Malaika anayetajwa katika Ufunuo wa Yohana 9:11, ni nani haswa? Je kupatwa kwa jua Aprili 2024 kunahusiana na malaika huyu?

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,755
Wana JF, umofia kwenu.

Sisi ambao tumeishi kwenye kupokea imani katika umoja na utofauti wa itikadi zetu, tunaelewa uwepo wa viumbe wa kipekee ambao waliumbwa kwa upepo na moto. Baadhi ya viumbe hao waliasi na kutuletea sintifahamu kubwa kwenye mahusiano yetu na aliyetuumba (kwa imani tunavyoamini sisi).

Apollyon1.jpeg

Majina ya Malaika wanaotajwa mara nyingi kwenye kitabu cha Biblia ni Mikaeli, Gabriel na Lusifa ambaye baadaye aligeuka kuwa shetani. Lakini kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana ametajwa malaika mwingine ambaye anaonekana na jukumu tofauti la kuogofya zaidi. Wahubiri wengi wamekuwa wakihubiri safari ya Mbinguni na funuo mbalimbali zinazotarajiwa kutokea kabla ya siku kubwa ya Big Bang itakayoumaliza ulimwengu huu na kuanza maisha mapya nje ya realm hii tunayoishi.
Apollyon 2.jpeg

Ufunuo 9:11 Juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.

Malaika huyu ana special segment kwenye moja ya battalion ya lusifa kama inavyoelezwa kwenye Ufunuo 9: 2 - 10. Ukichunguza maandiko unaweza kupata nukta kadhaa za kuunganisha ili kupata usahihi ama ukaribiano wa matukio yaliyotabiriwa. Hivi sasa mamlaka za kimataifa za Hali ya Hewa wametoa tahadhari uwezekano wa kupatwa kwa jua mnamo tarehe 4 April 2024 ambapo jua litatiwa giza kwa muda mrefu zaidi kulingana na historia ya kupatwa kwa jua.
nzige wa Apollyon.png

Nini kitatokea kwenye tukio hilo na uwezekano wa historia ya dunia kubadilika baada ya jua kupatwa unaweza kuthibitisha kuwa Abadon atakuwa ameshapanda baada ya shimo la kuzimu kufunguliwa? Pia kumekuwa na matukio yakiripotiwa ya kuonekana kwa nzige waharibifu mahala mahala, ambapo miaka ya hivi karibuni kumeripotiwa nzige kuzingira eneo la Hijja la Maka hususan ule msikiti mkubwa. Jambo hili limewaibua watu wengi kujaribu kuongelea uwezekano wa dalili zilizotajwa kwenye kitabu cha Ufunuo; ambapo ukichimba taarifa za nzige hao hawahusiani hata kidogo na Nzige wanaotajwa kwenye Ufunuo 9: 3, 7-9.
Apollyon.jpeg

Lengo la uzi huu ni kutafuta elimu zaidi kuhusu malaika hususan huyu aliyetajwa kwenye kitabu hiko. Kwa kuwa analo jina la Kiyunani, inaleta picha kwamba Apolioni anaweza kuwepo kwenye majina ya miungu inayotajwa kwenye taarifa za kale za Wayunani (Wagiriki). Wenye kufahamu haya mambo watushirikishe elimu zaidi kwenye hili jambo.

Karibuni tuelimishane

cC: Rabbon Da vincci
 
Ufafanuzi wa malaika huyu unatofautiana kati ya mitazamo tofauti ya kidini. Baadhi ya tafsiri zinaonyesha kuwa malaika huyu ni kiumbe cha kishetani au ni uhusiano wa nguvu za uovu. Wengine wanachukulia malaika huyu kama mfano wa kishirikina unaowakilisha nguvu za uharibifu na machafuko katika ulimwengu wa kiroho.

Kwa ujumla, utambulisho na asili ya malaika huyu bado ni mada ya tafsiri na majadiliano kati ya wasomi na jamii za kidini.
 
