Ni uhaini - as simple as that!

Ni uhaini - as simple as that!

Is this the home of great thinkers, or is the botomless Pit of rubbish Spiters?? Someni bandiko la mwanakijiji na kuingia kwenye mjadala kama mko fiti kwenye Historia na Filosofia.

Nyie mnaoshabikia Zanzibar kujitenga ina maana nyie (wanyakyusa,Waha, Wanyamwezi, wabarabaig, wanyia, na wengineo) mna mahusiano ya karibu na Wazaramo na wangindo na wandengereko kuliko makabila hayo yalivyo na ukaribu na wazanzibar?

Hivi kabila la Mzee Karume Mnalijua??!!

Mnyasa. Kwa hiyo......?

Amandla.......
 
..hakuna haja ya kuwalazimisha wa-Zenj kuwa kwenye muungano.

..binafsi nilitegemea masuala yanayohusu hatima ya Muungano yajadiliwe bungeni Dodoma kwasababu ndiyo mahala pake.

..ikiwa wa-Zenj, hata kama wamepotoka, wameamua kufanya mijadala hii Zenj kwenye baraza la wawakilishi, basi wa-Tanganyika hatuna budi kuridhia maamuzi yao.

..badala ya kuanza kuwaita majina mabaya-mabaya, ingekuwa busara kama tutaangalia tutaishi vipi, na tutakuwa na mashirikiano na mahusiano ya namna gani, na majirani na ndugu zetu wa Zenj.

NB:

..haya maamuzi ya baraza la wawakilishi yangependeza kama yangekuwa yamepewa baraka za kura ya maoni ya wa-Zenj kuhusu Muungano.
 
Ibara ya 1 na 2 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kuwa Tanzania ni nchi MOJA ambayo eneo lake ni kama ilivyoanishwa. Zanzibar wanatangaza "nchi" nyingine ndani ya hii nchi moja. Hivi kweli unaamini tumebakia na nchi moja au nchi mbili?
 
Hebu twende hatua kwa hatua. Tukikubali katiba ya Zanzibar inayosema 'Zanzibar ni nchi moja miongoni mwa nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania', hebu tujiulize hiyo nchi ya pili katika muungano huo iko wapi na katiba yake ni ipi?

Inaelekea watu walilikoroga tangu zamani wakalifunika, sasa ni zamu ya kulinywa au kulimwaga!
 
GenerationY,
Mkuu umezidi kuuliza kama Zanzibar ni nchi au sio nchi, Kifupi sielewi unachotaka kuelewa kwani Hata kwetu huko Ukerewe ni nchi na ina mipaka yake kama visiwa.

Nitakueleza makosa yanayofanyika hapa. Hakuna kitu kibaya zaidi ya hilo baraza lenu kutumia Uhuru wa mwaka 1963 kama ndio Kuzaliwa kwa nchi ya Zanzibar. Kumbuka tu Uhuru ule wa Zanzibar ni sawa na ule wa kina Ian Smith makaburu kule Rhodesia kabla ya Mapinduzi ya kina Mugabe kuichukua nchi na kuiita Zimbabwe. Na hata South enzi za kina Botha, yaani kila nchi ina historia yake kama kuundwa kwa Tanzania ni historia ambayo huwezi kuiondoa kwa jinsi unavyofikiria wewe.

Kwa hiyo swala la nchi linaanza siku ya Mapinduzi ya nchi hiyo na sio mwaka Sultan alipochukua utawala wake toka kwa Muingereza. M<uingereza alikuwa amemshikia tu Sultan, kilichofanyika ni kutubambika Uhuru wa makaratasi hali Sultan akiendelea kutawala. Zipo nchi kibao zilizopata Uhuru na hata kuingia UN lakini Uhuru ule ulikuja athirika na mabadiliko ya Mapinduzi au Muungano.

Tatizo kubwa la hoja hii ya Muungano inaletwa na watu ambao walikuwa Wapinzani wa Mapinduzi yenyewe - This is a fact!. Hao kina Seif ni makoko ya Hizbu, Mapinduzi hawawezi kuyatambuia isipokuwa uhuru ule wa Sultan na chama chao cha ZNP. Hii ndio hatari ya kuwa na vyama vingi vyenye kukumbuatia uasilia wake.

