Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Huyu mtu anaeitwa samwel sitta ni mmoja kati ya watu mafisadi nchini ingawa yeye anataka kujionyesha ni mtu mwema..anaitwa spika mstaafu lakini ukweli siyo spika mataafu kwani aligombea uspika na akashindwa,pamoja na kupewa mafuta ya gari(petrol) lita 1000 kwa mwezi pamoja na dereva,mlinzi bado kagoma kutoka katika nyumba aliyotakiwa kukaa spika anna makinda,analipiwa kodi ya dola 8000 za kimarekan kwa mwaka na wakati huo huo serikali imempa anna makinda pesa kwa ajili ya kukarabati nyumba yake iendane na hadhi ya uspika,anasafiri kwa anasa kama spika na yeye wala hazungumzi hili wala kuonea uchungu pesa za watanzania..nachojiuliza yeye analipwa hataki kutoka katika nyumba ya spika kwa nin?serikali inaingia hasara ya million 12 kwa kodi yake kama nan?lita 1000 za ubunge/uwaziri anapewa tena lita 70 za uspika za nini?
huyu ni mtu hatari sana katika tanzania yetu na hatuwezi kufika katika nchi ya ahadi na mtu kama huyu..

nawakilisha hoja
 
wewe unajua ufisadi ni nini mbona mi siuoni hapo je lowasa kuendelea kulipwa kama waziri mkuu mstaafu nani asiyejua alijiuzulu sitta anatakiwa aenziwe we uliona wapi bunge iliyofanya kazi kama lake ulikuwa hujui hata nchi inaelekea wapi sasa hivi unaufahamu hiyo yote ni freedom mliyopewa na bunge lenu
 
Huyu mtu anaeitwa samwel sitta ni mmoja kati ya watu mafisadi nchini ingawa yeye anataka kujionyesha ni mtu mwema..anaitwa spika mstaafu lakini ukweli siyo spika mataafu kwani aligombea uspika na akashindwa,pamoja na kupewa mafuta ya gari(petrol) lita 1000 kwa mwezi pamoja na dereva,mlinzi bado kagoma kutoka katika nyumba aliyotakiwa kukaa spika anna makinda,analipiwa kodi ya dola 8000 za kimarekan kwa mwaka na wakati huo huo serikali imempa anna makinda pesa kwa ajili ya kukarabati nyumba yake iendane na hadhi ya uspika,anasafiri kwa anasa kama spika na yeye wala hazungumzi hili wala kuonea uchungu pesa za watanzania..nachojiuliza yeye analipwa hataki kutoka katika nyumba ya spika kwa nin?serikali inaingia hasara ya million 12 kwa kodi yake kama nan?lita 1000 za ubunge/uwaziri anapewa tena lita 70 za uspika za nini?huyu ni mtu hatari sana katika tanzania yetu na hatuwezi kufika katika nchi ya ahadi na mtu kama huyu..nawakilisha hoja
Pole sana mwakichi kama hukulijua mapema hilo!Sitta ni kati ya mazee mufilisi wa taifa hili!ni FISADI kubwa,ni CHONGANISHI,ni LIYUMBISHA serikali ya MAGAMBA,linazuga tu kuwepo CCM sababu roho ipo CCJ!
 
Jibu ni ndiyo: nyumba anaiyoishi kwa mwezi rent yake ni 12m
 
Yeyote anae mdisi samwel 6. Nijuavyo mimi ni hawahawa magamba wala sio mwingine. Kwani sita wana ona kama kondoo anae toka kundini. Chance for CDM.
 
Huyu ni fisadi na hakuna haja ya kumtetea. Ni kati ya watu wanafiki kuliko wote nilio wahi kukutana nao. Nina story yake ya ukweli nitawapa baadae kama nikipata muda! ni fisadi mkubwa sana
 
SITTA ni kinyaa kwa TAIFA
zaidi ya ufisadi ni bwanyenye mkoloni mweusi
 
Kila binadamu anayo mapungufu yake yapo mema na mabaya hakuna malaika.
 
Mtoa hoja unahoja nzuri ila kwa vile umekurupuka mpaka inaelekea kufoka povu, inanifanya nione uko personal zaidi kuliko kulinda maslahi ya taifa...

Cha msingi kujiuliza ni je Sitta ni spika pekee mstaafu anayelipiwa nyumba na marupurupu mengine? Je umefuatilia Pius Msekwa kama analipiwa nyumba na stahili nyingine ulizotaja? Pamoja na kwamba bado ni active kwenye chama chake kwa nafasi ya makamu mwenyekiti (ambayo nayo ina msururu wa marupurupu) na pesa ya chama kwa kiasi kikubwa ni kodi zetu wanazolipwa kama ruzuku? kwa hiyo kimsingi ni pesa za umma!

Kama ni suala la sheria, basi bunge hasa hili la vyama vingi lipeleke hoja binafsi ya kutaka yafanyike mabadiliko ya sheria tajwa na kustate kwamba,
stahili za kustaafu zitaanza kulipwa pale mtu atapokua ameachana na siasa na uongozi wa nchi au chama.

Bila hivyo tunarudi kulekule kwa kutazama sheria based on nani anatukera ili tummalize kisiasa. Nina hakika Sheria mbaya ndio mzizi wa matatizo!

