Ni software gani inaweza nisaidia kuandaa bid document kirahisi?

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,498
2,000
Habar wana jamii forum hope mpo poa mm ni mwajiriwa kwenye kampuni X najihusisha na Tender na kwa sasa nimekuwa na shughuli nyingi mno lakin kamwe sijawah kuwaza kuacha mambo ya tenser japo kuna sehemu kuna shida kidogo na naamin humu wapo ambao pia wanafanya hii shughuli.

Shida ipo hv nataka nitafute softwate au system itayoweza nirahisishia majukumu mfano unakuta unaandaa tenderdocument ndan kuna dynamic content.

Dynamic content namaanisha content ambazo unazijaza na zinajirudia rudia yaan ni lazima ya badilike katika kila tenda mfano tu TENDER NO
PROCUREMENT ENTITY ADRESS
TENDERER
WITNESS nk

Humo humo kuna fixed contents haya ni maandish ambayo hayajirudii na yapo fixed karibu karibu katika kila tender
Mfano maandish yaliyojuwepo kwenye.
FORM OF TENDER
BID SECURITY DECLARATION
POWER OF ATTORNEY nk

Pia humo humo kuna hesabu katika PRICE SCHEDULE ambapo TOTAL itabid uiandike kwenye FORM OF TENDER na baadh ya maeneo

Pia kuna attachmenta km
BUSINESS LICENCE
CERTIFICATE OF INCORPORATION
TAX CLEARANCE
TIN etc hizi ni attachemwnt tu

Pia unakuta kunahitajika niweke list ya mikataba au project ambazo nishafanya au LPO local purchase order hapa nazan kuna haja ya data base syatem maana io mikataba lazima iwe ya similar nature and aize sasa nahisi nikitengeneza database nikawa na aelect tu category na time mikataba inajipanga yenyewe na chin kuna copy zake.

Pia kuna vitu vengine huwa vinahitajika kama
POWER OF ATTORNEY
BID SECURITY DECLARATION
BID SUBMISAION FORM nk hz pia zinatumia dynamic content

Na apo bado cjawasiliana na manufacture wanipe bei pamoja na brochure pia manufacture authorization letter hvo unakuta kaz inakuwa ngumu maana kuna mda pia wanataka vitu kama
FINANCIAL STATEMENT
BANK STATEMENT
BID BOMD
ANNUAL TURN OVER nk

Sasa naaamin kwa wajuzi wameshanielewa so nilikuwa nauliza hamna software au syatem inayoweza niaaidia kuandaa BID DOCUMENT kirahisi yaan mm kaz yangu ni kuweka au kupaste yenyewe ina fanya hesabu km excel kisha inalink data

Mm niwe najaza form na yenyewe inaweka katika contents
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom