Kwa wanawake tu: Njia 10 za kumtambua mwanaume asiyefaa

status quo

Member
May 6, 2011
87
38
KWA WANAWAKE TU: NJIA 10 ZA KUMTAMBUA MWAMUME ASIYEFAA.

1. Mwanamume mwenye kundi la marafiki wa kike na hasa ikiwa anawaita dada zake. DADA JIHADHARI! HUYO MWANAMUME NI MALAYA! MFUTILIE MBALI HUYO!

2. Ikiwa unawajua wapenzi wake wa zamani au wanawake wowote aliowahi kuwa nao katika mahusiano. HAKIKA JIHADHARI! DADA HUYO MWANAMUME HAKUFAI NI KAHABA WA KIUME!

3. Ikiwa Mwanaume anapenda kutazama kwa tamaa wanawake wengine mbele yako ikiwa ni pamoja na marafiki zako. Marafiki zako huja na kukuambia kwamba amepogia simu, kawatongoza! DADA JIHADHARI! HUYO MWANAMUME HAKUFAHI NI MALAYA MKUBWA! MFUTE KAZI!

4. Unapokuwa karibu naye simu yake daima ina kuwa ‘Silent', ‘vibrate’ au imefungwa na password. DADA JIHADHARI! HUYO SIYO HUSBAND MATERIAL NI MALAYA! HAKUFAI MKATILIE MBALI!

5. Nyumba yake, chumba cha kulala, gari, nywele za uso ni nzuri sana. Ikiwa unakwenda kwake nguo zake, zulia, pazia, mashuka ya meremeta sana, muziki wa polepole. Hiyo ni tabia yake na wewe si wa kwanza anatafuta kukuvutia kama alivyofanya kwa wengine. DADA JIHADHARI! HUYO NI MWANAMUME MALAYA HAKUFAHI! MKATILIE MBAYA!

6. Yeye kamwe hataki kwenda popote hadharani au mahala pa umma na wewe. Anakataa kukutoa out mahala pa kadamnasi. OGOPA DADA! HUYO NI MWANAMUME MALAYA! HATAKI KUKUGONGANISHA NA WENGINE ALIOWADANGANYA KAMA WEWE! MKATILIE MBALI!

7. Mwanaume mara tu unapokutana naye mara moja anaanza kuzungumza juu ya mambo ya ngono. DADA! JIHADHARI HUYO NI MALAYA! ANAITWA ‘HIT AND RUN' MZEE WA KUINGIA NA KUTOKA. MFUTILIE MBALI HUYO TAPELI MTOTO WA SHETANI!

8. Mwanaume anahifadhi idadi kubwa ya Mipira ya Kiume, na yule anayependa Uzinzi bila Mipira ya kiume. HUYO NI MZINZI NA MALAYA ALIYEKUBUHU! MKATILIE MBALI!

9. Ikiwa wewe uko nje mahali fulani na unasikia maoni fulani ya mwanamke akisifia kuhusu uhodari wa kitandani wa mwanaume wako. JIHADHARI! HUYO MWANAUME! NI MALAYA HAKUFAI! MKATILIE MBALI!

10. Mwanaue yeye daima anashinda katika klabu za usiku, nyumba za starehe, casino, strip club, mlevi, mtu wa starehe! DADA HUYO MWANAUME HAFAHI! MKATAE! MTOTO WA SHETANI HUYO!

**BONUS NA MUHIMU: Hapendi kufanya kazi, hana kazi, mvivu nk alafu anataka Kukuowa; HUYO MTU MKATAE! HUYO NI TAPELI NA MUONGO MKUBWA! MWANAUME HAFAI KABISA HUYO. Hata ADAMU alipewa(na MUNGU) kwanza kazi NDIPO AKAPEWA MKE! “Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza.”— Mwanzo 2:15 (Biblia Takatifu) USIDANGANYIKE! AKIKUOMBA UCHUMBA SWALI LA KWANZA MUULIZE “UNA KAZI?” KAMA HANA MKATILIE MBALI!
 
mkuu tunashukuru💪💪

Ila nafikiri jf wote ni wabobezi kumaanisha ni wazee sasa hawana lakuona jipya tena!!
Labda mitandao ile ya vijana ya ku like picha ungesaidia wengi!!😄
 
Nawasemea wanawake wote, Kwao mwanaume asiyefaa ni;-

1: Mwanaume Asiye na hela wala gari
2:Mwanaume Mfupi
3: mwanaume mweupe
4: Mwanaume ambaye havai tisheti za mapicha picha wala majinsi ambayo hayaja chanwa chanwa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
KWA WANAWAKE TU: NJIA 10 ZA KUMTAMBUA MWAMUME ASIYEFAA.

