William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Mwanakijiji,
Maneno yako yanachefua , mtu anaweza kutapika.
Wewe umetoka kwenye nchi gani ambaye huoni tatizo kwa kiongozi wa bunge kutumia za nusu bilioni kwa mwaka , kwa ajili tuu ya hadhi yake.
Narudia tena hoja, sio pango tuu bali samani alizonunuliwa na serikali , pamoja na msede unaoworth milioni 300.
Salaam Wakuu wote,
- Eti hoja ni nini hasa hapa, kwamba Spika amejipangia namna ya kuishi kama Spika bila muongozo wa sheria, au what I do not get it?
Respect.
Kamanda Es!
Bado sijaelewa tatizo hasa ni nini? Ukiondoa kilio cha "nchi maskini".. what is the problem?
a. Ni spika?
b. Ni gharama kubwa? compared to whose na kwanini tuna compare na huyo?
c. Ni Sitta?
d. Ni mkataba wa upangaji?
1. ...tatizo ni hizo milion kumi(10) kwa mwezi,
2. usijidai huijui milioni 10 kwa bongo,wizi mtupu hapo na hakuna justification yeyote ya matumizi kama hayo kwa pesa za walipa kodi,
3. cha ajabu unaweza kukuta hiyo nyumba ni yake au ya ndugu yake au fisadi mwezake
4. au unaweza kukuta hata hizo pesa hazilipwi zipo kwenye makaratasi tuu zinaingia kwenye account yake...hawa mafisadi sijui lini watatuachia
b; compared to us wananchi, na kipato cha nchi. Kufanya hayo anayoyafanya huku akijtangaza kuwa naye yumo katika mapambano ya ufisadi ni KUFURU na UNAFIK kuliko maelezo. Kwamba yeye ameikuta kwenye sheria na taratibu is a lame excuse kwa sababu yeye kama kiongozi alipaswa kuona kwamba hilo ni tatizo na angeanzisha mchakato wa kubadilisha ujinga huo aliuokuta. Kwa maelezo haya yote sasa yanaingia-so all items above-a, b, c, and d- are a problem.
b; compared to us wananchi, na kipato cha nchi. Kufanya hayo anayoyafanya huku akijtangaza kuwa naye yumo katika mapambano ya ufisadi ni KUFURU na UNAFIK kuliko maelezo. Kwamba yeye ameikuta kwenye sheria na taratibu is a lame excuse kwa sababu yeye kama kiongozi alipaswa kuona kwamba hilo ni tatizo na angeanzisha mchakato wa kubadilisha ujinga huo aliuokuta. Kwa maelezo haya yote sasa yanaingia-so all items above-a, b, c, and d- are a problem.
I thought leaders should be ready to die for a cause. Well a fight without a martyr is not a fight.
By the way, what kind of accomodation does CHADEMA provide Dr. Slaa and Kabwe in order to protect them against these vicious Mafisadi?
- Sheria ipi ya Jamhuri ambayo imevunjwa na hizo Millioni 10 za nyumba ya Spika? Na hata kama ningekuwa ninajua ninaweza vipi kuingilia sheria maofisa wetu nje wa ubalozi wanaishi kwenye nyumba za hela ngapi mpaka nishangae hizi hela ndogo sana?
- Spika wa bunge la kutunga sheria za taifa kisheria zetu anatakiwa aishi kwenye nyumba ya hela ngapi mbona maneno mengi bila facts? Wekeni facts Spika wa Kenya anaishi kwa hela ngapi? Wa Zambia anaishi kwa hela ngapi? as opposed na wetu ambaye anakiuka sheria ya Jamhuri kufungu kipi hicho na inasema nini hasa?
- Wakuu Tanzania tumeamua kufuata ubepari, katika ubepari serikali haimiliki nyumba za viongozi ikiwa ni moja ya sera za kuhakikisha hela zinazunguka katika kuboresha uchumi, kumilipia Spika na viongozi wote wa juu nyumba ni moja ya hatua muhimu sana katika kuboresha uchumi wa Taifa katika kuhakikisha kwamba wananchi wanaingiza pesa mifukoni mwao huku serikali ikikusanaya kodi katika hela hizo zake yenyewe, unless kuna ishus zingine separate zinazomhusu Spika na ufisadi ambazo mwenye facts anatakiwa kuziweka hapa tuzichambue, lakini la Millioni 10 na nyumba wakati tuna maofisa nje ya nchi wanaolipiwa more than this amount tena on monthly bases, binafsi sioni kuwepo na ishu hapa, Spika hawezi kwenda kuishi kwenye chamba cha kupanga na besides si kuna bajeti ya ofisi ya Spika inayopitishwa na wabunge wetu wa CCM na upinzani sasa hizi kelele ni kwa sababu Spika amepitisha bajeti ya matumizi ya ofisi yake or what?