Nitarudia kusema Zanzibar ni nchi ambayo imetokana na Mapinduzi ya mwaka 1964 na sio Uhuru wa Mwaka 1963. Kinyume cha hapo Zanzibar ilikuwa nchi hata kabla ya Sultan hajatia nanga Unguja na Bara.. Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya mgeni yeyote hajaweka mipaka yake kwani ilikuwa na uhusiano mkubwa na Bara toka karne ya kwanza. Na historia inajionyesha wazi kwani haikuandikwa na wageni waliokuja kuhamia..
 
Mwanakijiji said:
Ibara ya 1 na 2 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kuwa Tanzania ni nchi MOJA ambayo eneo lake ni kama ilivyoanishwa. Zanzibar wanatangaza "nchi" nyingine ndani ya hii nchi moja. Hivi kweli unaamini tumebakia na nchi moja au nchi mbili?

Mwanakijiji,

..kilichotokea ni kwamba tumeshindwa kuwa nchi moja.

..kwa hapa tulipofika tuangalie utaratibu wa kurudisha Tanganyika yetu, na jinsi gani tutashirikiana na majirani zetu wa Zenj.
 
hatujawahi kuwa na Tanganyika "yetu". Tanzania ndiyo yetu; Kwanini tunashabikia kurudia zao la mkoloni na kuona fahari?
 
Mkuu hakuna sababu ya kung'ang'ania jina kwani RDC walikuwa Congo, Ikaitwa Zaire na Mobutu kisha imefikia kuitwa Republic of Congo.
Ila maadam tumefikia hapa, mimi siafiki kabisa mpango wa serikali TATU. Haya matatizo baina ya bara ya visiwani hayatakwisha kabisa kinachotakiwa ni kuvunja Muungano na kila mmoja wetu ashike mkoba wake.. Tumemaliza hadi yatokee Mapinduzi mengine Zanzibar ambayo nina hakika hayatachukua zaidi ya miaka 10 kutokea.
 
11th August 2010

email.png

headline_bullet.jpg
Lawyers: One clause against union constitution
headline_bullet.jpg
Union leaders: Give us time to study document

Wawakilishi%281%29.jpg

The House of Representatives

Zanzibar`s 10th Constitutional amendment unanimously endorsed by the House of Representatives on Monday has sparked mixed reaction on the statehood of the Isles.
Proposals for the constitutional amendment were tabled by Zanzibar Minister of State in the President’s Office (Constitutional Affairs and Good Governance), Ramadhan Abdallah Shaaban, also endorsed the formation of national unity government after the October General Election.
According to the minister, Section 1 of the Isles Constitution will be rephrased to read “Zanzibar is a state whose territory will be the whole areas of Unguja and Pemba and other surrounding islands and territorial waters, which before the Union of Tanganyika and Zanzibar, were recognised as People’s Republic of Zanzibar.”
Constitutional lawyers said such amendment needed approval by two thirds of the Union Parliament and two thirds from the House of Representatives.
Dr Sengondo Mvungi, a constitutional lawyer and lecturer at the University of Dar es Salaam (UDSM) said endorsing the amendments means having two sovereign states within the Union structure.
“That’s why I am saying by that Act, Zanzibar House of Representatives have automatically dissolved the Union between the two sides…let’s speak the truth,” said Mvungi.
“The Union constitution, Section 1 states that Tanzania is one state, and is a sovereign United Republic including Zanzibar. Section 2 (i) of the Union constitution states that the territory of the United Republic of Tanzania includes the whole areas on Tanzania Mainland and Tanzania Zanzibar, including territorial waters,” he said.
Union government leaders would not comment on the amendment, stressing that they will only do so after they have read the full document approved by the House in Zanzibar.
In a telephone interview, the Attorney General, Frederick Werema would only say: “Give me time to study the proposed amendments before giving my comment. This is a sensitive issue, which I cannot comment on before studying the document.”
The Minister of Constitutional Affairs and Justice, Mathias Chikawe, also declined to comment saying: “Let me go through the proposed amendments before giving my comments. The issue touches on the Union between the two sides.”
The Minister of State in the Vice-President’s Office (Union Matters), Mohamed Seif Khatib when reached for comment on the fate of the Union in the wake of the amendment said: “I have just read about the constitutional amendments in newspapers. Remember that’s a constitutional issue…I cannot comment from the air…I need enough time to read amendments before making my comments.”
The 75 Members of the House of Representatives on Monday unanimously endorsed the Island’s 10th constitutional amendments paving the way for a formation of the government of national unity after the October general election.
The House also introduced new clauses in the Isles constitution which seek to recognise Zanzibar as sovereign state.
Moving the constitutional amendment bill motion, Zanzibar Minister of State (Constitutional and good Governance), Ramadhani Abdallah Shaabani, said the new clause in the amendment defined Zanzibar one of two countries that form the United Republic of Tanzania. According to the minister, Sections 1 and 2 of the Zanzibar constitution identifying Zanzibar as part of the United Republic of Tanzania “will be deleted from the constitution.”
Harold Sungusia, a human rights lawyer told The Guardian yesterday the decision by the Zanzibar House of Representatives to amend the Isles constitution so that Zanzibar could be recognised as a state within the Union may create constitutional conflicts between the Union and Zanzibar governments.
“Personally, I am worried that such a decision may create contradiction in the running of the Union and Zanzibar governments. Amendments need to be made to the Union constitution to accommodate such changes (Isles constitutional amendments),” said Sungusia.
He however, declined more details saying “It is not possible to talk about such a sensitive issue without studying the proposed amendments to the Isles constitution.” Currently, he said, the Legal and Human Rights Centre (LHRC) is studying the document of the proposed constitutional amendments with a view of coming up with a comprehensive statement on the issue.
There has been heated debate between 2008 and early last year among Union and Zanzibar leaders and politicians over whether Zanzibar was a “state or not”.
The majority of Zanzibaris led by members of the House of Representatives were irritated by the statement that Zanzibar was not a state but only part of the United Republic of Tanzania.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Mwanakijiji said:
hatujawahi kuwa na Tanganyika "yetu". Tanzania ndiyo yetu; Kwanini tunashabikia kurudia zao la mkoloni na kuona fahari?

