Ni uhaini - as simple as that!

Ni uhaini - as simple as that!

bosi junius
umesema Mda huu tunahisabu tarehe tu kuifutilia mbali CCM Zanzibar,
vipi unataka uturudishe utawala wa chama kimoja?enzi zile zishapitwa na wakati bosi,upinzani lazima uwepo in order challenge the ruling party

Labda sijakuelewa...sijasema kufuta upinzani... bali kuifuta CCM Zanzibar...bila CCM Zanzibar inawezekana...mbona!
 
Suala la mali zao litenganishwe na uraia. Kuvunjika kwa Muungano hakutakuwa na maana kuwa raia wa nchi moja hawawezi kuishi katika nchi nyingine. Raia wa Zanzibar ataweza kuishi, kufanya kazi au biashara Bara kama raia mgeni mwengine yeyote na haki zake zitakuwa hivyo hivyo. Wapemba wa namanga watakaotaka kutambulika kama raia wa Zanzibar wataendelea ni lazima waruhusiwe kuendelea kuishi Bara kama wanataka ili mradi wakitimiza masharti ya uhamiaji. Watakuwa kama raia wa Kenya n.k. wanaoishi Tanzania hivi sasa. Na wanyamwezi walio Zanzibar wanaotaka kubaki na uraia wa Bara navyo hivyo hivyo. Haki yao ya kuishi Zanzibar kama raia wageni ni lazima ilindwe. Na kama wakati huo tutakuwa na uraia wa nchi mbili basi wanaotaka wanaweza kuwa na uraia wa Bara na Zanzibar. Yote haya yawekwe wazi wakati wa kampeni kuhusu Muungano. Wananchi lazima waelewe maana ya kuvunja Muungano na namna gani itakavyo-affect maisha yao ya kila siku. Safisha safisha itatokea kama Muungano utavunjika kwa mabavu kama ilivyokuwa Yugoslavia. Mbona Czechoslovakia hapakuwa na hiyo safisha safisha?

Amandla.........
Mzee hii inaonekana kama vile hawataki lakini wanataka. Vyao vyao lakini vyetu vyao pia. Muungano ukivunjika wapemba wote waliotapakaa huku tanganyika wafunge vilago waende kwao, sisi pia tutawakaribisha nyumbani wanyamwezi kidogo walioko huko na tutawapa pa kuishi na uchumi wetu ingawa si mkubwa utamudu tu. Hofu kwangu hao wanaoleta za kuleta itakuwaje???
 
Mzee hii inaonekana kama vile hawataki lakini wanataka. Vyao vyao lakini vyetu vyao pia. Muungano ukivunjika wapemba wote waliotapakaa huku tanganyika wafunge vilago waende kwao, sisi pia tutawakaribisha nyumbani wanyamwezi kidogo walioko huko na tutawapa pa kuishi na uchumi wetu ingawa si mkubwa utamudu tu. Hofu kwangu hao wanaoleta za kuleta itakuwaje???

Wapemba na Wanyamwezi wataamua uraia gani wachukue kwani si lazima kuondoka!! Na wazanzibar wameona EAC itawasaidia ku-maintain mambo yao bara!
 
thats exactly the point.. kila mtanzania au kundi la watanzania watakaoona kuwa Muungano hauwapi manufaa wanayotaka wajitenge. Hivi watu wa Kigoma (na wameshawahi kusema hili) wakisema Muungano hauwanufaishi au Tanzania Bara haiwanufaishi tutawabishia? Vipi kuhusu watu wa Mtwara na Lindi (nao wameshawahi kusema hili) wakisema kuwa Muungano hauwanufaishi na wangependa kuwa sehemu ya Msumbiji au kutangaja kijamhuri chao tutawaambia wanasema uongo au tutawakubalia ati kwa sababu muungano hauna manufaaa "kwa pande zote"? Hivi watu wa Chunya wananufaika vipi na Muungano? Watu wa Nansio, Mkongo na Duga wananufaika vipi na Muungano?

