Junius,
Mkuu wangu pengine wewe unatazama vitu kwa uasilia wa uzawa kuhalalisha matendo ya Viongozi wa Zanzibar. Labda nikupe mfano mzuri sana unaolingana na kile kilichotokea Zanzibar. Pengine unafikiri kwamba Bara hatufahamu au hatuna akili isipokuwa maneno mengi yasiyokuwa na vitendo..
Kwanza nataka nikuambie kitu ni hulka ya wazanzibar popote pale walipo wanajivunia kuwa Wazanzibar kuliko U-tanzania, Uzanzibar unawauma kuliko U-Tanzania, mimi wala sitazami vitu kwa uasili kwa kuwa mawazo ya Wazanzibar wengi haya Reflect na yale ya viongozi wa CCM ambao mpaka dakika za mwisho ndiyo wamekubali kua umma wa Wazanzibar hawataki siasa zao za kinafiki kutoka bara,wanataka mabadiliko na ndiyo maana tupo hapa tulipo saivi na mengi yanakuja inshallah.
Huo muafaka wenu pamoja na hizo kura za maoni ni sawa na CUF wamekubali kuwa mke wa pili wa CCM Bara,
CUF haijawahi kuwa na urafiki na CCM bara kwa Zanzibar imewezekana kwa kuwa CCM bara hawana option ya kuwapa vibaraka wao wa Zanzibar ama wakubali kushindwa uchaguzi ambao hataweza siku zote kuzuia kushindwa kwao kwa mauwaji kila siku, ama wakubali kuwapa CUF serikali kwa mkono mmoja kabla mambo hayajaharibika.
Kwetu sisi Wazanzibar hii ni zaidi ya ushindi, hata wale wachache waliokuwa hawajaelewa sasa wapo nasi mara baada ya kuona mafanikio kwa vitendo ya CUF kuingia serikalini (hadhi ya Zanzibar imeanza kurudi), mimi sijapata kuona katika nyumba mke akawa juu ya mume hiyo nimekusikia wewe Mkandara.
[
SIZE="4"]Haya madai ya viongozi wenu ati wameungana ni kamba tu wanakufungeni kwani kuungana kwa hawa wake wawili ili iwe nini?[/SIZE]
Hujaona bado iwe nini?!! kwanini mnapiga makelele sasa, vipi nyumba ya wake wenza haikaliki?
Hivi kweli wewe na akili yako malalamiko yako siku zote ilikuwa ujue Zanzibar ni nchi au sio nchi ndani ya Muungano?..Hilo tu. na kichekesho kikubwa ni kwamba mnachukulia Muungano wa nchi nyingine ili kutafsiri Muungano wa Tanzania hali Muungano wetu ni unique , tofauti kabisa na miungano mingine kwani tumeua nchi mbili kuunda moja wakati huohuo tukiepuka Zanzibar kumezwa na Tanganyika ndio maana ikawepo serikali ya Zanzibar tukaua serikali ya Bara. Lakini kama tutaunda serikali tatu na kwa kufuata mifano ya mfumo wa nchi nyinginezo Zanzibar itamezwa vibaya sana.
Kweli muungano huu ni unique hakuna duniani kote kwasababu kwa watu wenye akili zao hawawezi kuungana kipuuzi kama hivi...sisi tulilazimishwa na kama tungeulizwa tusingekubali...hata sasa!
[
SIZE="4"]Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba muundo huu tuliokuwa nao umetokana na kuepuka kuunda serikali tatu za Muungano kwani haziwezi kuleta uuwiano wa aina yeyote ile. [/SIZE]
Mkuu kama haya masuala huyafahamu bora unyamaze tu...tumeambiwa mara nyingi kuwa baba yenu wa taifa alikuwa na mawazo ya kuunganisha Afrika nzima na akachukuwa wazo la muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama mfano, hii inamaanisha kuwa kama Nyerere angekuwa mkweli, kungekuwa na uwezekano wa kuunganishwa zaidi ya nchi moja, kwa maana ya zaidi ya serikali moja, hivyo zingekuwa zaidi ya tatu unazodai wewe zimeepukwa kuundwa, hoja yako si sawa kabisa.
Mzee Mwanakijiji naomba niwasilishe tena, kwa kumbukumbu yako, huu uchambuzi:
Where is Zanzibar's death certificate? Any mortal life is bounded by two significant events: birth and death. No wonder birth and death certificates are so central in ascertaining the status of mortal entities. They tell us when and how such entities came, or ceased, to exist.
As the debate on the status of Zanzibar rages on, it is imperative to revisit at least three birth certificates. It is also imperative to revisit at least two death certificates.