- Can we talk facts badala ya emotions? I mean some ishus zinahitaji pure facts na hii ni mojawapo! Yaani the third leader on line to run our Government hatakiwi kuishi on $ 10,000 House tena only monthly tu? Aaaaaghhhhhhrrr!
Repsect.
Kamanda FMEs!
b; compared to us wananchi, na kipato cha nchi.
Kufanya hayo anayoyafanya huku akijtangaza kuwa naye yumo katika mapambano ya ufisadi ni KUFURU na UNAFIK kuliko maelezo.
Kwamba yeye ameikuta kwenye sheria na taratibu is a lame excuse kwa sababu yeye kama kiongozi alipaswa kuona kwamba hilo ni tatizo na angeanzisha mchakato wa kubadilisha ujinga huo aliuokuta.
Kwa maelezo haya yote sasa yanaingia-so all items above-a, b, c, and d- are a problem.
They live like any other mwananchi using their salaries to finance their accommodation and other essentials.
Mkuu ES haya ndiyo matatizo thread za JF siku hizi, kuna page 4 za threads ktk hizo zote zenye maana thread 10 au pungufu. Kibaya zaidi kwenye jukwaa muhimu la siasa almost majungu na udini tu. Inaboa kinoma.
anyway karibu Kamanda ES.``
Mkulu Nziku, heshima mbele sana you always have my respect,
- Ninakuelewa sana maana kila ninapopata nafasi ya kuingia hapa maana siku hizi kwangu imekuwa adimu sana, ninayaona sana unayoyasema, na hasa nimesikitishwa sana na ishus za udini zilivyotawala JF ya leo,
- Otherwise, inaonekana ni njama za makusudi za kujaribu kutuvuruga lakini hazitafanikiwa kwa sababu soon JF itakuwa kwenye masafa makubwa na ya ajabu sana kwa taifa letu, nimesha karibia ingawa bado nipo likizo ni kwa sababu tu ya Mkulu wangu George, ndio maana ninachungulia sana in the last four days tena kwa mtandao wa kuazima usiokuwa wangu, inabidi nilipie kwa saa!
- Pamoja na yote JF ita-prevail tu tena big time na very soon maana sasa tumeanza hata kutoa candidates wa uongozi wa juu wa taifa, ingawa kama ulivyosema mengine yanaboa sana!
Respect.
Kamanda FMEs!
...sioni justification yeyote kwa spika wa nchi maskini kama Tanzania kutumia 10,000USD kama house rent na gari ya milioni 300,ni upumbavu na ufisadi wa hali ya juu!
FMS,
May be we should perform a simple math. 10,000 * 12 = 120,000. In 2 years, the amount goes up to 240,000 USD. For this money they could take a loan from a bank and then build a house with all security features needed.
Mzuvendi,I thought that these are the ones should fear for their lives.
FMES,- Mkuu ya serikali kumiliki nyumba yamepitwa na wakati sasa hayapo tena, hizi hela lazima ziwe injected kwenye uchumi wetu kupitia mikononi mwa wananchi na ndicho kinachofanyika kufuatia ushauri wa World Bank, ndio maana pamoja na mapungufu yake yote Mkapa bado uchumi ulikuwa ni one his of strength,
- Huko upande wa pili wa glass mnashindwa kuelewa kwamba gaharama za namna ya kuishi kwa viongozi wetu wa juu sio uamuzi wao, ni bunge letu ndilo linaloamua, sasa kumlaumu Spika ni kutomtendea haki kabisa! Sikatai huenda Spika ana madhambi yake mengine lakini hili la nyumba kwa maoni yangu hapana mkuu hakuna enough facts za kumhukumu.
Respect.
Kamanda FMEs!
Mkuu Kitila heshima yako kwanza,
- As a nation na taratibu za usalama wa taifa kwa viongozi wetu wa juu, ni taifa ndio tunampangia kiongozi namna ya kuishi haamui mwenyewe, ndio maana hawasafiri kwenye Economy ingawa wengi wao wangependa hivyo kwa sababu ni wajibu wetu taifa kuwalinda kwa kufuata sheria za Jamhuri, Spika hawezi on his own kuamua mahali pa kuishi ni taifa ndilo tunamuamulia, hata singetaka hawezi kwa sababu hatuwezi ku-compromise usalama wake kwa sababu tu ya kujaribu ku-save peanuts,
- Kumlaumu Spika kwa sababu ya gharama ya nyumba anayoishi either ni ignorance au ni kukosa hoja za kuikosoa serikali, ndio maana sometimes tunajiuliza kwa wananchi wanaichagua CCM tu, off ocurse kwa hoja kama hizi ni clear kuwa wananchi hawana alternative na kama ipo basi ni very weak au iko kwenye political lifesupport somehwere!
Respect.
Kamanda FMEs!
Mzuvendi,
Once again you are right. But according to FMES our spika deserves an expensive house because of security reasons while it is the same CCM government that sold our taxpayers houses which were already paid for and had adequate security arrangements to accomodate ministers and the house speaker. And by the way who are they renting the house from?