Unajua unaweza kuwaunapenda kutetea jambo lakini ukawa mjinga kutokana na uwezo wako wa kuelewa........kwa taarifa yako thamani ya kweli ya nyumba ya sitt kwa mwezi ni shillingi millioni tatu na nusu na alioikodisha kwa bunge ni Ruppia investment....na wao sio ya kwao ila wamekodi kwa wakenya na wanakula cha juu zaidi ya million saba,....masaki hakuna nyumba ya familia inayizidi dola elfu 5,Nitajie hio nyumba sio unalopokatu hapa .huu ni wizi
You can have something that is enough but limited.. ! enough that is to satisfy current needs but limited as to its constant supply! I beg u not to get confused.
ndugu yangu rufiji nakubaliana na msimamo wako in generalTatizo la hii forum watu wameshakariri ya kuwa Ufisadi ni pale tuu unapofanywa na Rostam et al.
Tatizo la hii forum watu wameshakariri ya kuwa Ufisadi ni pale tuu unapofanywa na Rostam et al.
Spika Pelosi wa Marekani analipwa mshahara dola 18,000 kwa mwezi sawa na Tshs. 24,000.000 na anakatwa kodi, Spika Sitta analipwa Tshs. 16,000,000 na hakatwi kodi. Akiongezewa na marurupu mengine yawezekana kabisa anamzidi Spika Pelosi kwa mbali.
Mtumishi wa chini wa serikali Marekani anaweza akalipwa USD 2,400 kwa mwezi sawa na Tshs. 3,200,000 kwa mwezi lakini masikini wa TZ analipwa Tshs. 100,000 hadi 300,000 ! asilimia 0.1% - je mpo ?
Tutalinda hadhi ya Spika na wengineo hata kama kwa kufanya hivyo tunawaua watoto wetu kwa njaa na maradhi. Na huyo anayekubali kufanyiwa kufuru kama hii tumweleweje, awe Spika, Jaji Mkuu, Gavana au Raisi mwenyewe na Bunge tunalolichagua kuisimamia serikali kwa niaba yetu , tulieleweje ?
Kwamba Spika aliyetangulia aliweza kuuziwa nyumba zote mbili zilizokuwa za Spika (moja kwake na lingine kwa mkewe) na sasa tunalipa Tshs. 10,000,000 kama pango la Spika na huku Uchaguzi Mkuu unapiga hodi ni uenda wazimu. (NB - Maspika wetu wana bahati ya wake zao kuteuliwa mawaziri !)
wangestaafu in less than 6 months woote!wakatafute "another gold mine".sio spika tu Wabunge wote,kwanza hakuna wanachokifanya huko ilipaswa maximum walipwe laki tano.Harafu mbunge wakati akiwa mbunge sharti aishi jimboni kwake
Spika Pelosi wa Marekani analipwa mshahara dola 18,000 kwa mwezi sawa na Tshs. 24,000.000 na anakatwa kodi, Spika Sitta analipwa Tshs. 16,000,000 na hakatwi kodi. Akiongezewa na marurupu mengine yawezekana kabisa anamzidi Spika Pelosi kwa mbali.
Mtumishi wa chini wa serikali Marekani anaweza akalipwa USD 2,400 kwa mwezi sawa na Tshs. 3,200,000 kwa mwezi lakini masikini wa TZ analipwa Tshs. 100,000 hadi 300,000 ! asilimia 0.1% - je mpo ?
Tutalinda hadhi ya Spika na wengineo hata kama kwa kufanya hivyo tunawaua watoto wetu kwa njaa na maradhi. Na huyo anayekubali kufanyiwa kufuru kama hii tumweleweje, awe Spika, Jaji Mkuu, Gavana au Raisi mwenyewe na Bunge tunalolichagua kuisimamia serikali kwa niaba yetu , tulieleweje ?
Kwamba Spika aliyetangulia aliweza kuuziwa nyumba zote mbili zilizokuwa za Spika (moja kwake na lingine kwa mkewe) na sasa tunalipa Tshs. 10,000,000 kama pango la Spika na huku Uchaguzi Mkuu unapiga hodi ni uenda wazimu. (NB - Maspika wetu wana bahati ya wake zao kuteuliwa mawaziri !)
ndugu yangu rufiji nakubaliana na msimamo wako in general
Mzee Vassil,
Ni jambo la kusikitisha kufikiri ya kuwa simply kwa kuwa sheria aikuvunjwa basi ufisadi aujafanyika. Ni lazima tutambue ya kuwa ufisadi mwingine sio tu unalindwa na sheria; bali, unafanyika kwa mujibu wa sheria pia.

