- Ukiamua kumshambulia kiongozi kama Spika wa sasa, ni lazima uwe na facts kuliko hizi circumstantial evidence, sema aliiba hela flani sio alitumia kununua flani it does not make a sense, alitumia hela kukodi nyumba huo ni uamuzi wa Serikali sio wa Sitta, najua kuwa viongozi wetu wengi wa sasa sio malaika, lakini ninam-support Sitta kwamba ni afadhali kuliko mafisadi,
- Na Mungu amsaidie sana aendelee na moyo huo huo alionao mgumu sana wa kusimama bila kuogopa mafisadi, kama sio yeye Lowassa angekwua bado anachota hela zetu as he wished, no wonder makelele against Sitta ni mengi mno, kuna waliopoteza mlo kutokana na msimamo wa Sitta.
Respect.
FMEs!