Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

- Mkuu heshima sana, yaani hizi ndio tuhuma za kumfanya Sitta kuwa hafai? That is all?

FMEs!
-Alifilisi CDA
-Alipokuwa TIC alitumia mabilioni ya serikali kutengeneza nyumba yake
-Ananunua dawa eti ya milioni mbili kwa receipt fake

Jamaa ni jambazi tu kama akina Lowassa, RA na wengine.
 
Eti wasafi ni hao ambao wanatumbua pesa za maskini bila kuona aibu? Nyumba ya dola karibu 10,000 kwa mwezi kwa Tanzania sio tu ni ufisadi wa ngazi ya juu bali pia ni ukichaa.

Hawana tofauti na hao wanahangaika kwenye hospitali za Wazungu kwa checkups na kutumia mabilioni huku Watanzania wanakufa kwa malaria. Kisha eti wanajiita ni wapambanaji wa ufisadi.

Tanzania imejaa wajinga ambao wanayumbishwa na viongozi bomu ambao wamekuwa wakiliibia taifa miaka na miaka bila kuwajibishwa.

Mizee inaongozana Ulaya na familia, wapambe, walinzi, wapishi kwa ajili ya checkups tu, kweli hili taifa gani?

- So far yote uliyoyasema yamo kwenye sheria na katiba zetu, sasa labda katiba ndio mbovu kuwa mzeee sio kuvunja sheria kwenye katiba yetu, unless kama una lingine mkuu! Nyumba kulipiwa ni uamuzi wa serikali sio kiongozi, kusafiri nje na wasaidizi ni katiba sio uamuzi wa kiongozi.

- Mind you kuwa mijinga inaweza kuwa ni pamoja na kulazimisha hoja hata isipokuwepo.

FMEs!
 
Hakuna hata mtu mmoja ambaye msafi ndani yao hivyo lazima wakae wajichunge vizuri sana, Hongera kwa kuona hilo
 
-Alifilisi CDA
-Alipokuwa TIC alitumia mabilioni ya serikali kutengeneza nyumba yake
-Ananunua dawa eti ya milioni mbili kwa receipt fake

Jamaa ni jambazi tu kama akina Lowassa, RA na wengine.

- Sitta aliwahi kuwa CDA? When was that?

FMEs!
 
- So far yote uliyoyasema yamo kwenye sheria na katiba zetu, sasa labda katiba ndio mbovu kuwa mzeee sio kuvunja sheria kwenye katiba yetu, unless kama una lingine mkuu! Nyumba kulipiwa ni uamuzi wa serikali sio kiongozi, kusafiri nje na wasaidizi ni katiba sio uamuzi wa kiongozi.

- Mind you kuwa mijinga inaweza kuwa ni pamoja na kulazimisha hoja hata isipokuwepo.

FMEs!
Sheria gani zaidi ya ujambazi tu?

Wameshika hatamu na wanatumia manguvu kupitisha sheria za kulinda uwizi wao.

Halafu wanakuja kutudanganya wananchi, eti ni wasafi, ujinga mtupu. Kweli wewe msafi utatumia mamilioni kwenda kufanya checkups nje huku wananchi wako wanakufa kwa malaria?

Huhitaji hata kuwa na O-level kujua kwamba huo ni ukichaa na usio na molarity hata chembe.
 
- Kwani the greatest Mwalimu alifia wapi mkuu ilikua Muhimbili? Mpaka tutakapokuwa na Hospitali nzuri ndio viongozi wetu watatibiwa hapa hapa nyumbani, kama kuna sheria haifai basi ni bunge na wabunge ndio wanatakiwa kuivalia njuga, anyways naomba kukaa pembeni maana sioni kitu hapa.

Es!
 
Mbati kwanini amekuja late kiasi hiki? Hivi ni kwanini hawa viongozi wa vyama vya upinzani wanaipapatikia sana CCM? Wana matatizo gani? Mtu kasema kuwa anahisi CCM inamfadhili Mrema yeye kama kiongozi wa upinzani badala ya kutumia hiyo kama point ya kuattack CCM anawasihi waijibu na wasipoijibu ni kweli, so what? Unatakiwa utumie weakness ya mpinzani wako kumuangusha.

Yaani hawa upinzani ni kama vile wamesharidhika na Kikwete kuendelea kuongoza tena, kwanini wanampapatikia hivi? Sitta yeye ni kiongozi wa Bunge na anatakiwa ashutumiwe kwa kuliendesha Bunge vibaya na kuruhusu hoja za msingi zipite bila kutolewa maamuzi sahihi, sasa anapoteza muda kumjadili mtu asiyegombea urais why? Hivi wamereidhika na Kikwete hawa?