Mkjj,

..toka 9th Dec 1961 na kabla hatujaungana na Zenj tulikuwa na Tanganyika yetu.

..wa-Tanganyika hatukuwa na tatizo kabisa kujivua utaifa wetu na kuungana na wenzetu wa-Zenj. tatizo ni kwamba ndugu zetu wa-Zenj wamegoma.

..kwa hali ilipofikia sasa hivi na huko tunakoelekea hatuna jinsi isipokuwa tu kukubaliana nao na kurudisha Tanganyika yetu.

..kama kuna wanaoona kuitwa wa-Tanganyika ni matusi na dharau, basi wapendekeze jina jipya la nchi yetu, lakini wa-Zenj wameamua kwamba hawatakuwa na sisi.
 
11th August 2010

email.png

headline_bullet.jpg
Lawyers: One clause against union constitution
headline_bullet.jpg
Union leaders: Give us time to study document

Wawakilishi%281%29.jpg

The House of Representatives

Zanzibar`s 10th Constitutional amendment unanimously endorsed by the House of Representatives on Monday has sparked mixed reaction on the statehood of the Isles.
Proposals for the constitutional amendment were tabled by Zanzibar Minister of State in the President’s Office (Constitutional Affairs and Good Governance), Ramadhan Abdallah Shaaban, also endorsed the formation of national unity government after the October General Election.

According to the minister, Section 1 of the Isles Constitution will be rephrased to read “Zanzibar is a state whose territory will be the whole areas of Unguja and Pemba and other surrounding islands and territorial waters, which before the Union of Tanganyika and Zanzibar, were recognised as People’s Republic of Zanzibar.”

Constitutional lawyers said such amendment needed approval by two thirds of the Union Parliament and two thirds from the House of Representatives.

Dr Sengondo Mvungi, a constitutional lawyer and lecturer at the University of Dar es Salaam (UDSM) said endorsing the amendments means having two sovereign states within the Union structure.

“That’s why I am saying by that Act, Zanzibar House of Representatives have automatically dissolved the Union between the two sides…let’s speak the truth,” said Mvungi.

“The Union constitution, Section 1 states that Tanzania is one state, and is a sovereign United Republic including Zanzibar. Section 2 (i) of the Union constitution states that the territory of the United Republic of Tanzania includes the whole areas on Tanzania Mainland and Tanzania Zanzibar, including territorial waters,” he said.

Union government leaders would not comment on the amendment, stressing that they will only do so after they have read the full document approved by the House in Zanzibar.

