Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta


Kaka sio kukosa ushahidi ni kwamba watu wamehoji na siku zote baada ya kuhoji ni ushahidi....
Tell him ishu ya nyumba na ofisi za Spika kule TABORA will destroy him naturally and he will never become neither a PM or Pres of this country.. NEVERRRR...

Lakini believe mi hata kitalu cha nyumba ya demu wake sinza kinafahamika...
Wewe subiri ukweli kwenye gazeti moja(well i will PM u) ambalo kuna mwandishi ameamua kumlipua sitta ili aache unafiki wake wa kujifanya anaweza kuliko MAGAMBA wenzake ndani ya Serikali wakati hata Afrika mashariki katuingiza mkenge mambo kibao(moja ya hoja ambayo inafanyiwa uchunguzi)... Vaa uvaliwe lakini usivae ukavaliwa!
 
Hatuwezi kuongozwa na mtu mnafiki na mlafi wa madaraka kama Samwel Sitta, 1. alianzisha ccj ila baada ya kuahidiwa cheo akaamua kendelea na chama cha magamba(ccm). 2. Ameamua kung'ang'ania nyumba aliyopewa na serikali wakati akiwa spika hadi sasa na kusababisha serikali iingie gharama nyingine zaidi kumgharamikia spika wa sasa (Makinda) nyumba kwasababu tu, yeye hataki kuondoka kwenye nyumba hiyo! Hivyo viongozi wote wanaomuunga mkono huyu Sitta anayeishi kwa Makinda, nadhani hawajawaza na kuamua sawasawa
 

Rais ni Dr Slaa achana na MAGAMBA
 
kwangu mimi Sitta is old meat, amekuwa mbunge mara ya kwanza 1970. he is too old, akapumzike tu, anaweza akawa kama bingu wa mutharika.
 
hiyo number 3 mkuu una uhakika? maana 6 ni mzee wa kanisa letu -- futa kauli tafadhali.
Wake wa njee anao kibao tena wameuwa wakihudumiwa kwa gaharama za bunge. Mathalani gari la bunge lilikuwa likitumika kupeleka maua mkoani Iringa kwa ajili ya graduation ya mmoja wa watoto wake wa mke wa nje anayeishi Kinondoni
 
Wake wa njee anao kibao tena wameuwa wakihudumiwa kwa gaharama za bunge. Mathalani gari la bunge lilikuwa likitumika kupeleka maua mkoani Iringa kwa ajili ya graduation ya mmoja wa watoto wake wa mke wa nje anayeishi Kinondoni

Kumbe 6 naye ni mzee wa zipu kama mwenyekiti wake.
 

Mheshimiwa sijakuelea unamaanisha nini????? Haya unayoyasema mbona ni kitu cha kawaida ndani ya Serikali ya CCM na Viongozi wa CCM karibu wote. Utakuwa haujamtendea haki uki m-single out SITTA peke yake.

Mbona kuna bangaruu huko Msoga na vimada kibao tu ukizingatia mshikani hata miaka 6 hajamliza. Viongozi wote ndani ya CCM wameoza ndio na ukiona wanapigana vijembe ujue wanasukumwa na tamaa ya madaraka na ulafi wa rasilimali zetu.
 
urahisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,urahisi...................urahisi???? wewe nawe umetumwa na nani???????


Natunza heshima yangu otherwise ningekutusi vibaya...........
 
<br />
<br />
kwa maoni yako bunge la sasa linaongozwa vizuri sana kuliko lilopita sio,mbona hizo tuhuma wahusika walizifanyia kazi na hawakukuta ushahidi,wewe sema unachuki binafsi na sita,yanayotokea sasa hayafuti kazi nzuri aliyoifanya kipindi chake,hivi sasa hakuna bunge ni ushabiki wa maspika na wenyeviti kwa CCM ,Nasikitika kuwa wanazidi kuichimbia CCM kaburi
 
hivi kuwa na pesa zaidi ya kipato chako ni kosa? Mbona takukuru wamelala basi maana kuna watanzania wengi tu wana mabilioni yao kwenye mabenki humu nchini bila woga wowote..
 
Nimefunguka akili kuhusu huyu Mzee, ila hili la vimada kutumia magari ya serikali mhh!
 

Simuungi mkono Sitta hata kidogo. Lakini suala la kusema Sitta ameng'ang'ania kwenye nyumba ya Spika nashindwa kulielewa na kulikubali. Hivio Sitta anaweza kung'ang'ania na Serikali ikakaa kimya tu na kumwangalia. Basi itakuwa hatuna Serikali hata mimi naweza kung'ang'ania kuwa ni waziri mkuu na ikawa. Hao CCJ wataparurana tu muda si mrefu kwa kuwa kila mtu anataka madaraka.
 



Mkuu, inaonekana ulikuwa na haraka sana kuandika upupu huu, ukiogopa wenzio ofiisini wasiuone, maana ungeaibika. Vitu havina kichwa wala miguu!!! Watakaopoteza muda wao kuijadili thread hii nitawashangaa sana. Kuna msomi mmoja simkumbuki kwa jina alipata kunena "A little knowledge in a variety of subjects makes any fool wise in the midst of fools".
 
makubwa jamani inahuzunisha na inakatisha tamaa sana sina lakusema lakini Mungu ndie anajua
 
Na bado anadai wabunge wa Tanzania wanalipwa kidogo kulinganisha na wabunge wa Kenya na hata South africa! anacheza huyu mbona halinganishi kima cha chini cha watanzania na hizo nchi?

Huyu ananuka ufisadi its time to go....


Mnamwonea sana huyu

kosa lake ni nini hasa jamani? ufisadi au wizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…