Nilishasema awali kuwa no one is clean in this country, hata hawa upinzani nao ukiangalia background zao lazima walishafinyanga sehemu wote ni uozo lakini pale mtu anapoijitokeza kuonyesha mapambano kwanini unataka kumrudisha nyuma? Kama hutaki yeye awemo mbona wewe haumo?
 
- Kwani the greatest Mwalimu alifia wapi mkuu ilikua Muhimbili? Mpaka tutakapokuwa na Hospitali nzuri ndio viongozi wetu watatibiwa hapa hapa nyumbani, kama kuna sheria haifai basi ni bunge na wabunge ndio wanatakiwa kuivalia njuga, anyways naomba kukaa pembeni maana sioni kitu hapa.

Es!
Mwalimu hakwenda Europe kufanya checkup, alikuwa anaumwa na nchi ikaamua kujaribu kuokoa maisha yake. Ni tofauti sana na hao waliojitungia sheria ya kijambazi ili kuendelea kuliibia taifa kwa safari za checkups Ulaya.

Kumbe hata hujui Sitta alikuwa mkurugenzi wa CDA? Angalia records zako.
 
- Mkuu wangu nimemuona Mwalimu mara nyingi tu nikiwa US akija kutibiwa na chekup na simmlaumu maana hata wamarekani wenyewe hwua wanaenda Mayo kutibwia na chekup, sheria zetu zimetunwga na bunge tena lenye wabunge wa upinzani na CCM!

- Sio lazima nijue Sitta aliwahi kuwa wapi au hakuwa, nimeuliza wewe ni kunjulisha fact, ndio maana tupo hapa kuelimishana, najua Sitta aliwahi kuwa TIC lakini sikujua kwamba aliwahi kuwa CDA, ahsante kwa hizi taarifa.

Es!
 
Mbatia ulikuwa wapi siku zote usiuelezee umma hayo machafu ya six, yaani unasubibiri mpaka amshambulie mpinzani mwenzako?.wanasiasa simameni imara mtetee Taifa lenu na si ku-concentrate na siasa za visasi.

Be serious.. ata angesema 2005 still mngesema bla bla zenu amenunuliwa.. Mbona mrema amemsema wa kwanza na mmesema amenunuliwa.. changieni contents of his words not bla bla.. which is irrevant
 
- Ukiamua kumshambulia kiongozi kama Spika wa sasa, ni lazima uwe na facts kuliko hizi circumstantial evidence, sema aliiba hela flani sio alitumia kununua flani it does not make a sense, alitumia hela kukodi nyumba huo ni uamuzi wa Serikali sio wa Sitta, najua kuwa viongozi wetu wengi wa sasa sio malaika, lakini ninam-support Sitta kwamba ni afadhali kuliko mafisadi,

- Na Mungu amsaidie sana aendelee na moyo huo huo alionao mgumu sana wa kusimama bila kuogopa mafisadi, kama sio yeye Lowassa angekwua bado anachota hela zetu as he wished, no wonder makelele against Sitta ni mengi mno, kuna waliopoteza mlo kutokana na msimamo wa Sitta.

Respect.

FMEs!

As far as i know sitta pia ni serikali ni among important figure of the goverment? na kama yeye hapendi kuwa fisadi kwanini hakufanya kama jaji kiongozi mkuu? It doesnt take a genius to know tanzania is a poor country, so why couldnt he ask to live in less expensive house and use the rest of the money to improve education or health system in tz?
 
- Kwani the greatest Mwalimu alifia wapi mkuu ilikua Muhimbili? Mpaka tutakapokuwa na Hospitali nzuri ndio viongozi wetu watatibiwa hapa hapa nyumbani, kama kuna sheria haifai basi ni bunge na wabunge ndio wanatakiwa kuivalia njuga, anyways naomba kukaa pembeni maana sioni kitu hapa.

Es!

Mwalimu kufia St Thomas Uingereza ilikuwa embarrassment kwa taifa ta Tanzania!
Kumbuka Nyerere hakutaka mambo ya Wazungu,na baada ya Azimio wengi waliondoka.
Mpaka leo sijarecover na situation hii,hasa baada ya miaka mingi ya uhuru
 
Trust Me hii ni njaa! Na RA anawatumia kisawasawa maana anaijua njaa yao! Where is the motive ya Mbatia kumshambulia Sitta? Mbatia hana jipya na chama chake kila kukicha kinakufa taaratibu! Utakapo shindwa ubunge Kawe tutazika kabisa NCCR. Watu tunapambana mafisadi hapa halafu wewe unaleta mambo yako yasiyo na kichwa wala miguu!
You gt to have guts to rise and affirm your your stance againist Mafisadi especially when you are a senior CCM member. Sitta si genuine!
 
