhi
IMG_3729.jpg

IMG_3730.jpg

Jamii ya kwanza kuishi ni trilobites
IMG_3731.jpg

Inasemakana jamii hii dunia ilikuwa imezingirwa na maji.

Tatizo mda kuandika
 
Katika kusoma soma huku na kule nimekuatana na kitu ambacho kimenichanganya; labda nilete kwenu wana ndugu. Ipo hivi:

Katika kufuatilia historia ya Dinosaurs inasamekana kwamba waliishi miaka kama billions zilizopita ila na kwa kipindi hicho hakukuwa na binadamu, lakini katika maandkio matakatifu yanaonesha viumbe (namaanisha wanyama wote kama maandiko yanavosema) hawa waliumbwa siku mbili kabla ya binadamu. Namaanisha viumbe waliumbwa kama leo then binadamu akaumbwa kesho kutwa.

Swali: Mbona kama hesabu zinanishinda hapa, maana huku (bible} ni siku moja na tena imesema ukawa usiku na ukawa mchana, lakini huku inasemekana ni miaka mabilioni.

Mwenye ufahamu kidogo anisaidie.
Mimi sijui jibu sahihi labda tufanye kujadiliana.

Kuumbwa kwa Adam hadi kuzaliwa kwa Yesu ni miaka mingapi (kutokana na biblia?). Wanyama waliumbwa siku ya sita right?

Na baada ya kuzaliwa kwa Yesu hadi leo ni miaka mingapi?.

Swali lingine Je kabla ya kuubwa kwa Adamu dunia ilikuwepo kwa miaka mingapi nyuma?

Kwa sababu kwa "mtazamo wangu" kama tutaamini dunia ina billions of years na hawa Dinosaur waliishi miaka millioni nyuma inabidi tuamini kuhusu Evolution. Hapa kujibu swali lako kwa kutumia Biblia imeshashindikana.

Je, tuamini kwamba hesabu za miaka za mbinguni ni tofauti za duniani? Ile ya siku moja kwa Mungu kama maelfu ya miaka duniani? Kama ni hivi inawezekana ni kweli Dinosaur waliishi miaka mingi kabla ya uwepo wa binadamu. Maana katika uumbwaji wanyama walitangulia kuumbwa na kutoka siku moja kwenda siku nyingine hapo katikati kuna maelfu ya miaka(kwa hesabu za mbinguni na za duniani).

Lakini katika Biblia sijaona uwepo wa Dinosaur. Katika Job 40 and 41 hawa "behemoth" na "Leviathan " naona ni crocodiles and hippos na sio Dinosaur kama vile watu wanasema.

"Mtazamo wangu" naamini hawa Dinosaur waliishi muda huo huo na binadamu walikuwepo lakini waliishi sehemu nyingine. Dunia ni kubwa na binadamu walikuwa wachache. Kwahiyo yawezekama hawa waliishi maeneo ambayo binadamu hawakuwa wamefika.

NOTE: Huu ni mtazamo wangu sio FACT.
Karibu.
 
Mi naamini siku 6 za uuambaji wa Mungu zilikuwa sawa au zaidi ya miaka bilioni 6 duniani.

Nasa wanasema jua lina umri wa miaka 4.6 billions, sidhani kama kizazi cha binadamu tangu kiumbwe hapa duniani kimefika zaidi ya miaka milioni 500 iliyopita.

Naamini binadamu ni wa juzi juzi tuu kama miaka milioni 2 au 3 iliyopita. Hiyo miaka ya dinassor binadamu angekuwepo angeliwa kama mshikaki.

Hii dunia ina siri nyingi sana haswa kwenye swala uumbaji wa ulimwengu. Bado hatufahamu mambo mengi sana
yan hata iyo milioni 2 ni mingi sana labda tukubali evolution tukiwa kama home ability ndo tunamiaka 2milion lakin kwa uzao wa adamu hata laki tano hatufik. binadam si wa juzi kabixaaa kabixaa.
 
Mimi sijui jibu sahihi labda tufanye kujadiliana.