Arguably, Zanzibar's birth certificate is the then ‘Constitutional Government and the Rule of Law Decree, 1964'. I say arguably because as a city-state, Zanzibar existed way before Sultan Seyyid Said of Oman shifted his capital from Muscat to Zanzibar in 1832. I also say so because prior to the revolution there was an ‘Act to Declare the Constitution of the State of Zanzibar'.
Accordingly, this birth certificate stated that the "People's Republic of Zanzibar is a Democratic State dedicated to the rule of law." While all this certification was happening another birth certificate was in the making. This is what the former President of Zanzibar and Vice-President of Tanzania, Alhaj Aboud Jumbe, was to later term the birth certificate of the union.
According to Professor Issa Shivji's book ‘Pan-Africanism or Pragmatism? Lesson of Tanganyika – Zanzibar Union', here Alhaj Jumbe was referring to the ‘Articles of Union between the Republic of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar'. Shivji notes that these Articles were co-drafted in great secrecy by Mwalimu Julius Nyerere's expatriate legal officers and "there was no legal advisor involved on the side of Zanzibar."
Curiously, there is no concrete evidence that the Revolutionary Council of the People's Republic of Zanzibar ever ratified Tanzania's birth certificate in accordance with the power invested in it by Zanzibar's birth certificate. But the Tanganyika Parliament did so. In other words, it certified the death of Tanganyika as a state, nation-state, government, country, republic and so forth.
Could it be that this birth certification amounted to the death certification of Zanzibar as a state, nation-state, government, country, republic and so forth? Nay. Why? Because Zanzibar did not forfeit all the sovereignty invested in its birth certificate. It simply became semi-autonomous.
Contradictorily, many years later when fiery parliamentarians known as the G55 almost annulled the death certificate of Tanganyika, Mwalimu Nyerere responded by asserting that Zanzibar exercises shared sovereignty yet it has surrendered sovereignty. In the introduction to his book ‘Our Leadership and the Destiny of Tanzania', he affirmed that "two independent African states surrendered their sovereignty to one New Country – the United Republic of Tanzania."
Candidly, Mwalimu Nyerere went on to state that this "was true of Tanganyika, which reserved no autonomy, so that from then onwards it neither has nor has had any separate government." However, he set the tone for the current contentions when he also said that this "is equally true of Zanzibar, which does have a separate government with power to deal with all matters relating to Zanzibar which were not (then or since) transferred to the Union Government."
Concerning other matters, he thus stated: "Over the surrendered matters it has no direct control whatsoever; it exercises the shared sovereignty through being part of the United Republic of Tanzania and its representation in the Union Parliament and Government in accordance with the Union Constitution." In other words, Zanzibar did not surrender all its sovereignty.
Constitutionally speaking, we might be missing the mark by treating the Articles of Union or the Acts of Union as the Constitution of the United Republic of Tanzania. In fact, as Shivji affirms in ‘The Legal Foundations of the Union in Tanzania's Union and Zanzibar Constitutions', these agreements have the status of a constitution in their own right because they constituted the union.
Consequently, as he further contends, the union parliament has no power to alter the list of union matters in the International Agreement between Tanganyika and Zanzibar. But, ironically, it has been doing so in such a way that curtails the non-shared sovereignty of Zanzibar.
As Shivji further notes in ‘Pan-Africanism or Pragmatism?' the union parliament managed to bypass the scheme of distribution of powers between the Union and Zanzibar by appending the list of union matters to the Interim Constitution of 1965 as a schedule. Since then "the practice developed that the Union parliament increased the list by amending the schedule without reference to the Articles of Union."
Apart from skewing the distribution of power, this practice also skews the distribution of resources. It is not surprising then that Zanzibar's Minister responsible Natural Resources asserts that "any oil extracted in Zanzibar would not be shared with the mainland" and claims that he "don't understand anything concerning the distribution of natural gas that has been discovered and is accruing revenue in Tanzania mainland" (The Citizen 18/07/08).
At the end of the day we are left with a lot of union grievances that have to do with expanding the list of union matters to 22 from the original 11. As we can see, it is the union and non-union matters relating to financial and natural resources that elicits most of these grievances.
All along we have attempted to shelve our grievances. We did so by pre-empting Alhaj Jumbe in a seemingly move to lodge a case in the Constitutional Court. We have also done so by stalling the Zanzibar Accord. If we go on like this, alas, we will be inflicted by a serious resource curse!
After all Mwalimu Nyerere was correct when he said all these grievances are symptoms of our societal problems such as corruption. His advice is as valid today: "The vast majority – in both parts of the Union – are saying, in effect: Deal with the present problems – and sort them out"!