- So far yote uliyoyasema yamo kwenye sheria na katiba zetu, sasa labda katiba ndio mbovu kuwa mzeee sio kuvunja sheria kwenye katiba yetu, unless kama una lingine mkuu! Nyumba kulipiwa ni uamuzi wa serikali sio kiongozi, kusafiri nje na wasaidizi ni katiba sio uamuzi wa kiongozi.

- Mind you kuwa mijinga inaweza kuwa ni pamoja na kulazimisha hoja hata isipokuwepo.

FMEs!

Kama Tanzania ina akina Fiels Marshall wengi ambao wanashindwa kuona basics ,na kusema Six hafai,we are doomed!
 
Ufedhuli,upumbavu na kukosa dira laweza kufanya Taifa hili kuingia vitani. Mwenye hekima huwa natabia mbili,kujibu hoja au kukaa kimya. Nawaza kipi ni sahihi kwa watanzania wote. Jaman hawa watu wamepora utu na thaman ya mtanzania just kwa ma trilion yetu ya kodi wame tuibia. ILA SICHELEI KUSEMA IKIWA MUNGU ANAISHI HAPANA HATA MMOJA ATAKAYE KUWA SALAMA NDAN YA TAIFA ILI IKIWA AMEUSIKA NA HAYO MABAYA. HAPANA ATAKAYE PONA IWE RAIS AU MBUNGE LAZIMA WAZIRUDISHE!
 
Siku za karibuni limeibuka kundi la watu ambao wako tayari kufa au kufanya lolote lile kumtetea Sita, wamevuka mipaka kiasi cha kutojadili maada au hoja bali kumtetea tu! ninachofahamu ni kuwa

Sita+Mwakyembe+Lowasa+Rostam+Kikwete+Warioba+Kilango+Makamba+Ngeleja+Masha+sofia Simba+Mkapa=CCM.

watu mtakaojitokeza kumtetea yoyote katika hao na kuponda wengine nadhani ni kutokutumia akili ya kawaida kabisa ya kuzaliwa!

However, inapendeza zaidi kuwatetea baadhi ya watu mliowapa majina ya wapiganaji kama wewe ni mwana CCM, yaani mmoja wao, ila inahuzunisha beyond words ukimkuta mtu mwenye akili timamu anatoka povu kumtetea Sita ana kina mwakyembe ambao ni wasaliti na wezi kabisa wa tafa hili ,jana leo, na hata kesho, never even mention akina EL na AR,

CCM lao moja! kipindi hiki cha uchaguzi ndio mtawaona kwa matendo yao! waoi Kilango? wapi Mwakyembe? kelele ziko wapi? wanaofadhili hizo chaguzi zenu ni akina nani?

Waberoya mkuu , heshima mbele. Naungana na wewe kuwa siku hizi watu wamejenga tabia ya kutojadili hoja bali nani katoa hiyo hoja. Mbatia anajenga hoja kuwa Sitta hana moral authority ya kuwashambulia wenzie kuwa ni mafisadi na anatoa mifano ya tabia ya Sitta inayomuweka kundi moja na wenzie wa CCM kuwa wote ni Mafisadi!! Sasa hao wanaomtetea Sitta kuwa sio fisadi waje na ushahidi utakaonesha kuwa huyu bwana kama Spika hakupinga hoja ya Dr. Slaa alipoiwasilisha bungeni juu ya ufisadi wa Richmond!! Kama alikuwa sio fisadi kama hao wenzie aliowageuka, kwanini alimshambulia Dr. Slaa kuwa alikuwa mzushi na alikuwa hana hoja ya maana juu ya Richmond !! Kama alivyotanabaisha Waberoya hawa jamaa ni wamoja na hilo litajulikana wakati huu tunavyoelekea kwenye uchaguzi.
 
kutokana na hoja yako hapo kwenye nyekundu

Mrema anamtetea kikwete hivyo Mrema=Kikwete=CCM, Mbatia anamtetea Mrema, Hivyo Mbatia =Mrema=Kikwete=CCM,

Wareboya anamtetea Mbatia, Hivyo

Wareboya=Mbatia=Mrema=Kikwete=CCM, na list inaenda kuunga kwenye list yako hapo juu penye nyekundu

Kama kwa akili yako unaona nilichoandika ni kumtetea Mbatia, basi uko katika wale wa mkumbo, sijasema lolote kuhusu mbatia, na sijajua hiyo conclusion umeitoa wapi, can you tell me., mbatia ana kosa gani mpaka nimtetee, na wapi nilipoonyesha mbatia namtetea? mkuu ebu kua kidogo, acha ushabiki, fanya analysis. mimi nimetoa analysis ya CCM wote lao moja, jibu hoja..
 