Kuumbwa kwa Adam hadi kuzaliwa kwa Yesu ni miaka mingapi (kutokana na biblia?). Wanyama waliumbwa siku ya sita right?

Na baada ya kuzaliwa kwa Yesu hadi leo ni miaka mingapi?.

Swali lingine Je kabla ya kuubwa kwa Adamu dunia ilikuwepo kwa miaka mingapi nyuma?

Kwa sababu kwa "mtazamo wangu" kama tutaamini dunia ina billions of years na hawa Dinosaur waliishi miaka millioni nyuma inabidi tuamini kuhusu Evolution. Hapa kujibu swali lako kwa kutumia Biblia imeshashindikana.

Je, tuamini kwamba hesabu za miaka za mbinguni ni tofauti za duniani? Ile ya siku moja kwa Mungu kama maelfu ya miaka duniani? Kama ni hivi inawezekana ni kweli Dinosaur waliishi miaka mingi kabla ya uwepo wa binadamu. Maana katika uumbwaji wanyama walitangulia kuumbwa na kutoka siku moja kwenda siku nyingine hapo katikati kuna maelfu ya miaka(kwa hesabu za mbinguni na za duniani).

Lakini katika Biblia sijaona uwepo wa Dinosaur. Katika Job 40 and 41 hawa "behemoth" na "Leviathan " naona ni crocodiles and hippos na sio Dinosaur kama vile watu wanasema.

"Mtazamo wangu" naamini hawa Dinosaur waliishi muda huo huo na binadamu walikuwepo lakini waliishi sehemu nyingine. Dunia ni kubwa na binadamu walikuwa wachache. Kwahiyo yawezekama hawa waliishi maeneo ambayo binadamu hawakuwa wamefika.

NOTE: Huu ni mtazamo wangu sio FACT.
Karibu.
napingana na hoja yako kwamba inawezeakana siku za Mungu zilizoongelewa hapo ilikua ni maelfu ya miaka huku dunini kwa kuwa biblia imesema ikawa usiku ikawa mchana means siku iliyoongelewa hapo ni hii ya kufata usiku na mchana kwa kuwa hao viumbe waliumbwa hukuhuku duniani hawajaumwa huko mbinguni
pia kusema mungu alitumia miaka elfu kuumba watu wawili ni kama kumshusha uwezo
 
Mi naamini siku 6 za uuambaji wa Mungu zilikuwa sawa au zaidi ya miaka bilioni 6 duniani.

Nasa wanasema jua lina umri wa miaka 4.6 billions, sidhani kama kizazi cha binadamu tangu kiumbwe hapa duniani kimefika zaidi ya miaka milioni 500 iliyopita.

Naamini binadamu ni wa juzi juzi tuu kama miaka milioni 2 au 3 iliyopita. Hiyo miaka ya dinassor binadamu angekuwepo angeliwa kama mshikaki.

Hii dunia ina siri nyingi sana haswa kwenye swala uumbaji wa ulimwengu. Bado hatufahamu mambo mengi sana
Mkuu pia kumbuka kuwa adamu alikuwa na upana wa futi nane na urefu wa futi 16,hivyo kusema kuwa binadamu angekuwepo enzi hizo angeliwa na hawa wanyama si kweli,can you imagine mtu wa upana wa futi 8 na urefu wafuti 16 alikuwaje?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mi naamini siku 6 za uuambaji wa Mungu zilikuwa sawa au zaidi ya miaka bilioni 6 duniani.

Nasa wanasema jua lina umri wa miaka 4.6 billions, sidhani kama kizazi cha binadamu tangu kiumbwe hapa duniani kimefika zaidi ya miaka milioni 500 iliyopita.

Naamini binadamu ni wa juzi juzi tuu kama miaka milioni 2 au 3 iliyopita. Hiyo miaka ya dinassor binadamu angekuwepo angeliwa kama mshikaki.

Hii dunia ina siri nyingi sana haswa kwenye swala uumbaji wa ulimwengu. Bado hatufahamu mambo mengi sana
"Hiyo miaka ya dinassor binadamu angekuwepo angeliwa kama mshikaki".
Nimecheka sana.
 
Back
Top Bottom