Kwanini katika kupunguza matumizi na kuleta mantiki tusiamue kupunguza matumizi kwa viongozi wote wa umma kuanzia Rais, Makamu, Majaji, Wakuu wa majeshi, vyombo vya umma, Wabunge n.k Hiyo ndiyo movement ya kuungwa mkono; lakini hii ya kuchagua mtu mmoja tu...
Wakati wanafunzi wa Chuo Kikuu walipoandamana kwenda Ikulu ya Nyerere mwanzoni mwa miaka ya 70 kupinga kulazimishwa kuingia JKT na wakidai kuwa kama wataenda JKT basi muda watakaokuwa kule walipwa kama watumishi wa umma, Nyerere aliamuru mishahara ya watumishi wote ikatwe kwani inaonekana ni anasa. Na mishahara yote ikakatwa ili kupunguza hisia kuwa kuna watu wanaishi kifahari mno kutokana na mishahara yao.
Kama tunataka kumkatia "Spita" matumizi ili kuonesha kuwa tunajali hali ya maisha ya watu na kuleta nidhamu ya fedha.. tukate matumizi ya serikali nzima. Lakini ili tujue tunachokata ni kiasi gani hatuna budi kujua viongozi wengine wote wanalipwa kiasi gani, mapango, na pecks nyingine.
Hapa tuwaangalie viongozi wafuatao tu na mtu yeyote mwenye data atumwagie hapa:
Rais
Makamu wa Rais
Waziri Mkuu
Rais wa Zanzibar
Spika na Naibu wake
Mawaziri
Manaibu Waziri
Wakuu wa Majeshi (JWTZ, Polisi, Usalama wa Taifa, Magereza n.k)
Wabunge wote
Wakurugenzi wa taasisi za umma wanaoteuliwa
wanalipwa mshahara wa kiasi gani?
Je wanalipwa posho ya kiasi gani kwa safari ya ndani au ya nje?
Je mawaziri wanapopangishwa nyumba huwa wanalipa kiasi gani?
Pecks zao nyingine ni zipi?
mawazo ya namna hiyo hayana msingi; Kama sheria haifai haina maana hatuitii; tunafanya juhudi kuibadilisha. Kama sheria ni dhaifu tunafanya juhudi kuipa nguvu. Mtu ambaye anatii sheria iliyopo ambayo ni sheria halali unaweza kumuita vyovyote lakini siyo fisadi kwani Ufisadi kunahusiana na kuvunja sheria.
Kwa sababu tukikubali kuwa ufisadi ni kutii sheria basi tuna matatizo mengine kabisa.
Kama tunaona kuwa sheria zilizotungwa zinatengeneza mazingira ya kuruhusu vitendo vya kifisadi kufanyika (kwa kuweka mianya mbalimbali) basi ni jukumu letu kuwaondoa watunga sheria hao na kuwaweka wale ambao watatunga sheria ambazo zitaziba mianya hiyo. Hili naamini ni la kweli zaidi.
Sheria zetu ni dhaifu mno, lakini hawa watunga sheria dhaifu wanatoka wapi? Wanawezaje kuingia madarakani? Well.. "we the people"! Hivyo basi utaona utendaji wao wa kazi unahusiana moja kwa moja na watu waliowawweka.
Kama sisi wananchi wakati wa kampeni tunakubai kanga, mashati, nyimbo na pilau tukawarudisha watu wale wale, wakati tunajua udhaifu wao kiuongozi watakapoanza kuboronga kwanini tuwanyoshee vidole wao?
Sitta hakujipachika Uspika kapigiwa kura na wenzake! Hao waliompigia kura hawakujipachika pale wamepigiwa kura na wananchi.
So.. the buck stop with the people.. that is why.. tunaongoza mapambano ya fikra, kwani bila kubadili fikra, watu hawezi kubadili kura!
Kwenye hii topic sijatia neno... Labda tuangalie kwa ufupi tu...
Nyumba ya zamani ambayo imegeuzwa kuwa Club ni hii hapa:

Na nyumba mpya inayolipiwa $8,000 kwa mwezi ni hii hapa:
8,000 x 12 x 5 = usd 480,000 in five years only housing; kweli masikini hajijui kuwa ni masikini; hata akili haifanyi kazi. Hata Raisi hana akili!