Kinyambiss
JF-Expert Member
- Dec 2, 2007
- 1,374
- 76
Kila mtu ananjaa including 99% percent ya wachangiaji humu... hii discussion haina ata maana zaidi yakula muda tuu.
Siku za karibuni limeibuka kundi la watu ambao wako tayari kufa au kufanya lolote lile kumtetea Sita,
wamevuka mipaka kiasi cha kutojadili maada au hoja bali kumtetea tu! ninachofahamu ni kuwa
Sita+Mwakyembe+Lowasa+Rostam+Kikwete+Warioba+Kilango+Makamba+Ngeleja+Masha+sofia Simba+Mkapa=CCM.
watu mtakaojitokeza kumtetea yoyote katika hao na kuponda wengine nadhani ni kutokutumia akili ya kawaida kabisa ya kuzaliwa!
However, inapendeza zaidi kuwatetea baadhi ya watu mliowapa majina ya wapiganaji kama wewe ni mwana CCM, yaani mmoja wao, ila inahuzunisha beyond words ukimkuta mtu mwenye akili timamu anatoka povu kumtetea Sita ana kina mwakyembe ambao ni wasaliti na wezi kabisa wa tafa hili ,jana leo, na hata kesho, never even mention akina EL na AR,
CCM lao moja! kipindi hiki cha uchaguzi ndio mtawaona kwa matendo yao! waoi Kilango? wapi Mwakyembe? kelele ziko wapi? wanaofadhili hizo chaguzi zenu ni akina nani?
hapo kwenye nyekundu INA MAANA KATIKA HILO KUNDI LA WATU WA KUWATETEA WA KINA SITTA WEWE HAUMO, NA KAMA AHUMO, BASI HUMO KATIKA KUNDI LA KUMPINGA SITTA NA TIMU YAKE ULIYOIWEKA HAPO JUU
KWA MAANA MOJA AU NYINGINE, HAO WOTE WALIO KWENYE HILO KUNDI (list yako hapo juu) HAWATUMII AKILI YA KUZALIWA KABISA, KWA SABABU ANAYEWATETEA HAO HATUMII AKILI KABISA, WOTE NI WAMOJA`
KWA MAANA MOJA AU NYINGINE WEWE HUWATETEI HAO NA UNATUMIA AKILI ZAKO ZA KUZALIWA, SASA SWALI NI KUWA WEWE NA MBATIA MNA TOFAUTI GANI?
WOTE MKO KWENYE MISIMAMO SAWA YA KUTOWATETEA HAO JAMAA (kwenye hiyo list yako) KWA KUTUMIA AKILI ZENU
SASA SIJUHI KWA NINI UNANIAMBIA BADO SIJAKUWA KWA KUIENDELEZA HIYO LOGIC YAKO YA if A=B and B=C, then A=C
maana inabaki kuwa ile ile kama Mrema=Mbatia and Mrema =Kikwete and Mbatia=Wareboya (misimamo sawa) and Kikwete=CCM, then Mrema=Mbatia=Kikwete=Wareboya=CCM, kumbe hili ni bonge la cycle
Ndani ya CCM Fisi,Chui na kondoo wanaishi zizi moja. Kwa manufaa ya wananchi wengi watanzania tutamuunga mkono yeyote atakayesaidia kubomoka hili zizi .
Kwa yeyote yule atayesaidia kuleta utengano kwa hawa wanyama ataungwa mkono no matter
Awe msafi au mchafu kiasi gani
Awe mzalendo wa kweli au ana ajenda binafsi
Sitta na wenzake wanaungwa mkono si kwasbabu ni wasafi bali tunawaunga mkono sababu .........
Jamani haya malumbano yanaboa sasa..Hivi hatuwezi tukajadili mambo ya maana kuliko kuendelea kujadili watu?Kujadili watu kutabadilisha chochote au nikujilisha upepo na kupoteza muda?Kuna msemo unasema condemn the fauty and not the actor of it.tuajdilini hoja jamani na sio watu inaboa.
Asante mkuu:
Ebu toa mfano wa kitu gani kikijadiliwa anajadiliwa mtu....
Na akitu gani kikijadiliwa inajadiliwa hoja......
wengine hatuelewi pengine
.Ninapenda sana tactics za rostam... amegundua wapinzani wana njaa sana na hiki ni kipindi cha mavuno na anawatumia vizuri sana siku hizi
bado yeye kupenyeza rupia CHADEMA sasa, and i am hopeful hiyo haitatokea
At least mtazamaji unaweka benchmark nzuri
Naomba niorodheshee alichofanya Sita akiwa spika! kinachomfanya awe distinguishe personel ndani ya CCM unayotaka iondoke!
By the way; are you hopping kuwa CCM itagawanyika siku moja? how and why?
Tukifikia muda tukaona ukombozi wetu unatoka CCM, why dont we declare the monoparty system?