Hivi Wamarekani wote wananufaika na muungano wa US? Na wote wanafuraha?

Ndio maana nilisema wabongo tunapenda mambo mepesi mepesi!


@Mkandara, nimependa take yako.. thats whatsup!

Hukunipata mwanakijiji, kwa kuweka wazi kuwa mimi ni mmang'ati nilitaka watu wasije dhani labda ni mzanzibari so ninatoa haya maoni kwa kusukumwa na uzanzibari wangu kwani tayari imeonekana hapa kuwa wapingao muungano ni wazanzibari. Unachukulia maoni ya watu kiuwepesi wepesi thats why unaenda kwenye conclusion tu kuwa watanzania wako ivi au vile...kuna tatizo kwenye muundo wa muungano, tena kubwa tu, watu wakiliona hilo mnasema hawautaki, what is that...muungano huu feki, tutengeneze wa kiukweli ili mambo yakae sawa,,,otherwise zanzibar wana haki ya kutangaza na kuilinda mipaka yao kwani si ni nchiii au?
 
Kukaa kimya kwa JK kunatia wasiwasi naomba anayekumbuka anifamishe katika wale G59 Kikwete hakuwemo?
 
Hapa wameonekana wazandiki wengi wakitowa mawazo yao mabovu zidi ya wazazibari hivi nyinyi kweli mnautu na watu wenu ?angalia ndugu zenu huko vijijini maisha wanayoishi kama kweli inakumeni kwanini msfike na kuwapa msada wa hali na mali na kuwapa elimu itakayobadilisha hali ya maisha wanayuoishi , binadamu anahitaji maisha bora na sio kuendelea kuishi kama vile mnyama pori haya hamyaoni ?



8733448.jpg
Saidi Mgeni - Muuguzi Msaidizi na Msimamizi wa Maabara akitizama chupa za dawa 'zilizotusuliwa' na panya.




8605459_orig.jpg


8651123_orig.jpg







536954_orig.jpg


shulembuyuuuuu.jpg
untitled.bmp
0002.jpg
001.jpg
Hapa chini ni maliwato ya shule Lindi. Hii shule imekuwa na maliwato ya hivi kwa miaka 35
7440735.jpg
Jengo la bweni katika shule ya sekondari Tanga
0003.jpg





,_,.jpg

Subi
 
Wapemba na Wanyamwezi wataamua uraia gani wachukue kwani si lazima kuondoka!! Na wazanzibar wameona EAC itawasaidia ku-maintain mambo yao bara!
Wanaoleta za kuleta ni hao wapemba waliozagaa huku,, kama hawataki muungano waende zao nasi hatuwataki! waende huko wanakoona kutawafaa.
Hakutakuwepo na hiari ya kuchagua uraia kama wakikubabali kutenda hii dhambi! Hakuna chochote tunacho kifaidi kwa znz kuwa ndani ya muungano zaidi ya prestige kuwa sisi ni mfano wa watu wanaopenda umoja!! na umoja wenyewe ndio huo wahuni wachache wanoudodosoa.
waende zao hao
 
AFTER ZANZIBAR REFERENDUM COMES: Constitution dilemma Tuesday, 10 August 2010 22:23

sengomvungi.jpg


By Bernard James and Beatus Kagashe
THE CITIZEN

The constitutional amendments in Zanzibar on Monday evening, which redefined its territory as a sovereign state within the United Republic of Tanzania, have reignited the controversy over the future of the Union.

Constitutional experts faulted the changes endorsed by the House of Representatives, which they charged, were "meant to neutralise the Union, if not to kill it systematically".

With the Constitution of the United Republic proclaiming Tanzania to be a country resulting from the merger of Tanganyika and Zanzibar, as the one and only sovereign state, the experts were of the opinion that the recognition of Zanzibar as a state would "steal Tanzania's statehood". And they warned that this could herald the break-up of the United Republic of Tanzania.