Wewe na Junius hamna tofauti. Mwenzako anatamani utumwa wewe una enzi utawala wa kikoloni na wakisultani! Nyinyi ndio wanafik. Semeni wazi kuwa tunataka tuvunje Muungano ili turudishe hali ya neema ilivyokuwa kabla ya Mapinduzi. Huo uzanzibari mnaojisifia ni ule wa mtwana na muungwana.
sijuwi umeongea kitu gani hapa lakini ninanvyoona na inawezekana wewe si Mtanganyika hasa..hata kama mimi najisifia kwa utwana na uungwana, kama unavyoona, tatizo lipo wapi...wewe unajisifia nini?
Sisi machogo tunajisifia nchi yetu, Tanzania. Awali ya hapo bila shaka Tanganyika.
Masikini weee! hata hujitambuwi kama wewe mnyama au ndege...! na ndiyo maana unaona wivu na choyo kuona kuwa wazanzibar wanafahari na uzanzibar wao ndani ya muungano wa kidhalimu.
It is indeed a hot seat. They say it was especially set up for someone who never sat, nay, stood, on it. Indeed little did the current Prime Minister know, then, that he will be its first victim.
Of course I am talking of the impromptu questions and answers' parliamentary sessions with the PM on Thursdays. Many a times the Premier has come out of them unscathed. But there is one particular matter that tends to put him on the spot: ‘The Zanzibar Question.'
Not so long ago the PM ignited a national debate when he seemed to claim that ‘Zanzibar is not a country.' This time around, in his usual frankness, he has expressed a controversial wish. ‘God willing', said he, ‘I would like to see Tanzania run by a single government instead of two.'
Expectedly, this statement has sparked yet another national debate on ‘The Union Question'. "Several Zanzibar politicians", noted The Citizen of 1 August 2009, "denounced Prime Minister Mizengo Pinda's remark." One of them even insisted that the PM should withdraw his statement.
In an interview with BBC Africa, Prof. Abdallah Safari observed how reluctant we have been in dealing squarely with genuine grievances particularly in regard to Zanzibar's identity and autonomy. It is this tendency to beat around the bush that renders ‘Kero the Muungano', that is, ‘Union Grievances', a never ending issue. It's about time now that we take the bull by its horns.
But where do we start? With the vision(s) that informed the founding fathers of the Union, that is, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere and Sheikh Abeid Amani Karume? Or, by way of referenda, should we go to the people of the then Tanganyika and Zanzibar, that is, Tanzanians?
If we start with the former then we have to understand what end was justified by the means in which the ‘Articles of Union between the Republic of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar' were signed in 1964. Surely the quest for African Unity or Pan-Africanism was a motivating factor. But, in an ulterior sense, it was not the primary one.
To Karume, as Prof. B. P. Srivastava notes in ‘The Constitution of the United Republic of Tanzania 1977–Some Salient Features-Some Riddles', the Union was mainly "motivated by the instinct of political self-preservation" as it brought strength to Zanzibar and protected them from external enemies of the Revolution.
In the case of Nyerere who had then just survived an army mutiny, the Union was mostly motivated by the need to protect Tanganyika from an impending Communist threat in its doorstep. Way back before independence he was quoted as saying that Zanzibar is "very vulnerable to outside influences" and thus confessed: "I fear it will be a big headache for me."
Many years later he admitted that the "Act of Union" was "an emergency act." It is not surprising then that this is the same Nyerere who became a fiery critic of those Members of Parliament, famously known as G55, who came up with a resolution, demanding a government of Tanganyika. What he wrote afterwards can help us move beyond the current Union structure.
In his book on ‘Our Leadership and the Destiny of Tanzania', Nyerere affirms that we could have adopted a merger with one government or a federation with three governments. "But", he insists, "we felt unable to do so because of the small size of Zanzibar relative to that of Tanganyika." The latter setup, he asserts, "would have been too costly for Tanganyika" But why? Because it "would contribute the vast bulk of the costs for running" it on top of its own.
Why then didn't we opt for what the current PM wish? Nyerere's answer is as significant today as it was then: "A Union with One Government would give the impression that Tanganyika had swallowed up Zanzibar. We had been fighting for the Independence and Unity of Africa; we did not want it to be thought, even erroneously, that we were introducing a new form of imperialism."
He thus concludes his answer: "For that reason I opposed a One Government structure." Surely the PM who happened to be a protégé of Nyerere could have not missed that. Who then inspired his wish for a one government? Ironically, it must be this same mentor of his. To Nyerere, a one government setup remained an option. But a three-government setup was always a nonstarter.
Thus Nyerere's poetic book ‘Tanzania! Tanzania!' is primarily a passionate argument about why the Union will collapse if we form a federation with three governments. Therein he insists that if we really have to change it then let us change it to a one government Union. This might have been the ultimate goal that he had in mind all along.
It may be true that "the founder of the Union", as Dr. Sengondo Mvungi recalls in The Citizen cited above, "had said that the two governments was merely a transitional stage toward a single government." But why then have we witnessed a lot of high level reservations over the years toward the increase of Union matters in the Constitution of the United Republic of Tanzania?