Kwenye maandiko wanasema malaika wa tano akipiga baragumu, atapewa funguo kufungua shimo la kuzimu...... Huyu malaika Abadoni atachomoza na hao nzige hatari... Kuna uhusiano wowote na wale malaika wanne hatari waliofungwa chini ya mto?

Abadon au Apolioni (Apollyon), ni shetani ama jemedari kwenye jeshi lake?
 
Kupatwa kwa jua ni issue ya kawaida sana tena hutokea kwa kujirudiarusia haiwez kua sababu ya Kujustify hilo andiko. Pengine ni Story tu za wayahudi kama sisi tulivyo na Joka la Mdim.
Mkuu, inawezekana kupitia hiyo kawaida unayoisema kukawa na jambo lisilo la kawaida likajinasibisha nalo.

Mfano, kipindi Yoshua mwana wa Nuni alipokuwa anawaongoza Israel kuvamia nchi ya ahadi. alipigana vita ambapo alimuomba Mungu asimamishe jua (zamani hizo waliamini jua linazunguka ulimwengu) na likatii. maana yake dunia ilisimama katika kujizungusha kwenye mhimili wake. Kuna ushahidi wa kisayansi na kihistoria unaoelezea hili tukio pia
Cambridge researchers announced Monday that they have pinpointed the date of the biblical account of Joshua stopping the sun — which they claim is the day of the oldest eclipse ever recorded — to October 30, 1207 BCE, exactly 3,224 years ago.

'Joshua stopped the sun' 3224 years ago today, scientists say

The Times of Israel
https://www.timesofisrael.com › 3224-years-later-scienti...
Unaweza kusoma hapo kuona namna ambavyo sisi Waafrika tunajiridhisha akili zetu haraka mno ama kujiondoa kwenye race ya kutafuta facts kwa sababu ya kuwaza yasiyowezekana
 
Kwenye maandiko wanasema malaika wa tano akipiga baragumu, atapewa funguo kufungua shimo la kuzimu...... Huyu malaika Abadoni atachomoza na hao nzige hatari... Kuna uhusiano wowote na wale malaika wanne hatari waliofungwa chini ya mto?

Abadon au Apolioni (Apollyon), ni shetani ama jemedari kwenye jeshi lake?
Ndio, katika muktadha wa Ufunuo 9:11, malaika huyu anayejulikana kama Abadoni au Apolioni anaunganishwa na tukio la malaika wa tano akitoa tarumbeta na kupewa funguo za shimo la kuzimu. Kisha, nzige hatari wanaoongozwa na huyu malaika huachiwa kutoka kwenye shimo hilo. Kuhusu uhusiano na malaika wanne waliofungwa chini ya mto, kuna mjadala kuhusu hilo katika tafsiri mbalimbali za maandiko.

Katika tafsiri za kidini, kuna tofauti za maoni kuhusu utambulisho na asili ya malaika huyu. Baadhi wanafikiria kuwa Abadoni au Apolioni ni jemedari katika jeshi la Shetani, wakati wengine wanaweza kuona malaika huyu kama uhusiano wa nguvu za uovu au mfano wa kishetani. Hata hivyo, maandiko hayatoi maelezo ya kutosha kuhusu utambulisho halisi wa malaika huyu, hivyo suala hilo bado linabaki kama mada ya tafsiri na majadiliano katika muktadha wa imani na teolojia.
 
Mkuu, inawezekana kupitia hiyo kawaida unayoisema kukawa na jambo lisilo la kawaida likajinasibisha nalo.

Mfano, kipindi Yoshua mwana wa Nuni alipokuwa anawaongoza Israel kuvamia nchi ya ahadi. alipigana vita ambapo alimuomba Mungu asimamishe jua (zamani hizo waliamini jua linazunguka ulimwengu) na likatii. maana yake dunia ilisimama katika kujizungusha kwenye mhimili wake. Kuna ushahidi wa kisayansi na kihistoria unaoelezea hili tukio pia

Unaweza kusoma hapo kuona namna ambavyo sisi Waafrika tunajiridhisha akili zetu haraka mno ama kujiondoa kwenye race ya kutafuta facts kwa sababu ya kuwaza yasiyowezekana
Kimsingi mimi ukishatumia scriptures kama mtetezi wa hoja yako siwezi elewana na wewe sababu hizo sasa ni imani sawa kabisa na hisia/mapenzi binafs.
 