In a telephone interview, the Attorney General, Frederick Werema would only say: “Give me time to study the proposed amendments before giving my comment. This is a sensitive issue, which I cannot comment on before studying the document

The Minister of Constitutional Affairs and Justice, Mathias Chikawe, also declined to comment saying: “Let me go through the proposed amendments before giving my comments. The issue touches on the Union between the two sides

The Minister of State in the Vice-President’s Office (Union Matters), Mohamed Seif Khatib when reached for comment on the fate of the Union in the wake of the amendment said: “I have just read about the constitutional amendments in newspapers. Remember that’s a constitutional issue…I cannot comment from the air…I need enough time to read amendments before making my comments

The 75 Members of the House of Representatives on Monday unanimously endorsed the Island’s 10th constitutional amendments paving the way for a formation of the government of national unity after the October general election.

The House also introduced new clauses in the Isles constitution which seek to recognise Zanzibar as sovereign state.

Moving the constitutional amendment bill motion, Zanzibar Minister of State (Constitutional and good Governance), Ramadhani Abdallah Shaabani, said the new clause in the amendment defined Zanzibar one of two countries that form the United Republic of Tanzania. According to the minister, Sections 1 and 2 of the Zanzibar constitution identifying Zanzibar as part of the United Republic of Tanzania “will be deleted from the constitution.”

Harold Sungusia, a human rights lawyer told The Guardian yesterday the decision by the Zanzibar House of Representatives to amend the Isles constitution so that Zanzibar could be recognised as a state within the Union may create constitutional conflicts between the Union and Zanzibar governments.

“Personally, I am worried that such a decision may create contradiction in the running of the Union and Zanzibar governments. Amendments need to be made to the Union constitution to accommodate such changes (Isles constitutional amendments),” said Sungusia.

He however, declined more details saying “It is not possible to talk about such a sensitive issue without studying the proposed amendments to the Isles constitution.” Currently, he said, the Legal and Human Rights Centre (LHRC) is studying the document of the proposed constitutional amendments with a view of coming up with a comprehensive statement on the issue.

There has been heated debate between 2008 and early last year among Union and Zanzibar leaders and politicians over whether Zanzibar was a “state or not”.

The majority of Zanzibaris led by members of the House of Representatives were irritated by the statement that Zanzibar was not a state but only part of the United Republic of Tanzania.

SOURCE: THE GUARDIAN

Now, with all the issues going around in the gov't and CCM, I still can not believe that the top 3 authorities in this matter did not and still does not know what is going on, days after the vote has already been taken!

I am certain if you ask Kikwete, Shein, Karume or Pinda you will get more or less the same answer as the three officials above!! Amazing.....

Where were they when the document was being prepared? Where were they when the issue was being debated in the House?

Just imagine this: If Kubenea is preparing a Mwanahalisi piece touching on JK, EL or RA or CCM establishment, UWT would have been all over him mpaka uvunguni.

Now, here is one side of the union preparing and submitting a document which touches on the state of the union, yet serikali haijui kitu?
 
Ibara ya 1 na 2 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kuwa Tanzania ni nchi MOJA ambayo eneo lake ni kama ilivyoanishwa. Zanzibar wanatangaza "nchi" nyingine ndani ya hii nchi moja. Hivi kweli unaamini tumebakia na nchi moja au nchi mbili?

kama znz na tz ni nchi moja kwanini sasa kuna serikali 2?ikiwa znz imo ndani ya tanzania kwa maana hiyo unataka kutuambia znz ni mkoa au wilaya sio?ukumbuke kwamba muungano huu sio kama ule wa united states.vile vile tuliungana kwa mambo 11 lakini sasa hivi ni mambo kibao ambayo yamepitishwa kinyemele na watanganyika.mimi nahisi serikali ya tanganyika ipo lakini imejificha chini ya mwamfuli wa tanzania.
 
GenerationY,
Mkuu umezidi kuuliza kama Zanzibar ni nchi au sio nchi, Kifupi sielewi unachotaka kuelewa kwani Hata kwetu huko Ukerewe ni nchi na ina mipaka yake kama visiwa.

Nitakueleza makosa yanayofanyika hapa. Hakuna kitu kibaya zaidi ya hilo baraza lenu kutumia Uhuru wa mwaka 1963 kama ndio Kuzaliwa kwa nchi ya Zanzibar. Kumbuka tu Uhuru ule wa Zanzibar ni sawa na ule wa kina Ian Smith makaburu kule Rhodesia kabla ya Mapinduzi ya kina Mugabe kuichukua nchi na kuiita Zimbabwe. Na hata South enzi za kina Botha, yaani kila nchi ina historia yake kama kuundwa kwa Tanzania ni historia ambayo huwezi kuiondoa kwa jinsi unavyofikiria wewe.