Indeed those matters have constitutionally doubled from the original 11 in the Articles of Union. To make matters worse, as Prof. Abdul Sherrif and Ismail Jussa observes in their chapter on ‘One Step Forward, Two Steps Backwards: The State of Constitutionalism in Zanzibar-2007', out of the 17 areas covered by the East Africa Community Treaty only 4 are Union matters!
In that regard the other 13 areas fall within the jurisdiction of the revolutionary government. Yet its representation in the fast-tracking of the East African Federation is as ambiguous. No wonder, as the two authors note, "a question that was raised repeatedly by the people of Zanzibar during the Wangwe Commission public hearings was one related to the fact that the Union government had assumed powers that are exclusively under the jurisdiction of the Zanzibar government."
If we don't deal squarely with these reservations they will surely pile up and explode. Perhaps in the spirit of the Nyalali Commission there is a need to hold a referendum. What do people want?
Kijana, unakumbuka Nyerere alisema mangapi?
Si alikwambieni kuwa ikulu si pango la wezi...leo wangapi wapo kule na wangapi wameiba mchana kweupe...mumefunga mikono mnawatazama tu na weshakwambieni hawana haja na kura zenu...lakini kwa kuwa mazuzu mtawapa tu.
sijuwi umeongea kitu gani hapa lakini ninanvyoona na inawezekana wewe si Mtanganyika hasa..hata kama mimi najisifia kwa utwana na uungwana, kama unavyoona, tatizo lipo wapi...wewe unajisifia nini?
Baba yangu alizaliwa katika nchi iliyokuwa ikiitwa German East Afica. Mimi nilizaliwa katika nchi iliyokuwa ikiitwa Tanganyika. Sasa naishi na nina uraia wa nchi inayoiwa Tanzania. Ninavunia utu wangu, halafu utanzania wangu. Siku ambapo jina Tanganyika litakaporudi, nitajivunia kuwa raia wake.
Naamini kuwa hakuna mtu yeyote anayestahili kuwa mtwana au muungwana juu ya mwingine. Wewe inaelek
ea ulizaliwa katika Jamhuri ya Muungano ya Tanzania au wakati JMT imeshazaliwa. Huo uzanzibari unaojisifia ni wa kusimuliwa ama na nduguzo waliokimbia mapinduzi au walioathirika kwa namna moja au nyingine na hayo mapinduzi ambapo watwana walitwaa nchi.
Masikini weee! hata hujitambuwi kama wewe mnyama au ndege...! na ndiyo maana unaona wivu na choyo kuona kuwa wazanzibar wanafahari na uzanzibar wao ndani ya muungano wa kidhalimu.
Nitawaoneaje wivu watu ambao hawanihusu? Lakini pamoja na hayo ninawajua wazanzibari. Kama nilivyosema awali, tumeoleana, tumesoma pamoja, tumefanya kazi pamoja. Wako walio kama wewe, wenye chuki na Muungano na wanaojihesabu kuwa ni wazanzibari kuliko watanzania. Lakini humo humo wapo ambao wanajivunia utanzania wao kuliko hata mimi. Wanaowaangalia wakorofi kama nyinyi kwa woga maana waliiona Zanzibar hiyo mnayotaka kurudisha. Zanzibar ya watwana na waungwana. Hauwasemei wote. Na viongozi wenu wanajua. Siku wakitangaza wazi kuwa wanavunja muungano, huko kwenu kutawaka moto. Hao ambao mnadhani ni mabubu, watwana, wataamka na kuwaambia kulikoni. Ndio maana sisi mbao mnadhani tuna chuki na wivu na nyie, tunasisitiza mpige kura ya maoni kuhusu muungano, na kama wengi watakuwa na mawazo kama yako, muende. Muungano tuuvunje kwa amani, kila mmoja aangalie mbele. Tusichokitaka ni huku kutuuma wakati mnapulizia. Andamaneni, muwaambie viongozi wenu kuwa mmechoka na udhalimu wa JMT, mnataka mjitoe jumla!