Wana JF, umofia kwenu.

Sisi ambao tumeishi kwenye kupokea imani katika umoja na utofauti wa itikadi zetu, tunaelewa uwepo wa viumbe wa kipekee ambao waliumbwa kwa upepo na moto. Baadhi ya viumbe hao waliasi na kutuletea sintifahamu kubwa kwenye mahusiano yetu na aliyetuumba (kwa imani tunavyoamini sisi).

View attachment 2948716
Majina ya Malaika wanaotajwa mara nyingi kwenye kitabu cha Biblia ni Mikaeli, Gabriel na Lusifa ambaye baadaye aligeuka kuwa shetani. Lakini kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana ametajwa malaika mwingine ambaye anaonekana na jukumu tofauti la kuogofya zaidi. Wahubiri wengi wamekuwa wakihubiri safari ya Mbinguni na funuo mbalimbali zinazotarajiwa kutokea kabla ya siku kubwa ya Big Bang itakayoumaliza ulimwengu huu na kuanza maisha mapya nje ya realm hii tunayoishi.
View attachment 2948713
Ufunuo 9:11 Juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.

Malaika huyu ana special segment kwenye moja ya battalion ya lusifa kama inavyoelezwa kwenye Ufunuo 9: 2 - 10. Ukichunguza maandiko unaweza kupata nukta kadhaa za kuunganisha ili kupata usahihi ama ukaribiano wa matukio yaliyotabiriwa. Hivi sasa mamlaka za kimataifa za Hali ya Hewa wametoa tahadhari uwezekano wa kupatwa kwa jua mnamo tarehe 4 April 2024 ambapo jua litatiwa giza kwa muda mrefu zaidi kulingana na historia ya kupatwa kwa jua.
View attachment 2948715

Nini kitatokea kwenye tukio hilo na uwezekano wa historia ya dunia kubadilika baada ya jua kupatwa unaweza kuthibitisha kuwa Abadon atakuwa ameshapanda baada ya shimo la kuzimu kufunguliwa? Pia kumekuwa na matukio yakiripotiwa ya kuonekana kwa nzige waharibifu mahala mahala, ambapo miaka ya hivi karibuni kumeripotiwa nzige kuzingira eneo la Hijja la Maka hususan ule msikiti mkubwa. Jambo hili limewaibua watu wengi kujaribu kuongelea uwezekano wa dalili zilizotajwa kwenye kitabu cha Ufunuo; ambapo ukichimba taarifa za nzige hao hawahusiani hata kidogo na Nzige wanaotajwa kwenye Ufunuo 9: 3, 7-9.
View attachment 2948718

Lengo la uzi huu ni kutafuta elimu zaidi kuhusu malaika hususan huyu aliyetajwa kwenye kitabu hiko. Kwa kuwa analo jina la Kiyunani, inaleta picha kwamba Apolioni anaweza kuwepo kwenye majina ya miungu inayotajwa kwenye taarifa za kale za Wayunani (Wagiriki). Wenye kufahamu haya mambo watushirikishe elimu zaidi kwenye hili jambo.

Karibuni tuelimishane
Madam nzuri sana.
 
Kwenye maandiko wanasema malaika wa tano akipiga baragumu, atapewa funguo kufungua shimo la kuzimu...... Huyu malaika Abadoni atachomoza na hao nzige hatari... Kuna uhusiano wowote na wale malaika wanne hatari waliofungwa chini ya mto?

Abadon au Apolioni (Apollyon), ni shetani ama jemedari kwenye jeshi lake?
Na kwanini mungu mkuu aruhusu hili litokee?............
 
