DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,503
- 1,906
Katika kusoma soma huku na kule nimekuatana na kitu ambacho kimenichanganya; labda nilete kwenu wana ndugu. Ipo hivi:
Katika kufuatilia historia ya Dinosaurs inasamekana kwamba waliishi miaka kama billions zilizopita ila na kwa kipindi hicho hakukuwa na binadamu, lakini katika maandkio matakatifu yanaonesha viumbe (namaanisha wanyama wote kama maandiko yanavosema) hawa waliumbwa siku mbili kabla ya binadamu. Namaanisha viumbe waliumbwa kama leo then binadamu akaumbwa kesho kutwa.
Swali: Mbona kama hesabu zinanishinda hapa, maana huku (bible} ni siku moja na tena imesema ukawa usiku na ukawa mchana, lakini huku inasemekana ni miaka mabilioni.
Mwenye ufahamu kidogo anisaidie.