Hatudanganyikiiiii!!! Mbatia hivi ulikuwepo nchini wakati wa mpambano dhidi ya mafisadi? Mbona hatukusikia ukitolea ufafanuzi wa upande uliokuwa? Thanks God hapa umetuzihirishia ulikuwa upande wa kina RA japo ulijizuia kusubiri wakati huu muafaka wa mavuno. Mtikila alichukua ajira kama yako wakati wa mavuno madogo ya kwa Wangwe kilichomfika anakijua mwenyewe. Yaani mbatia kutangaza kugombea kawe anatafuta huruma za sisiem? Sii urudi huko tena watakupa heshima ya kukabiziwa kadi na Makamba?. Wapinzani tafadhali acheni kujipachika ukatibu uenezi wa ccm.

Kibby, walinaopanga mabaya kawaida hufa kwa hayo hayo yao. Sijajua uko upande gani, ila we better think for the sake of our nation! sina hakika hizo tuhuma za mbatia, zinaweza zikawa kweli au uwongo, then let assume ni kweli, je jambazi hawezi kumtaja jambazi mwenzake?

I mean kama alichosema mbatia ni sahihi je tusijadili ya Sita kwa sababu yeye naye ni mchafu?

siwapendi opposition goi goi may be more than you do!

Kama Tanzania ina akina Fiels Marshall wengi ambao wanashindwa kuona basics ,na kusema Six hafai,we are doomed!
FMES ni mwanaCCM, na analisema hilo waziwazi na ukimtaja Sita, malecela, january makamba, hiyo thread FMES lazima aingie kujibu mapigo, hana hiyana kuweka msimamo wake, JF ni mahali pa wote, siyo chama cha upinzani ndiyo maana unamkuta FMES yumo akisema lolote kutetea baadhi ya watu CCM.ningekuwa moderator ningekuwa nafuta post zote za kutetea mwana CCM yeyote yule.

Waberoya mkuu , heshima mbele. Naungana na wewe kuwa siku hizi watu wamejenga tabia ya kutojadili hoja bali nani katoa hiyo hoja. Mbatia anajenga hoja kuwa Sitta hana moral authority ya kuwashambulia wenzie kuwa ni mafisadi na anatoa mifano ya tabia ya Sitta inayomuweka kundi moja na wenzie wa CCM kuwa wote ni Mafisadi!! Sasa hao wanaomtetea Sitta kuwa sio fisadi waje na ushahidi utakaonesha kuwa huyu bwana kama Spika hakupinga hoja ya Dr. Slaa alipoiwasilisha bungeni juu ya ufisadi wa Richmond!! Kama alikuwa sio fisadi kama hao wenzie aliowageuka, kwanini alimshambulia Dr. Slaa kuwa alikuwa mzushi na alikuwa hana hoja ya maana juu ya Richmond !! Kama alivyotanabaisha Waberoya hawa jamaa ni wamoja na hilo litajulikana wakati huu tunavyoelekea kwenye uchaguzi.

Mkuu that is logic;

From the Greek “logos” meaning “word.” Logic is study of the principles of reasoning. A set of premises that are examined and arranged so as to bring a conclusion. If A = B and B = C, then A = C.

Deductive logic is the method of validating a claim by means of supportive information where both the claim and the information are necessarily true. For example, People exist. All people breathe. Therefore, all people breathe.

Inductive logic is the method of drawing a conclusion from a set of supportive information, yet the conclusion has not yet been verified. For example, each night I get tired at 10 PM. Therefore, I conclude that tonight, I will be tired at 10 PM

(carm)

Using this simple logic ni ngumu sana kupata mtu msafi ndani ya CCM asiyeassociate na wachafu! kama wanaCCM wenzako ndio watakaolipitisha jina lako ugombee ubunge, na hao wanaokupitisha na mafisadi!, then leo unasema wewe msafi logici inakataa hapa

Lets be fair at least for our own brains!
 
Back
Top Bottom