Wana JF, umofia kwenu.

Sisi ambao tumeishi kwenye kupokea imani katika umoja na utofauti wa itikadi zetu, tunaelewa uwepo wa viumbe wa kipekee ambao waliumbwa kwa upepo na moto. Baadhi ya viumbe hao waliasi na kutuletea sintifahamu kubwa kwenye mahusiano yetu na aliyetuumba (kwa imani tunavyoamini sisi).

View attachment 2948716
Majina ya Malaika wanaotajwa mara nyingi kwenye kitabu cha Biblia ni Mikaeli, Gabriel na Lusifa ambaye baadaye aligeuka kuwa shetani. Lakini kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana ametajwa malaika mwingine ambaye anaonekana na jukumu tofauti la kuogofya zaidi. Wahubiri wengi wamekuwa wakihubiri safari ya Mbinguni na funuo mbalimbali zinazotarajiwa kutokea kabla ya siku kubwa ya Big Bang itakayoumaliza ulimwengu huu na kuanza maisha mapya nje ya realm hii tunayoishi.
View attachment 2948713
Ufunuo 9:11 Juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.

Malaika huyu ana special segment kwenye moja ya battalion ya lusifa kama inavyoelezwa kwenye Ufunuo 9: 2 - 10. Ukichunguza maandiko unaweza kupata nukta kadhaa za kuunganisha ili kupata usahihi ama ukaribiano wa matukio yaliyotabiriwa. Hivi sasa mamlaka za kimataifa za Hali ya Hewa wametoa tahadhari uwezekano wa kupatwa kwa jua mnamo tarehe 4 April 2024 ambapo jua litatiwa giza kwa muda mrefu zaidi kulingana na historia ya kupatwa kwa jua.
View attachment 2948715

Nini kitatokea kwenye tukio hilo na uwezekano wa historia ya dunia kubadilika baada ya jua kupatwa unaweza kuthibitisha kuwa Abadon atakuwa ameshapanda baada ya shimo la kuzimu kufunguliwa? Pia kumekuwa na matukio yakiripotiwa ya kuonekana kwa nzige waharibifu mahala mahala, ambapo miaka ya hivi karibuni kumeripotiwa nzige kuzingira eneo la Hijja la Maka hususan ule msikiti mkubwa. Jambo hili limewaibua watu wengi kujaribu kuongelea uwezekano wa dalili zilizotajwa kwenye kitabu cha Ufunuo; ambapo ukichimba taarifa za nzige hao hawahusiani hata kidogo na Nzige wanaotajwa kwenye Ufunuo 9: 3, 7-9.
View attachment 2948718

Lengo la uzi huu ni kutafuta elimu zaidi kuhusu malaika hususan huyu aliyetajwa kwenye kitabu hiko. Kwa kuwa analo jina la Kiyunani, inaleta picha kwamba Apolioni anaweza kuwepo kwenye majina ya miungu inayotajwa kwenye taarifa za kale za Wayunani (Wagiriki). Wenye kufahamu haya mambo watushirikishe elimu zaidi kwenye hili jambo.

Karibuni tuelimishane
Napenda kumpongeza mama kwani nchi yetu itapata watalii wengi watakaokuja kushuhudia tukio hili, ambalo halijawahi kutokea kwenye awamu zilizopita.
 
Hakuna tahadhali ya kupatwa kwa jua, ni taarifa ya uhakika itokanayo na hesabu za mizunguko ya dunia na mwezi.

Tokio hilo lipo kila mwaka na halina madhara yoyote, kinachosababisha total eclipse kuchukuliwa kama tukio adimu ni kwamba japo ipo mara kadhaa kila mwaka, huwa itatokea sehemu tofauti tofauti. Inachukua miaka mingi kwa eneo moja kurudiwa na total solar eclipse .

The rest uliyoandika is total garbage, honestly i don't know how people live with their heads filled with such crazy stuff!
 
Back
Top Bottom