Nitawaoneaje wivu watu ambao hawanihusu? Lakini pamoja na hayo ninawajua wazanzibari. Kama nilivyosema awali, tumeoleana, tumesoma pamoja, tumefanya kazi pamoja. Wako walio kama wewe, wenye chuki na Muungano na wanaojihesabu kuwa ni wazanzibari kuliko watanzania. Lakini humo humo wapo ambao wanajivunia utanzania wao kuliko hata mimi. Wanaowaangalia wakorofi kama nyinyi kwa woga maana waliiona Zanzibar hiyo mnayotaka kurudisha. Zanzibar ya watwana na waungwana. Hauwasemei wote. Na viongozi wenu wanajua. Siku wakitangaza wazi kuwa wanavunja muungano, huko kwenu kutawaka moto. Hao ambao mnadhani ni mabubu, watwana, wataamka na kuwaambia kulikoni. Ndio maana sisi mbao mnadhani tuna chuki na wivu na nyie, tunasisitiza mpige kura ya maoni kuhusu muungano, na kama wengi watakuwa na mawazo kama yako, muende. Muungano tuuvunje kwa amani, kila mmoja aangalie mbele. Tusichokitaka ni huku kutuuma wakati mnapulizia. Andamaneni, muwaambie viongozi wenu kuwa mmechoka na udhalimu wa JMT, mnataka mjitoe jumla!
FM mkuu
Usipoteze muda wako kubishana na jamaa hawa.Kama ni ubishi kwa ajili ya ubishi hawa ni nambari wani.Ni Nyerere na Komandoo tu ndo waliijua dawa yao.
Sasa hivi Mh Karume is probably in unconfortable waters, kautosa muungano kwa kuwaridhisha wale wenye mentality ya kukumbatia uarabu.
Bahati mbaya sana si wabara wengi wanaowafahamu hawa wenzetu vizuri.
"Ulaya" ya kwao ni Muscat Oman na kwingineko.Tafuta mizizi ya Usultani ndo utaelewa.
Kiongozi yoyote wa Unguja mambo yakimyookea hata kama ameoa mwafrika mwenzake , basi anakimbilia kuoa mke mwenye asili ya kiarabu!
Hili nimeliona maana nimekaa Unguja na Pemba,tena miaka hiyooo!
Matokeao yake ni kiakili na kimwili hawa wenzetu kumilikiwa na mawazo ya uarabuni.Si siri kuwa wengi wao tayari wamehamia huko kwa mababu zao.
Sasa muungano wa nini tena? wakati mjomba yuko in the side lines akingojea tu wakati muafaka.Wamekuwa wakisubiri kwa wakati kama huu for the last 50 yrs or so.
Ubaguzi upo, tena wa kichinichini.Asiyeelewa hili jaribu kupata any social services ukiwa Zenj na utajua chati ya Mtanganyika iko wapi.
Huku kwetu wamejaa kibao, waUnguja na waPemba.
Mtu asifikiri naeneza siasa za chuki dhidi ya watu wenye asili ya uarabuni, la hasha.Lakini ukweli ndio huo.
Hii katiba mpya ya Zenj ni stepping stone kwa hatimaye kuudhoofisha hatimaye kuua muungano.
Bahati mbaya tuliyonayo kama nchi kwa sasa ni ile hali ya kutokuwa na viongozi jasiri katika kusimamia katiba na sheria mbalimbali za nchi ndio maana kila mtu anajifanyia anavyotaka. Sheria ziko wazi kwanini hazifuatwi? Mwanakijiji anaposema ni uhaini ni kutokana na tafsiri kwamba kila anayechezea katiba ni mhaini.
Kama kuna busara na haja ya kujitoa katika muungano taratibu zifuatwe, hatupendi ndoa zivunjike lakini inapokuwa lazima na pengine kwa sababu za usalama wa wahusika kwa shingo upande huwa tunakubali uvunjifu huu wa ndoa. Hivyo taratibu zifuatwe na muungano uvunjwe muda wa kufanya impact asessment ya kitendo hiki utapatikana ndipo hapo wa mbichi na wa mbivu atakapojulikana.
FM mkuu
Usipoteze muda wako kubishana na jamaa hawa.Kama ni ubishi kwa ajili ya ubishi hawa ni nambari wani.Ni Nyerere na Komandoo tu ndo waliijua dawa yao.
Sasa hivi Mh Karume is probably in unconfortable waters, kautosa muungano kwa kuwaridhisha wale wenye mentality ya kukumbatia uarabu.
Bahati mbaya sana si wabara wengi wanaowafahamu hawa wenzetu vizuri.
"Ulaya" ya kwao ni Muscat Oman na kwingineko.Tafuta mizizi ya Usultani ndo utaelewa.
Kiongozi yoyote wa Unguja mambo yakimyookea hata kama ameoa mwafrika mwenzake , basi anakimbilia kuoa mke mwenye asili ya kiarabu!
Hili nimeliona maana nimekaa Unguja na Pemba,tena miaka hiyooo!
Matokeao yake ni kiakili na kimwili hawa wenzetu kumilikiwa na mawazo ya uarabuni.Si siri kuwa wengi wao tayari wamehamia huko kwa mababu zao.
Sasa muungano wa nini tena? wakati mjomba yuko in the side lines akingojea tu wakati muafaka.Wamekuwa wakisubiri kwa wakati kama huu for the last 50 yrs or so.