An extraordinary session of the House of Representatives on Monday evening overwhelmingly passed 10 amendments, which also paved the way for the formation of a government of national unity in Zanzibar after October 31 General Election.

According to the amendments, Sections 1 and 2 of the Zanzibar Constitution, which previously identified Zanzibar as part of the United Republic of Tanzania, have been deleted.

The changes redefine Zanzibar is a state formerly known as the ‘People's Republic of Zanzibar' with its territory composed of Unguja, Pemba and all the small surrounding islands, as it was before the 1964 merger with Tanganyika.

Moving the Constitutional Amendment Bill, the State Minister (Constitution and Good Governance), Mr Ramadhani Abdallah Shaaban, said: "The new clause stipulates that Zanzibar is among the two countries that form the United Republic of Tanzania."

But a senior law lecturer at the University of Dar es Salaam, Dr Sengondo Mvungi, described the amendment as the biggest threat ever to the existence of the United Republic of Tanzania. He explained that the House of Representatives had disregarded the laid-down procedure by altering constitutional provisions touching on the Articles of the Union.

Dr Mvungi cited Article 98 (b) of the Union Constitution. Under the article, any Bill for an Act to alter any provisions of the Constitution or any provision of any law relating to any of the matters specified in List Two of the second schedule to the Constitution shall be passed only if it is supported by the votes of not less than two-thirds of all Members of Parliament from Tanzania Mainland and not less than two-thirds of all MPs from Tanzania Zanzibar.

And the matters specified in List Two, which require to be supported by two-thirds of all MPs from Mainland Tanzania and two-thirds of all MPs from Zanzibar, include the existence of the United Republic of Tanzania.

"This article of the Constitution cannot be altered by the Zanzibar House of Representatives alone. They have totally no mandate or authority on this issue," Dr Mvungi said.

He also pointed out that the fact that President Jakaya Kikwete had already dissolved Parliament in readiness for this year's elections, meant there was no room to initiate such changes.

Contacted for comment last evening, State Minister Shaaban strongly defended the amendments, saying they were meant to emphasize Zanzibar's position as a partner state in the United Republic and not a part of the Union Government.

"The United Republic is nation. The amendment means that Zanzibar is a second country forming the union between Tanganyika and Zanzibar. What we have done is to confirm our state boundaries," he said.

For his part, Dr Mvungi said that declaring Zanzibar one of the two countries that form the United Republic of Tanzania was to change the structure of the Union to form a confederal authority between the people to Zanzibar and Tanganyika.

"This means that Tanganyika retains its sovereignty and statehood and so does Zanzibar. So you form a confederation. The statehood automatically moves out of that the United Republic of Tanzania and goes to Zanzibar and Tanganyika," he explained.

"If the amendments are implemented there is not going to be a united republic of Tanzania. The nation has broken up," he said in a conversation with The Citizen on Monday before the Zanzibar approved.

Zanzibar's Attorney General could not be reached for comment yesterday, but a senior official in his Chambers said the amendments were the 10th on the Zanzibar Constitution. The changes, he clarified, only affected the Zanzibar Constitution and had nothing to do with the Union.

When The Citizen pointed out that the amendment of Union matters needed approval by two-thirds of the MPs from both Tanzania Zanzibar and Mainland Tanzania, Mr Saleh Mbarouk, said: "The interpretation of the changes will be given by the Attorney General. What I know is that members of the House of Representatives are not forbidden to pass such amendments."

But the Union Government's Deputy Attorney General, Mr George Masaju, contacted in Dar es Salaam to comment on the developments, said he had not seen the final draft of the Bill passed in Zanzibar on Monday.

"I'm hesitant to address this matter, as I have not seen the final draft. Give me time to find out what exactly has been passed by the House of Representatives in order to comment on the issue," he said.

Another lawyer, who asked not to be named because of the sensitivity of the matter, said the changes had violated the Constitution. He said Article 98 (b) of the Union Constitution stipulated the procedure for effecting amendments touching on the existence of the United Republic.