1. Mwanamume mwenye kundi la marafiki wa kike na hasa ikiwa anawaita dada zake. DADA JIHADHARI! HUYO MWANAMUME NI MALAYA! MFUTILIE MBALI HUYO!

2. Ikiwa unawajua wapenzi wake wa zamani au wanawake wowote aliowahi kuwa nao katika mahusiano. HAKIKA JIHADHARI! DADA HUYO MWANAMUME HAKUFAI NI KAHABA WA KIUME!

3. Ikiwa Mwanaume anapenda kutazama kwa tamaa wanawake wengine mbele yako ikiwa ni pamoja na marafiki zako. Marafiki zako huja na kukuambia kwamba amepogia simu, kawatongoza! DADA JIHADHARI! HUYO MWANAMUME HAKUFAHI NI MALAYA MKUBWA! MFUTE KAZI!

4. Unapokuwa karibu naye simu yake daima ina kuwa ‘Silent', ‘vibrate’ au imefungwa na password. DADA JIHADHARI! HUYO SIYO HUSBAND MATERIAL NI MALAYA! HAKUFAI MKATILIE MBALI!

5. Nyumba yake, chumba cha kulala, gari, nywele za uso ni nzuri sana. Ikiwa unakwenda kwake nguo zake, zulia, pazia, mashuka ya meremeta sana, muziki wa polepole. Hiyo ni tabia yake na wewe si wa kwanza anatafuta kukuvutia kama alivyofanya kwa wengine. DADA JIHADHARI! HUYO NI MWANAMUME MALAYA HAKUFAHI! MKATILIE MBAYA!

6. Yeye kamwe hataki kwenda popote hadharani au mahala pa umma na wewe. Anakataa kukutoa out mahala pa kadamnasi. OGOPA DADA! HUYO NI MWANAMUME MALAYA! HATAKI KUKUGONGANISHA NA WENGINE ALIOWADANGANYA KAMA WEWE! MKATILIE MBALI!

7. Mwanaume mara tu unapokutana naye mara moja anaanza kuzungumza juu ya mambo ya ngono. DADA! JIHADHARI HUYO NI MALAYA! ANAITWA ‘HIT AND RUN' MZEE WA KUINGIA NA KUTOKA. MFUTILIE MBALI HUYO TAPELI MTOTO WA SHETANI!

8. Mwanaume anahifadhi idadi kubwa ya Mipira ya Kiume, na yule anayependa Uzinzi bila Mipira ya kiume. HUYO NI MZINZI NA MALAYA ALIYEKUBUHU! MKATILIE MBALI!

9. Ikiwa wewe uko nje mahali fulani na unasikia maoni fulani ya mwanamke akisifia kuhusu uhodari wa kitandani wa mwanaume wako. JIHADHARI! HUYO MWANAUME! NI MALAYA HAKUFAI! MKATILIE MBALI!

10. Mwanaue yeye daima anashinda katika klabu za usiku, nyumba za starehe, casino, strip club, mlevi, mtu wa starehe! DADA HUYO MWANAUME HAFAHI! MKATAE! MTOTO WA SHETANI HUYO!

**BONUS NA MUHIMU: Hapendi kufanya kazi, hana kazi, mvivu nk alafu anataka Kukuowa; HUYO MTU MKATAE! HUYO NI TAPELI NA MUONGO MKUBWA! MWANAUME HAFAI KABISA HUYO. Hata ADAMU alipewa(na MUNGU) kwanza kazi NDIPO AKAPEWA MKE! “Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza.”— Mwanzo 2:15 (Biblia Takatifu) USIDANGANYIKE! AKIKUOMBA UCHUMBA SWALI LA KWANZA MUULIZE “UNA KAZI?” KAMA HANA MKATILIE MBALI!
Majobless tuna saini wapi mkuu
 
Back
Top Bottom