Kwa hiyo swala la nchi linaanza siku ya Mapinduzi ya nchi hiyo na sio mwaka Sultan alipochukua utawala wake toka kwa Muingereza. M<uingereza alikuwa amemshikia tu Sultan, kilichofanyika ni kutubambika Uhuru wa makaratasi hali Sultan akiendelea kutawala. Zipo nchi kibao zilizopata Uhuru na hata kuingia UN lakini Uhuru ule ulikuja athirika na mabadiliko ya Mapinduzi au Muungano.

Tatizo kubwa la hoja hii ya Muungano inaletwa na watu ambao walikuwa Wapinzani wa Mapinduzi yenyewe - This is a fact!. Hao kina Seif ni makoko ya Hizbu, Mapinduzi hawawezi kuyatambuia isipokuwa uhuru ule wa Sultan na chama chao cha ZNP. Hii ndio hatari ya kuwa na vyama vingi vyenye kukumbuatia uasilia wake.

Nitarudia kusema Zanzibar ni nchi ambayo imetokana na Mapinduzi ya mwaka 1964 na sio Uhuru wa Mwaka 1963. Kinyume cha hapo Zanzibar ilikuwa nchi hata kabla ya Sultan hajatia nanga Unguja na Bara.. Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya mgeni yeyote hajaweka mipaka yake kwani ilikuwa na uhusiano mkubwa na Bara toka karne ya kwanza. Na historia inajionyesha wazi kwani haikuandikwa na wageni waliokuja kuhamia..

Mkandara
unachekesha kweli, yani ukerewe nayo ina mipaka teh teh teh teh.

Hapo kwenye nyekundu nafikiri unamkosea Maalim, bado nafikiri si kweli kwamba wewe unachofikiri ndo sahihi yani ya kwamba mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa sahihi kuliko yale ya upande unaomweka Maalim.
 
Hebu twende hatua kwa hatua. Tukikubali katiba ya Zanzibar inayosema 'Zanzibar ni nchi moja miongoni mwa nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania', hebu tujiulize hiyo nchi ya pili katika muungano huo iko wapi na katiba yake ni ipi?

Inaelekea watu walilikoroga tangu zamani wakalifunika, sasa ni zamu ya kulinywa au kulimwaga![/QUOTE]

You have said it all!
 
Mzee Mwanakijiji;101999. Kama kuna watu Zanzibar wanataka kuwa nchi "nje" ya Muungano said:
But as long as we are a United Republic jaribio lolote la kuivunja ni uhaini - as simple as that.[/COLOR]

Kama Zanzibar haitaki kuwa ndani ya Muungano kwenye baraza la wawakilishi waseme hivyo mapema, wajitangaze kuwa wanataka kutoka nje ya Muungano na nina UHAKIKA Kikwete na uongozi wa CCM hakuna atakayeweza kujenga hoja za kuzuia kwani mashujaa hao hawapo tena. Basi watoke na kama nilivyosema tuanze uhusiano wa nchi mbili, binafsi wala sina tatizo kabisa. Lakini kama wanataka tuwe wamoja kama nchi ni lazima mpango wao wa kuitangaza Zanzibar kuwa ni nchi sijui madudu gani ukemewe mara moja na KILA MTANZANIA.

Si kwa sababu hatuwezi kuishi bila Zanzibar au wao bila sisi, bali kwa sababu MUUNGANO UPO na ni lazime utetewe kwa gharama yoyote. Kwanini Zanzibar wasipige kura ya maoni kutaka kujua kama wanataka kubakia ndani ya Muungano?
PIGENI HII KURA TUMALIZE MZIZI WA FITINA!!!