Kwa mfano hoja hapa ni ufisadi wa Sitta kwa mujibu wa Mbatia..Mimi naona kuliko kujadili kwamba Sitta sio fisadi au ni fisadi wala hatufiki popote kwani mimi naamini ndani ya serikali ya CCM tukianza kumkagua mmojammoja tutakuja kugundua wote ni mafisadi hata hao wanaojifanya ni wapinga ufisadi,haponi mtu kama Sophia Simba alivyowahi kunukuliwa.Kwahiyo mimi nashauri tatizo hasa ni nini? na tutafute dawa ya kukomesha hii hali ya ufisadi.Its obvious kwamba Sitta atajitetea kwa gharama zozote zile na mwisho wa siku ataonekana msafi kama ambavyo wanavyoonekana kina RA mpaka kufikia kupigiwa debe na kina Pinda kwenye majimbo yao.
Weberoya
Binafsi sijui sitta aliachofanya zaidi ya na kutangza na kuonyesha kuwa CCM si moja(Mfano kasema nusura anyanganywe kadi sababu ya kutetea haki).
Kuidhoofisha au kuparaganyika kwa CCM ni one way ya kuelekea mabadiliko ya kweli.
Awe Zitto , Dr slaa ,Lipumba, Sitta Mwakyembe, JK yeyote atakefanya kitu chochote kile kitakachozua mjadala wa mstakabli ndani ya CCM au makundi yake atakuwa anatusaidia wanachi.So upande 1ja wa shilingi namkubali sitta kwa hilo. Atleast Fisi na chui wameshtukiana ingawa wako zizi moja.
CCM itagawanayika one day na nyufa ndio hizi tunaziona. Kugawanyika kikweli kweli itachukua muda but CCM si sasa si moja.Na hivi sasa tofauti zao tunaziona na wao wenyewe wananyoosheana vidole. Ile kasumba ya collective repsosnibility kubeba lawama/kashfa inapotea taratibu- which is good kwa watanzania
CCM Itagawanyika vipi
So CCM inagawanyika kwa
- vita ya madaraka,
Binafsi sina Chama but I can see CCM leadership is there for quite sometime. Its only after iCCM is distabilised when we can predict ni lini tunaweza kuwa na wabunge wengi nje ya CCM kama si nusu ya wabunge CCM
- kasfa za kifisadi zimewekwa hadarani na baadhi ya wana CCM sasa wananyosheana vdole kujisafisha.
.
Hakuna cha rostam wala nan.
Sitta ni fisadi tu na mwengi yanayosemwa ni ukweli.
Amekuwa madarakani miaka kibao na leo hii eti ni shujaa wa ufisadi?
Kama Tanzania ina akina Fiels Marshall wengi ambao wanashindwa kuona basics ,na kusema Six hafai,we are doomed!
wengi hatupendi kuusikia huu ukweli! watu wakiambiwa basi povu linatoka
- Mkuu Waberoya tunajadili siasa ya taifa letu, demokrasia ni wewe kusema na mimi kusema, hoja wka hoja kwangu Sitta ni bora kuliko rostam, sasa na wewe sema mawazo yako sio ya mapovu maana hutapenda majibu ya mapovu, mkitaka kujadili wenyewe sauti moja tutawapa nafasi.
Es!
nani anafanya comparison ya sita na rostam kwenye thread hii?
nani anasema tunaangalia ubora wa wanachama wa chama kimoja? gs kasema tujadili hoja, na tumeshahama kumjadili mtu naona unaturudisha nyuma) hoja hapa ni ccm haifai! Siyo sita na rostam, wewe utafanya comparison kwa sababu ni mwana ccm,
hivi niliposema wanatoa mapovu na wewe ulikuwemo?
Naomba usijibu post zangu hizi maana wewe ni mwana ccm! Hatutaelewana, siwezi kabisa nikafanya comparison ya sita na rostam, kwangu wote mafisadi, kwako wewe fanya na waza unavyoweza kusema, !!
astahili kuulizwa hilo swali, hasa kutokana na mlango aliotumia kuingia katika malumbano na Mh 6, au naye kaguswa na ile kauli ya UKWELI viongozi kununuliwa na mafisadi ili kuwapaka mafuta ya uto il wang'ae kwenye jamiiinakuhusu nini sasa?kama alimaliza au hakumaliza shule inahusikaje hapa?off point
Kama shule ilimshinda ndio ataweza siasa? siajabu atashindwa hata kumalizia huo uenyekiti ahamie kwa rostam kutafuta pesa
Kigogo trust me, kutomaliza shule ni dalili tu ya kukosa reliability kwa chochote
Mbatia hakumaliza chuo alifukuzwa wakati wa ngomo wa 1992, siku ya mwisho kuwa UDSM ni pale aliposimama FOE kuongea siku ya kunji majira ya saa tisa mchana, saa 10 chuo kikafungwa tukaondoka wote mbatia hakurudi alikuwa kati ya wale waliofukuzwa moja kwa moja na rais mwinyi.
Ila nasikitika nasikia eti siku hizi ni shoga, binafsi sikupata kujua hilo na sina ushahidi.
Chuoni alikuwa mpiganaji mzuri kama kina Magori sasa ni mkurugezi wa oprations NSSf pia rais wa pili wa TFA