"Strictly speaking, such changes do not any value in the eyes of the law. They actually do not exist. They are unconstitutional," he said.

The president of the Tanganyika Law Society (TLS), Mr Felix Kibodya, speaking in his personal capacity, said although he strongly supported the reconciliation process that had culminated in the constitutional changes, the declaration that "Zanzibar is a state has gone beyond the aim of bringing Zanzibaris together".

He said that for the changes to have any legal authority, they must be endorsed by the Parliament of the United Republic of Tanzania, as specified in Article 98 (b).

"My understanding is that for the amendments making Zanzibar a state to have legal effect, they must have the blessings of parliamentarians from both sides through a procedure stipulated in our constitution," he said.

He added: "How can Zanzibar be a state without a commander-in-chief of the armed forces? How can it be a country without defence minister, Inspector General of Police or a foreign minister?"

He said though it was crucial to bring about peace and unity in the Isles, this should not come at the expense of the Union. "Zanzibar is a part of the United Republic of Tanzania," he insisted.

Under the newly amended Zanzibar Constitution, the Isles' President has been given powers to mark the territory's borders without consulting the Union Government.

According to the laws enacted by the House of Representatives, for effective implementation of government responsibilities, the Zanzibar leader is also empowered to divide the Isles into regions, districts and other areas.

Additional reporting by Salma Said, Zanzibar
 
Mkuu nadhani nitatofautiana nawe ktk hili. Maudhui ya kuhoji Muungano ndiyo yanayokera watu kama mimi. Na siwezi kufananisha Muungano na dini kwa sababu dini ni Imani ya watu na Muungano unatokana na kutengeneza mazingira safi kwa jamii inayoungana. Hivyo tunaposhindwa kuelewa kwamba lengo kuu la Muungano ni kuunganisha WATU na swala la nchi ni kuyaweka Maingira yetu ktk hali ya kudumisha Umoja huo.

Sasa kama kuna mtu anahoji Muungano ambao ni wa WATu kwa kisingizio cha mipaka au nchi atueleze vizuri kumekosekana kitu gani kuufanya Muungano huu wa WATU usiwe imara..Nina hakika hakuna kati yao anayeweza kuzungumzia matatizo ya muungano kwa kigezo cha haki za wananchi wenyewe tofauti na Dini ambazo watu wanahoji haki na freedom ya waumini.

Ikumbukwe tu kuna thin line kati ya haki na freedom na abusive of the certain rights. Kila sheria inayohusiana na haki au freedoma za binadamu ni ktk kuleta USAWA baina ya wahusika wote na sio UTENGANO baina yao kuwa ndio right kama inavyoiombwa pasipo sababu zaidi ya kutumia mipaka ya ramani za mkoloni.


Mimi siepndi kabisa malumbano ya Muungano zaidi ya kuwatazama wananchi wenyewe na kero zao. Kero zote za Muungano zimetokana na Uongozi uliopo na wote hawa ni wanafiki wakubwa. Nakujmbuka Ni Karume aliyekubali Muungano, kisha alitaka kuuvunja baada ya kuondokana na kina Abrahman Babu. Muungano kwake ilikuwa kuhakikisha maradaka yake hayapati upinzani kama alivyofanya Nyerere kuua vyama vingi bara.

Kisha akaingia huyo Aboud Jumbe kuserve Muungano lakini ajabu ya Mussa naye akataka kugeuka na ya Firaun huyu Seif ndiye aliyepinga m,awazo ya Jumbe na kuwatonya kina Nyerere. Leo hii yeye ndiye mpiganaji maarufu hali hawa woote mwanzoni walipokuwa ndani ya serikali ya Muungano hawakutaka kabisa kusikia kuvunjika kwa Muungano lakini wanapokuwa nje ya madaraka ndio kelele zao zinaposikika.

