Tupe ushahidi. Mkuki kwa nguruwe.Of course hata ma cartoonist wa wenzetu kule hawakumkawiza MICHAEL MARTINS..
LAKINI katika tradisheni ile ile ya kujikumbusha hebu tuendelee kusoma kuhusu SAMUEL SITTA...
Huyu Sitta aliwekwa pale na ROSTAM ambaye among other things anatuhumiwa kuwa ni FISADI na anapesa nje ya nchi sasa iweje huyu spika awe hana pesa za nje ya nchi?
1. Atupe ushahidi vinginevyo "Ataqualify kuitwa muongo, mzandiki, mzushi,mpekupeku, majitaka"
2. Akitoa ushahidi tu basi mimi ntakuwa nyuma yake kumsapoti anayoongea.
Nimesoma habari hapa kwenye website ya BBC na kukuta kwamba Speaker wa UK amejiuzuru kutokana na kashfa ya fedha iliyolikumba bunge lao. Najiuliza Samwel Sitta naye si atangaze kuwa anajiuzuru kwa sababu alisema ushahidi wa Slaa kuhusu EPA ni uwongo na wa kuokoteza mtandaoni?
Nimesoma habari hapa kwenye website ya BBC na kukuta kwamba Speaker wa UK amejiuzuru kutokana na kashfa ya fedha iliyolikumba bunge lao. Najiuliza Samwel Sitta naye si atangaze kuwa anajiuzuru kwa sababu alisema ushahidi wa Slaa kuhusu EPA ni uwongo na wa kuokoteza mtandaoni?
babu sitta si majuzi kaadhimisha miaka 40 ya ndoa...kumbe anapenda chini namna hii.....alafu si alikula kona kupima UKIMWI bungeni?
- Aliwahi kuwa na kimada wake mwingine anayekwenda kwa jina la ASIA ambaye aliiishi nyumba Na. 111 karibu na Mahakama ya Ardhi Upanga na amezaa naye. Huko mtaani kwao kimada huyo hujiita mama SITTA, na ni dada yake aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa iliyokuwa Tume ya Kurekebisha Mashirika ya Umma (PSRC). Mwanamke huyo muda wote alikuwa akitumia gari la Ofisi ya Bunge STK 232 Toyota RAV 4.
- Pia anaye kimada mwingine ambaye anaishi kinondoni ( Livingstone), mtaa wa Honolulu katika nyumba ya kupanga inayomilikiwa na dada yake Kawawa. Nyumba hiyo inatazamana na Nyumba Na. KH.MK/No. 337 katika mtaa huo huo. Kimada huyo alikuwa anatumia gari ya kiofisi ya Spika mwenyewe STK 3002.
- Vimada wote hao walikuwa wanapata huduma za maji na umeme kwa gharama za Ofisi ya Bunge. Kuna kipindi mke halali wa Spika, aliwahi kulalamikia hali hiyo. Kuna siku maji yalikatika nyumbani, mke wa Spika akaomba apelekewe bowser la maji na Ofisi ya Bunge. Ohooo! Watekelezaji wakapeleka maji kimakosa kwa kimada. Mama Sitta akashtukia dili.
JAMII FORUMS..WHERE WE DARE TALK OPENLY!!
babu sitta si majuzi kaadhimisha miaka 40 ya ndoa...kumbe anapenda chini namna hii.....alafu si alikula kona kupima UKIMWI bungeni?
wazee akma hawa waanuza sana game....na si unajua hawana viwango vya kucheza kama Pele hao mademu wakizidaka ndio wanakuja kwa wakian Zidane wapate skills....si hatari hio shem na skills ujuavyo ni kavu bin kavu.....heheheeh hata Yo Yo hula kona kupima Ngoma...acheni bwana kama mzee huwa anauza mechi inaonyesha!
kavu bin kavu.....