Nilivyomuelewa: As long as Muungano upo kwa mujibu wa sheria hicho ndicho tulichonacho. Kama wapo wanaotaka kuuvunja waseme wazi wazi. Hatuwezi kuwa na muungano mchana na usiku tukawa na na nchi tofauti. Ndio maana amesisitiza kura ipigwe ili tujue huyu ni mnyama au ndege,tusiwe popo. Waseme hivyo mapema, ili Tanganyika wajue wenzetu wanasimamia wapi,tusije kuwa na Makamu wa rais kumbe ni raia wa kigeni, tusiwe na wabunge 80 raia wa nchi jirani.Tusije kuwa na waziri wa ulinzi kumbe ni ''investor'
Mwisho yupo wa post [#12?} amesema MMKJ ni hatari sana, mimi namuomba asiishie hapo atuambie kwa hoja na ajibu hoja za MMKJ kutuonyesha uhatari wake. Hapa hatujadili mtu, kinachojadiliwa ni hoja! na bahati mbaya hajajibu hata hoja moja.tumpe fursa
 
GenerationY,
Mkuu umezidi kuuliza kama Zanzibar ni nchi au sio nchi, Kifupi sielewi unachotaka kuelewa kwani Hata kwetu huko Ukerewe ni nchi na ina mipaka yake kama visiwa.

Nitakueleza makosa yanayofanyika hapa. Hakuna kitu kibaya zaidi ya hilo baraza lenu kutumia Uhuru wa mwaka 1963 kama ndio Kuzaliwa kwa nchi ya Zanzibar. Kumbuka tu Uhuru ule wa Zanzibar ni sawa na ule wa kina Ian Smith makaburu kule Rhodesia kabla ya Mapinduzi ya kina Mugabe kuichukua nchi na kuiita Zimbabwe. Na hata South enzi za kina Botha, yaani kila nchi ina historia yake kama kuundwa kwa Tanzania ni historia ambayo huwezi kuiondoa kwa jinsi unavyofikiria wewe.

Kwa hiyo swala la nchi linaanza siku ya Mapinduzi ya nchi hiyo na sio mwaka Sultan alipochukua utawala wake toka kwa Muingereza. M<uingereza alikuwa amemshikia tu Sultan, kilichofanyika ni kutubambika Uhuru wa makaratasi hali Sultan akiendelea kutawala. Zipo nchi kibao zilizopata Uhuru na hata kuingia UN lakini Uhuru ule ulikuja athirika na mabadiliko ya Mapinduzi au Muungano.

Tatizo kubwa la hoja hii ya Muungano inaletwa na watu ambao walikuwa Wapinzani wa Mapinduzi yenyewe - This is a fact!. Hao kina Seif ni makoko ya Hizbu, Mapinduzi hawawezi kuyatambuia isipokuwa uhuru ule wa Sultan na chama chao cha ZNP. Hii ndio hatari ya kuwa na vyama vingi vyenye kukumbuatia uasilia wake.

Nitarudia kusema Zanzibar ni nchi ambayo imetokana na Mapinduzi ya mwaka 1964 na sio Uhuru wa Mwaka 1963. Kinyume cha hapo Zanzibar ilikuwa nchi hata kabla ya Sultan hajatia nanga Unguja na Bara.. Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya mgeni yeyote hajaweka mipaka yake kwani ilikuwa na uhusiano mkubwa na Bara toka karne ya kwanza. Na historia inajionyesha wazi kwani haikuandikwa na wageni waliokuja kuhamia..

Umeanza kuja ninapopataka. Zanzibar ni nchi, ina utashi wake, historia yake, utamaduni wake. Zanzibar bado ni nchi mpaka leo, kwani pamoja na hayo yote niliyoyataja, ina katiba yake, ina bunge lake, ina serikali yake, na ina mahakama zake. Zanzibar ni nchi ina mipaka yake, na mipaka hii shurti itambuliwe na katiba yake na ilindwe na kiongozi wake. Zanzibar ni nchi, hivyo ina haki ya kufanya chochote inachoona kinafaa

Mkandara, sisi wabara tuache unafki japo kwa sekunde tu. Blaaa blaaa hizi za kung'ang'ania kuwa Zanzibar si nchi hazitasaidia muungano huu katu. Kuna makosa yalifanyika wakati muungano huu ulipoundwa. Na makosa hayo yapo wazi kabisa, ingawa yamepambwa kwa sababu na hoja lukuki ya kuyahalalisha. Kosa lenyewe kubwa, ni kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haukuzaa nchi moja ya Tanzania, bali ulizaa Jinchi moja la Tanzania huku ukikaacha kijinchi kingine cha Zanzibar, kwa kisingizio kuwa eti iyo ni serikali tu, si nchi. Nchi moja serikali mbili, kweli???

