PJ
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 297
- 32
Tatizo la sasa hivi hatuna uongozi wa kitaifa.
Kikwete na genge lake ni watu ambao wapo kuangalia zaidi maslahi yao binafsi badala ya maslahi ya taifa letu.
Katiba inachezewa yuko kimya na kina makamba na Tambwe Hiza kuangalia namna gani ya kukabiliana na kimbunga cha Dr Slaa na vipi anaweza kusurvive katika uchaguzi ujao. It is a pity. His concern is his own survival and not the survival of Tanzania as a Nation. He is a week leader. hana uwezo wa kukabiliana na changamoto kama hizi za Wazanzibari kujitenga. Karume na seif are very strategic and they definitely know that at this time of election every one is bussy fighting for his political survival.
Kutokana na kukosekana kwa uongozi thabiti wa kitaifa mambo yataenda zanzibar kama yalivyopangwa na wazanzibari watapata kile walichokitaka. Ingekuwa ni wakati wa Nyerere Karume angechapwa viboko kama Jumbe alivyofanyiwa. Lakini sasa hakuna wa kufanya hivyo na imani yangu kuwa baada ya uchaguzi mkuu Zanzibar itaanda mpango rasmi wa kujitenga
Ni mwito wangu kwa watanzania tusirudie makosa ya nyuma kuchagua viongozi dhaifu. Hayo ndio madhara yake. Tusipoangalia hata huku bara wataanza kutugawa