Ubaguzi upo, tena wa kichinichini.Asiyeelewa hili jaribu kupata any social services ukiwa Zenj na utajua chati ya Mtanganyika iko wapi.
Huku kwetu wamejaa kibao, waUnguja na waPemba.
Mtu asifikiri naeneza siasa za chuki dhidi ya watu wenye asili ya uarabuni, la hasha.Lakini ukweli ndio huo.
Hii katiba mpya ya Zenj ni stepping stone kwa hatimaye kuudhoofisha hatimaye kuua muungano.
Jamani, tuko mwaka 2010! Kama ningepewa hii hoja na kambiwa ni buni ni mwaka gani imeandikwa, si wadanganyi ningebuni kati ya mwaka 1970-1975.
Ukweli ni hatari sana kwa maendeleo ya mwaafrika kwa ujumla kama kweli muandishi na aliyempa thanks hawatanii, hasa pale ambapo maudhui mazima yamejaa 'Uarabu'. Kibaya zaidi ni pale ambapo mtoa hoja anakubali kuwa hao wazanzibar wana-nasaba na hao waarabu na kwa upande mwingine anakataa uhusiano wao. Nashindwa kumuelewa kabisa!
Hakuna nchi hata moja hapa duniani ambayo Raia wa Tanzania amekatazwa kwenda kuishi.
Jamani, tuko mwaka 2010! Kama ningepewa hii hoja na kambiwa ni buni ni mwaka gani imeandikwa, si wadanganyi ningebuni kati ya mwaka 1970-1975.
Ukweli ni hatari sana kwa maendeleo ya mwaafrika kwa ujumla kama kweli muandishi na aliyempa thanks hawatanii, hasa pale ambapo maudhui mazima yamejaa 'Uarabu'. Kibaya zaidi ni pale ambapo mtoa hoja anakubali kuwa hao wazanzibar wana-nasaba na hao waarabu na kwa upande mwingine anakataa uhusiano wao. Nashindwa kumuelewa kabisa!
Hakuna nchi hata moja hapa duniani ambayo Raia wa Tanzania amekatazwa kwenda kuishi.
Mkuu Zawadi Ngoda nakushabikia kwa imani yako.
Bahati mbaya imani hii ni naive na haina misingi ya ukweli unaotokana na mazingira ya Zanzibar.
Ili kumwelewa Mzanzibari tafadhali uwe umekaa nae muda mrefu tu ili uweze kumwelewa psyche yake.
Si watu wengi wanaelewa kuwa kwa Mzenj kukukaribisha nyumbani kwake ni kwa mbinde!!
Huu hata hivyo ni utamaduni wake.
Historia ya Zenj hutaielewa kama hutarudi nyuma by 100-300yrs. Mtanganyika ukisema ubaguzi mioyoni mwa ruling class ya Wazenj iliisha tarehe 12 Jan 1964 basi bado hujawaelewa Wa zenj.
Sijui kama wewe umekaa visiwani au la , lakini mimi nimekaa huko kati ya 1982-1985, ninayoyaona sasa na mabadiliko ya kikatiba ni mwendelezo ya yale niliyoyaona miaka hiyo.
Nasikitika kuwa unafikiri tuna bishana siasa za matope, lakini muungano ndo unayoyoma na culprit si waTanganyika.
WaTanganyika hawajarusha the first stone katika kuulegeza muungano.Hilo walifahamu na kulitambua.Tuache wishful thinking wakati reality inajionyesha .Prudency demnds that referendum ifanyike pande zote mbili za muungano ili kama muungano ukiwa hauhitajiki basi taratibu za kistaarabu zifanyike kutenganisha hizi dola na kila mtu aende kule anakajua.
Inabidi muamke kuiona the larger picture written all over the scenario.
Jamani, tuko mwaka 2010! Kama ningepewa hii hoja na kambiwa ni buni ni mwaka gani imeandikwa, si wadanganyi ningebuni kati ya mwaka 1970-1975.
Ukweli ni hatari sana kwa maendeleo ya mwaafrika kwa ujumla kama kweli muandishi na aliyempa thanks hawatanii, hasa pale ambapo maudhui mazima yamejaa 'Uarabu'. Kibaya zaidi ni pale ambapo mtoa hoja anakubali kuwa hao wazanzibar wana-nasaba na hao waarabu na kwa upande mwingine anakataa uhusiano wao. Nashindwa kumuelewa kabisa!
Hakuna nchi hata moja hapa duniani ambayo Raia wa Tanzania amekatazwa kwenda kuishi.
Awali ya yote, asante haina maana kuunga mkono. Asante ni kushukuru kwa mchango wa aliyeandika.