Maadam wamelianzisha wao kuhusiana na Muungano nadhani sisi wananchi tunatakiwa kuwauliza wao maswali muhimu kwetu ktk kuvunjika kwa huu Muungano. Je, wataweza vipi kuunganisha jamii hizi mbili na kwa njia zipi za kudumu ambazo sisi wananchi tunazikubali kwani kesho kesho kutwa tunaweza kufukuzana mipakani tukitumia katiba hizi mpya wanazotunga wao leo hii.

Mkandara

Mjadala mkuu unahusu uhaini wa Zanzibar kama ulivyoletwa na mwanakijiji, tuujadili huo, tusiende pembeni sana

Sawa baada ya yooote hayo uliyosema, swali rahisi tu linakuja hapa, Je nchi ni nini? na serikali ni nini? halafu je Zanzibar ni nchi ama si nchi? Kama jibu ni Zanzibar ni nchi, je ina mipaka au haina? kama inayo je ina haki ya kuitangaza na kuilinda au haina? kwa kila jibu lako eleza kwanini?
 
Union should just go to hell! After all it benefits zanzibaris more than tangayikas (tanganyikans?)

it is a big lie, big hoax it has no evedence. Where is the documents stating the unification of unguja, pemba and tanganyika?
 
Sasa hawa wahuni wa Zanzibar wamepata wapi ujasiri wa kuridhia kuligawa taifa na kutengeneza nchi nyingine nje ya hii NCHI moja? Kuna njia moja tu ya kuunda Nchi ya Zanzibar- KUJITOA kwenye MUUNGANO. Nje ya hapo ni UHAINI!!!

MImi kama Mtanzania kauli kama hizi ni za kichochezi . Watanzania ni watu wastaarabu hawana kauli kama hizi . Kwa fikra zangu hapa kuna harufu ya watu kuchukia jamii nyengine kwa imani yao na hawa ndio wanaoipeleka nchi kubaya kwa chuki zao.
Dunia imebadilika ni lazima ubadilike.
Muungano haujengwi kwa kuitana mahaini na kutoleana lugha za vitisho . Nyinyi ndio mnaovunja Muungano. Sielewi niwaweke katika kundi gani.????
 
Sisi hatuyataki hayo na hatua za kuyaondoa ndiyo hizo tushaanza kuzichukuwa...CUF ipo ikulu...we do'nt have to wait for another saviour...he has already come. Mda huu tunahisabu tarehe tu kuifutilia mbali CCM Zanzibar, inayolea muungano wa kidhalimu...ambao hatuutaki.

Historia hujirudia. Nina wasiwasi kabla ya ndoto hii kutimia jamaa atakuwa kishavujisha siri hiyo huku bara. Watu kwa kujikomba si mchezo walimfanya Jumbe ampumzike mapema pasipo ridhaa yake.
 
mkandara

mjadala mkuu unahusu uhaini wa zanzibar kama ulivyoletwa na mwanakijiji, tuujadili huo, tusiende pembeni sana

sawa baada ya yooote hayo uliyosema, swali rahisi tu linakuja hapa, je nchi ni nini? Na serikali ni nini? Halafu je zanzibar ni nchi ama si nchi? Kama jibu ni zanzibar ni nchi, je ina mipaka au haina? Kama inayo je ina haki ya kuitangaza na kuilinda au haina? Kwa kila jibu lako eleza kwanini?

utabiri wa nyerere sasa unatimia. Kubuka mwalimu alisema zanzibar kwa ulevi wa madaraka wakiaamua kuuvunja muungano. Kwa ulevi tu. Watakapofanikiwa hawatabaki salama. Wataanza wao wapemba sisi waunguja. Baadaye wa takuta wazanibari na wazanzibara!!!!!!!!!!!!!!!!. kazi ipo.
 