Si umesikia ya Nahodha kutaka kulipwa stahili zake kama waziri kiongozi mstaafu, ilihali ni waziri wa mambo ya ndani??.... TAFAKARI!
 
hao ndio magamba, hakuna magamba mwenye huruma hata kidogo, gamba ni gamba tu!
 
Huyu ni fisadi na hakuna haja ya kumtetea. Ni kati ya watu wanafiki kuliko wote nilio wahi kukutana nao. Nina story yake ya ukweli nitawapa baadae kama nikipata muda! ni fisadi mkubwa sana
mwaga tunaisubiri kamanda
 
Safari bado ndefu! Sitta watu wanakufa njaa, kwani hujajenga nyumba Dar miaka yote hiyo. I hate you
 
huyu mzee ni fisadi sana achilia hiyo ya kukaa kwenye nyumba ya spika. Six alijenga ofisi ya uspika kule urambo tabora kwa mamilioni ya walipa kodi na alijenga akiamni kwamba yeye ataendelea kuwa spika wa bunge milele so awe anaitumia hiyo ofisi akiwa jimboni kwake.
Je ile ofisi aliyo shinikiza ijengwe inatumika kwa ishu gani kwa sasa? Make yeye c spika tena?
Huyu jamaa ni popo means c ndege wala c mnyama
 
Jamani naomba kuuliza,
Ni Sitta amekataa kuhama kwenye hiyo nyumba ya spika au Serikali imeshindwa kumwamisha?
Hivi kuna mtu mwenye nguvu kuliko Serikali? Serikali imeshindwa kumwamisha?
Na je, Serikali yenyewe haijui kuwa Spika wa sasa sio Sitta?
 
Huyu mtu anaeitwa samwel sitta ni mmoja kati ya watu mafisadi nchini ingawa yeye anataka kujionyesha ni mtu mwema..anaitwa spika mstaafu lakini ukweli siyo spika mataafu kwani aligombea uspika na akashindwa,pamoja na kupewa mafuta ya gari(petrol) lita 1000 kwa mwezi pamoja na dereva,mlinzi bado kagoma kutoka katika nyumba aliyotakiwa kukaa spika anna makinda,analipiwa kodi ya dola 8000 za kimarekan kwa mwaka na wakati huo huo serikali imempa anna makinda pesa kwa ajili ya kukarabati nyumba yake iendane na hadhi ya uspika,anasafiri kwa anasa kama spika na yeye wala hazungumzi hili wala kuonea uchungu pesa za watanzania..nachojiuliza yeye analipwa hataki kutoka katika nyumba ya spika kwa nin?serikali inaingia hasara ya million 12 kwa kodi yake kama nan?lita 1000 za ubunge/uwaziri anapewa tena lita 70 za uspika za nini?huyu ni mtu hatari sana katika tanzania yetu na hatuwezi kufika katika nchi ya ahadi na mtu kama huyu..nawakilisha hoja
Hebu nikumbushe tena Lowassa hua mnamuita nani vile.............. Aliejiuzuru au aliestaafu? jibu kwanza then naweza changia thread yako
 
Mtoa hoja unahoja nzuri ila kwa vile umekurupuka mpaka inaelekea kufoka povu, inanifanya nione uko personal zaidi kuliko kulinda maslahi ya taifa...

Cha msingi kujiuliza ni je Sitta ni spika pekee mstaafu anayelipiwa nyumba na marupurupu mengine? Je umefuatilia Pius Msekwa kama analipiwa nyumba na stahili nyingine ulizotaja? Pamoja na kwamba bado ni active kwenye chama chake kwa nafasi ya makamu mwenyekiti (ambayo nayo ina msururu wa marupurupu) na pesa ya chama kwa kiasi kikubwa ni kodi zetu wanazolipwa kama ruzuku? kwa hiyo kimsingi ni pesa za umma!

Kama ni suala la sheria, basi bunge hasa hili la vyama vingi lipeleke hoja binafsi ya kutaka yafanyike mabadiliko ya sheria tajwa na kustate kwamba,
stahili za kustaafu zitaanza kulipwa pale mtu atapokua ameachana na siasa na uongozi wa nchi au chama.

Bila hivyo tunarudi kulekule kwa kutazama sheria based on nani anatukera ili tummalize kisiasa. Nina hakika Sheria mbaya ndio mzizi wa matatizo!

Si umesikia ya Nahodha kutaka kulipwa stahili zake kama waziri kiongozi mstaafu, ilihali ni waziri wa mambo ya ndani??.... TAFAKARI!

huwezi kujustify ufisadi mmoja kwa kulinganisha na ufisadi mwingine na kudai kila mtu anafanya kwahiyo ni sawa, unafanya tena kosa lingine kusema kuwa sitta ni spika mstaafu siyo kweli sitta alianguka kwenye primary za ccm kwenda kugombea uspika kwa kukosa sifa zilizoitajika ingawa binafsi sikubaliani nazo lakini ndio ulikuwa uamuzi wao so basically sitta was kicked out of the office hawezi kuendelea kupokea marurupu ya spika mstaafu kwani hakustafu kumbuka alitaka kugombea mtu anayestaafu hawezi kugombea cheo anachotaka kustaafu. naodha naye pia ni fisadi mwingine kama alivyo sitta kwa kutaka kujitwalia malipo hasiyostaili.
 
Back
Top Bottom