Sasa mkuu, hili ni kosa. Muungano huu kwangu mim nautafsiri kama ulikuwa wa kufuta tu jina la Tanganyika ambalo inaonekana baba wa Taifa hakulipenda, huku pia kwa sababu za kiusalama, Zanzibar ikikubali kujiunga na jeshi la tanganyika na kuund jeshi moja. Muungano huu haukuzaa nchi moja katu, nasema hivyo na sitaacha kusema hivyo. sasa leo hii wazanzibar wakiaamua kuitambua mipaka yao nyie mnakasirika nini

Hilo la ukerewe kuwa na mipaka nimechukulisa kama a nice joke, and we need jokes as well ili kurembesha mjadala
 
Ibara ya 1 na 2 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kuwa Tanzania ni nchi MOJA ambayo eneo lake ni kama ilivyoanishwa. Zanzibar wanatangaza "nchi" nyingine ndani ya hii nchi moja. Hivi kweli unaamini tumebakia na nchi moja au nchi mbili?

Nadhani Muungano wa Tanzania ulikuwa tofauti na union zingine zilizojulikana duniani, na hii kwa asilimia kubwa imetokana na historia za kisiasa za nchi mbili zilizoungana (Tanganyika na Zanzibar), kutokana na Siasa za Zanzibar zilivyokuwa na jinsi uhuru ulivyopatikana kulikuwa hakuna muungano wowote ungeweza kuwork out kama huu uliokuwepo, sidhani kama Wazanzibar wangekubali nchi ziungane kabisa na kuwa nchi moja na Zanzibar iwe sehemu ya Tanzania kama jimbo ama mkoa ama kuwe na seriakli tatu, nadhani ile serikali kiunganishi ingepata shida sana kucontrol nchi,

japokuwa JK huwa anachemsha lakini hili la kusema ZANZIBAR NI NCHI NDANI YA TANZANIA, alikuwa sahihi kutokana na muundo wa muungano
1)Muungano unazitambua serikali Mbili, ya Tanzania na serikali ya Mapinduzi, hii serikali ya mapinduzi ni serikali ndani ya serikali kuu ni serikali yenye kupanga bajeti zake, ni serikali yenye vyombo vyake vya habari (TVZ, sauti Zanzibar), ni serikali yenye bunge lake (wawakilishi), na kikubwa kabisa ni serekali yenye Raisi wake na miaka nenda rudi RAis wa Zanzibar ndio huwa mgeni rasmi siku ya uhuru wa zanzibar (Mapinduzi) KWA MTAZAMO WANGU JK ALIKUWA SAHIHI TU, LAKINI ZANZIBAR SI NCHI NJE YA MUUNGANO,

2) mwana kijiji nakubaliana na wewe kuwa kuna ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT, Zanzibar wanachokifanya sasa ni kuitoa nchi ama dola ya Zanzibar inayotambuliwa na JMT tu, na kuiweka kimataifa itambulike na dunia kuwa ni nchi ambayo imeungana na nchi nyingine (SIJUHI NI IPI TANGANYIKA AMA TANZANIA?),
Zanzibar kutoka kwenye Muungano sio tatizo kabisa, lakini hivi vitu vina utaratibu wa kufuata, kile kitendo cha BAraza la wawakilishi kupitisha hiyo hoja bila kuzingatia Katiba mama ya JMT ndio UHAINI anaouzungumza Mwanakijiji
 
Kiukweli
Zanzibar ni nchi na ina haki ya kujitoa ktk muungano. Kiukweli Tanganyika hilo jina binafsi silipendi na hata hivyo ni jina la mjerumani alilotupiga nalo mwaka 1920. Na hata hivyo mda jina hilo lilivyoishi ni kifupi sana kulinganisha na kipindi chochote, hivyo na shauri kwa miono yangu tu Wazanzibar wakijitoa sie ndo tubaki na jina la TANZANIA ni kiasi ya ku DELETE neno muungano.
 
nadhani I will be the last person kusapoti muungano uliojaaa malalamiko yaliyopitiliza .....ht mke/mume akionekana haridhishwi na ndoa mliyofinga bora umuache tuu..maana ukijifanya kumbembeleza anakupotezea muda wa kufanya majukumu yako mengine...kila siku mtajadili kero..ukisovu moja anakuja na mpya..ooops .....kuungana na mlalamishi ni KERO Na upotevu wa muda......nadhani hkukufanyika research kabla ya maamuzi haya....ooops naboreka sana
mix with yours
 
Back
Top Bottom