Ningekuwa na uwezo hivyo visiwa ningevisumia mbali ya pwani ya tanganyika
 
MKKJ,
Nina wasi wasi kuna mtu kavamia ID ya Mwanakijiji, na anaongea kama mlevi, anapayukwa payukwa tu, hatujuwi hasa anasimama na hoja ipi na ipi ana kataa. Tunaomba kama kuna mtu kaivamia ID ya Mwanakijiji atupe nafasi...asimtie aibu...mwenyewe kwa maongezi yasiyoeleweka eleweka.

Hapo juu kwenye post 113 unakataa kuwa hujawahi kusema Zanzibar lazima iwe kwenye muungano...wakati thread yako inakusuta kwa kauli za "tutaulinda kwa gharama yoyote", "jeshi lichukuwe hatua" n.k...na jazba,chuki na nongwa kwa Wazanzibar unaiyonesha wazi wazi kwa sababu tu kwa umoja wao wamekubali mabadiliko ya muundo wa serikali yao na hadhi yake katika muungano.

Mkuu unayejiita Mwanakijiji(siye yule ninayemfahamu kuwa mtu muelewa wa mambo), inaonyesha neno "jamhuri ya muungano" kwa kiswahili cha kusini ya Tanzania linamaanisha siku zote "nchi moja", unasahau neno kama 'muungano' linaashiria kitu zaidi ya kimoja, kwa muktadha wetu ni nchi/jamhuri mbili ambazo ni Tanganyika na Zanziabar.

Mabadiliko tuliyoyafanya wazanzibar wengi wetu (wahuni, maadui kama ulivyotuita) ni kuainisha tafsiri sahihi ya neno "jamhuri ya muungano" ambao ni wa nchi mbili ambazo kabla ya 1964 kila moja ilikuwa na "jamhuri" yake.

Kinachokufanya uwashwe sijuwi nini tena. Acha jazba na chuki zako kwa wazanzibar, sisi si mazuzu kama nyinyi sisi tuna njaa ya mabadiliko ya kweli si ya vitabuni, nyinyi endeleeni kuabudu CCM na mizimu ya muasisi wake,sisi tushatoka huko,hatutaki kurudi tena...mnaibiwa rasilimali zenu, mnanyanyaswa na kudharauliwa na watawala halafu hao hao mnawachaguwa kwa kishindo.

Sisi hatuyataki hayo na hatua za kuyaondoa ndiyo hizo tushaanza kuzichukuwa...CUF ipo ikulu...we do'nt have to wait for another saviour...he has already come. Mda huu tunahisabu tarehe tu kuifutilia mbali CCM Zanzibar, inayolea muungano wa kidhalimu...ambao hatuutaki.


As I said, Mahafidhina wako pande zote, Zanzibar na Tanganyika pia....

omarilyas
 
tatizo wanafikiri kuwa tunazungumza kutoka hewani tu ati tunaitakia Zanzibar mabaya; kama mazungumzo ya watu wawili leo hii (karume na seif) yamechukuliwa kuwa halali na kukumbatiwa yale ya wa Nyerere na Karume nayo yalikuwa na nguvu hiyo. Wazanzibar hawawezi kuwa na keki yao halafu waile huku wabakie nayo. Kama kuna watu Zanzibar wanataka kuwa nchi "nje" ya Muungano, waliseme hilo, kama ni kupigwa kura ipigwe na tuanze mahusiano baina ya nchi mbili.

But as long as we are a United Republic jaribio lolote la kuivunja ni uhaini - as simple as that.

Ni jukumu la kila Mtanzania (yes wapo watu wa taifa hilo) kulinda Muungano ulivyo. Hatupaswi na hatuwezi kuachii kikundi cha watu wachache kuivunja ati kwa sababu hawajisikii. Wazanzibari ambao wanajitambua kuwa ni Watanzania na wapo wengi ni lazima wakatae uhuni huu.