Pamoja na hayo,, wewe umetuona sisi lakina wale ambao wanashabikia utumwa n.k. huwaoni! Mkuu Lole anazungumzia experience yake na mimi siwezi kumpinga. Kama vile nisivyoweza kuwapinga wale wanaosema watu wengi Zanzibar wanauchukia Muungano. Umewasikia watu wazi wazi wakishabikia utawala wa kisultan, lakini haukupata ubavu wa kukemea mpaka Lole aliposema aliyoyasema?
Hivi neno "muarabu safi" ni la kejeli au sifa? Nasikia kuna watu Zanzibar wanajitambua au wanatambuliwa hivyo. Lakini sijasikia neno "mtu mweusi safi". Kwa hali hiyo naamini ( labda unisahihishe) kuwa muarabu safi ni yule ambaye damu yake haina uchafu wa damu ya mtu mweusi. Lakini pengine inamaanisha muarabu mwenye tabia nzuri ambayo nayo itajenga hisia kuwa waarabu wengi ni wachafu! sasa lipi ni sahihi?
Nakubali kuwa hakuna nchi ambayo raia wa tanzania amekatazwa kuishi. Lakini pamoja na kukubalika huko, huyo raia wa Tanzania haki zake huko anakohamia zinakuwa pungufu na raia wa nchi hiyo. Na hapa Tanzania ,haki za raia mtanzania kutoka bara aishie Zanzibar ni pungufu za raia wa Zanzibar. Mtanzania mwenye haki ya kukaa mahali popote ndani ya JMT na kupata haki zote za uraia ni mzanzibari na si mtu wa bara. Au haya nayo utasema tunawasingizia.
Jeshi, Mamlaka ya viwanja vya ndege na bandari, mambo ya ndani, pesa na diplomasia ni mambo ya muungano. Kuutengua muungano ni kukataa mabo ya msingi na kuendekeza ya kijinga. Ni dalili ya kufilisika kisera. Zipo changamoto nyingi za kimaendeleo. Mwanasiasa wetu wanarudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Nakubali kuwa hakuna nchi ambayo raia wa tanzania amekatazwa kuishi. Lakini pamoja na kukubalika huko, hyuyo raia wa Tanzania haki zake huko anakohamia zinakuwa pungufu na raia wa nchi hiyo. Na hapa Tanzania ,haki za raia mtanzania kutoka bara aishie Zanzibar ni pungufu za raia wa Zanzibar. Mtanzania mwenye haki ya kukaa mahali popote ndani ya JMT na kupata haki zote za uraia ni mzanzibari na si mtu wa bara. Au haya nayo utasema tunawasingizia.
Na ndio maana wanapoambiwa watamke kuwa muungano basi wznz hawawezi, wanajua ndani ya muungano wana advantage. Siku hizi wana slogan mpya ''serikali tatu'' maana yake wasijekosa yale ya muungano completely.
Junius,
Mkuu wangu sina matatizo kabisa na Wazanzibar yaani wananchi wanaojivunia Uzanzibar wao kwani ndivyo Muungano ulivyoundwa kuwawezesha kufanya hivyo. Na hakika mimi siku zote nimekuwa upande wa Wazanzibar ktk swala la Muungano kwa kuitazama Zanzibar kama ni Mbia wa Jamhuri ya Muungano kiasi kwamba nimewahi kuhoji mara nyingi kwa nini Zanzibar sio nchi ikiwa tunaheshimu Muungano wa nchi mbili kuwa moja. Na katika maelezo yangu nimenukuu pia maelezo yanayohusiana na kuifanya Zanzibar kutomezwa na Bara ndio maana wakafikia kuunda serikali mbili. Huwezi kusema tuna serikali mbili lakini hapo hapo ukadai tuna nchi moja. Sasa hizo serikali ni chombo kinachosimamia kitu gani?
Mimi nilimwelewa sana Mwalimu, Karume pamoja na watu woote walioshiriki kuunda serikali ya Muungano wakizingatia nafasi ya Zanzibar ktk Muungano huo. Na hakika Wazanzibar wamekuwa huru sana kulinganisha na nchi nyingi duniani zilizopo ktk Muungano kuweza kudumisha jina na asili ya nchi yao kama vile Quebec ndani ya Muungano wa Canada kwa jinsi wanavyo fanana. Ingawaje mfumo mzima unawachanganya wasomi wakiona kama vile inasomeka 1+1=3 lakini Muungano wetu umeunda kutokana na Mazingira yetu na sio kufuata ya UK, Canada au Marekani kwani nao wote Miungano yao haifanani..
Tatizo langu linakuja pale wanasiasa wanapojaribu kuondoa haki ya Wazanzibar ktk muungano huu na kuwajaza ujinga unaweza kuiweka Zanzibar kama nchi kumezwa na Bara. Naomba sana unielewe hapo!
Most Zanzibarian mnashindwa kutenganisha matakwa yya viongozi kwa maslahi yao na matakwa ya wananchi ndani au nje ya Muungano kwa faida ya Wazanzibar. Ndio nikasema kama kweli hawa viongozi wanataka kuuvunja Muungano kwa nini hata siku moja wameshindwa kuingiza muswada unalenga kuuvunja Muungano? hata iwe ktk record ya muswada ulokataliwa kujadiliwa na bunge kwani kwa mara ya mwisho nachokumbuka ni Bara walioomba kuundwa kwa serikali tatu, na matokeo yake ndio kina Malecela na Jumbe wakaingia hatiani.. bado hoja ilikuwa kuunda serikali ya tatu ndani ya Muungano pasipo kuzingatia kwamba kinachoepukwa kuunda serikali ya tatu ni kumezwa Zanzibar na Bara - kama zinavyomezwa nchi nyinginezo ndani ya muungano wa aina hii.
Na hakika matatizo ya Zanzibar kiuchumi au kijamii hayatokani na Bara isipokuwa ni mfumo tegemezi wa kiutawala, tukitegemea sana misaada ya grants - sawa na masikini waliopangana msikiti Ijumaa wakitazama position ya mtu kuweza kupokea sadaka kiurahisi kuliko njia bora za kuwawezesha Wazanzibar kuinua hali zao za kimaisha. Kwa kila wanachoomba hawa viongozi wenu ni ktk kuwaweka wao ktk position ya kupata fursa ya kuwa mstari wa mbele inapofikia kuomba misaada na grants.
Mkuu wangu I will be very frank with U.. kwenye misaada na grants ndiko kwenye ulaji kwa viongozi. Fedha nyingi za Aid na grants kwa nchi maskini hasa zetu (ktk kuboresha miundombinu) ndio zimeibiwa na viongozi wetu ngazi za juu na hakika baadhi ya viongozi wa Wazaniabr walipigwa bao ktk uchotaji wa fedha hizo na ndio maana wanataka nao kuweka mrija wao kwenye mfuko wa serikali..wanataka nao kuwa mstari wa mbele na kibakuli chao kuomba misaada na kuzipiga kama walivyoweza CCM bara hali hao hao CUF wameshindwa kusimama kukemea wizi na Ufisadi bara na Visiwani (serikali ya Muungano).
Kama kweli wanayo nia hii kama nilivyoizungumza kwa nini serikali ya mapinduzi na CUF wasizungumzie kwamba wao wanachopinga ni kupotea kwa fedha za misaada na grants ambazo wao wanataka kuhakikisha zinawafikia wananchi. na mfumo wa kuhakikisha fedha hizo zinawafikia wananchi utakuwa kadhaa wakadhaa pasipo kuingiza nchi, mipaka ya muungano au nafasi ya viongozi!.
Halafu mkuu unasema ati CUF haiwaungi mkono CCM bara, sijui kama una uhakika maanake kuna wabunge wa CCM tayari wamepitishwa na CUF kiasi kwamba CUF haitasimamisha wagombea maeneno hayo na sii kwa kushirikiana na Chadema au TLP bali CCM. Na hakika najua sababu za CUF kufikia kufanya hivi. Inasikitisha sana kuona kwamba Tanzania kwa ujumla wake bado sisi wote ni WATUMWA wa akili na tupo radhi kumalizana kwa tofauti zilizopikwa majungu.
Hivyo kwa kutumia mfano huu, my point is sii lazima kabisa serikali ya Zanzibar kuwa na wawakilishi wengi ili Zanzibar ipate kuonekana ni nchi.
Nitawaoneaje wivu watu ambao hawanihusu?. Na viongozi wenu wanajua. Siku wakitangaza wazi kuwa wanavunja muungano, huko kwenu kutawaka moto. Ndio maana sisi mbao mnadhani tuna chuki na wivu na nyie, tunasisitiza mpige kura ya maoni kuhusu muungano, na kama wengi watakuwa na mawazo kama yako, muende. Muungano tuuvunje kwa amani, kila mmoja aangalie mbele. Tusichokitaka ni huku kutuuma wakati mnapulizia. Andamaneni, muwaambie viongozi wenu kuwa mmechoka na udhalimu wa JMT, mnataka mjitoe jumla!
Nimesoma media nyingi, hakuna mzanzibar anayesema muungano uvunjwe, kuna wimbo unaotumika sasa ''serikali tatu''. maana yake ni kuwa Tuendelee kufaidika na kile tunachopata ndani ya muungano. Namimi nazidi kushadidia, waznz andamaneni mdai kuvunja muungano au leteni hoja bungeni, au basi hata kiongozi mmoja atokee mbele ya vipaza sauti aseme hamtaki muungano. 'Kuuma na kupulizia ni unafiki!!'
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.