Kama Zanzibar haitaki kuwa ndani ya Muungano kwenye baraza la wawakilishi waseme hivyo mapema, wajitangaze kuwa wanataka kutoka nje ya Muungano na nina UHAKIKA Kikwete na uongozi wa CCM hakuna atakayeweza kujenga hoja za kuzuia kwani mashujaa hao hawapo tena. Basi watoke na kama nilivyosema tuanze uhusiano wa nchi mbili, binafsi wala sina tatizo kabisa. Lakini kama wanataka tuwe wamoja kama nchi ni lazima mpango wao wa kuitangaza Zanzibar kuwa ni nchi sijui madudu gani ukemewe mara moja na KILA MTANZANIA.

Si kwa sababu hatuwezi kuishi bila Zanzibar au wao bila sisi, bali kwa sababu MUUNGANO UPO na ni lazime utetewe kwa gharama yoyote. Kwanini Zanzibar wasipige kura ya maoni kutaka kujua kama wanataka kubakia ndani ya Muungano?

PIGENI HII KURA TUMALIZE MZIZI WA FITINA!!!

viNGINEVYO NI UHALIFU ULIOKUBUHU AMBAO ADHABU YAKE NI KIFO! Uhaini haurembuliwi macho.

Kura iliyopigwa ilikuwa ya kuruhusu serikali ya mseto znz sasa sijui hili liingia wapi? naunga mkono kabisa kwamba Ipo siku hawajamaa watakuja jitoa
 
ikiwa muungano utafunjika basi nahisi big looser watakuwa ni wapemba kwasababu hawa watu hawajengi kwao kule kisiwani pemba hakuna watu ni empty land ,siku zote ni watu wa kutapakaa kama gyspy.hawa ambao wapo bara watakimbilia unguja.sasa waunguja nao watasema rudini kwenu yakhe.
matokeo yake tutakuwa na nchi ya unguja ,pemba ,na tanganyika .well ipo haja ya kuwa na serikali nne ili kuondoa matatizo ya muungano .kwasababu tayari ipo chuki kati ya waunguja na wapemba .na vile vile kati ya wapemba na wabara.hakuna chuki kati ya waunguja na wabara kwababu wana histry.
 
DAH! huyu MWKJJ ni mtu khatari sana kwa maendeleo ya wa zenj, alijaribu kuwakumbusha wa znj mambo yaliyo pita ili wazenj wasiungane akashindwa, leo wa zenj wamekua wamoja anawaita wahaini, anamawazo yakizamani kwa kweli ana akili mbaya, akili ya kikoloni,anshawishi vitu vya ajabu kweli. kama umri wako unazidi miaka 80 si shangai ikiliyako itakuwa imesha choka, lakini kama chini ya 50 matamanio maovu yasikutawale

Is this the home of great thinkers, or is the botomless Pit of rubbish Spiters?? Someni bandiko la mwanakijiji na kuingia kwenye mjadala kama mko fiti kwenye Historia na Filosofia.

Nyie mnaoshabikia Zanzibar kujitenga ina maana nyie (wanyakyusa,Waha, Wanyamwezi, wabarabaig, wanyia, na wengineo) mna mahusiano ya karibu na Wazaramo na wangindo na wandengereko kuliko makabila hayo yalivyo na ukaribu na wazanzibar?

Hivi kabila la Mzee Karume Mnalijua??!!
 
Is this the home of great thinkers, or is the botomless Pit of rubbish Spiters?? Someni bandiko la mwanakijiji na kuingia kwenye mjadala kama mko fiti kwenye Historia na Filosofia. Nyie mnaoshabikia Zanzibar kujitenga ina maana nyie (wanyakyusa,Waha, Wanyamwezi, wabarabaig, wanyia, na wengineo) mna mahusiano ya karibu na Wazaramo na wangindo na wandengereko kuliko makabila hayo yalivyo na ukaribu na wazanzibar?

Hivi kabila la Mzee Karume Mnalijua??!!

Achana na habari ya makabila, hebu tuambie Zanzibar ni nchi au sio nchi? kwanini?
 
Back
Top Bottom