Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

UDSM ndio baba la baba lao.

MUHAS ni mtoto wa UDSM.
ARU ni mtoto wa UDSM.
DUCE ni tako la UDSM.
MUCE ni bega la UDSM.
Tanganyika Law School ni zao la UDSM.

Maraisi wote wa TZ ni UDSM Alumni.
Achana na Yoweri Kaguta Museveni.
Achana na Paul Kagame.
Achana na Mpambanaji Samora Machel.

Kassim Majaliwa UDSM.
Edward Lowassa (Mabadilikooo) UDSM.
Mizengo Peter Pinda (Mtoto wa Mkulima) UDSM.
Samwel Sitta (RIP- DARUSO President) mpaka akachapwa viboko na JK hadharani UDSM.

Twende:
Zitto Zuberi Kabwe (DARUSO President) UDSM.
Malisa GJ UDSM.
Edo Kumwembe UDSM.
K Bazil UDSM.
Jokate Mwigelo UDSM.

Jeshi la Anga (Airforce Command) linapohitaji graduates miaka yote huwa wanakuja COET kurecruit Engineers.

Hivi vyuo vingine ni kama Takataka tuu.
Havina legacy yoyote.
Vipo tu kwa sababu UDSM haina capacity ya ku admit wanafunzi wote TZ na East Africa.
Acha uongo Malisa sio UDSM,
 
Hata Mimi nimetaharuki , kama na huyu kasoma udsm ,basi maprofesa wa udsm wanatuharibia vijana wetu , kha. Kama jehu hivi hili jamaa
Tumshukuru sana majaliwa kwa kufuta viroba Mkuu tulikuwa tunaenda pabaya sana
 
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.
Mimi nimeisha zoea maneno yake. Maneno yake siku zote hayana faraja, ni majungu, kejeli na kuponda tu
 
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.
Kwani kusifiwa NI LAZIMA? Nani alikulazimisha kusoma Chuo cha Uchochoroni?
 
Tatizo wenzetu wa kanda ya ziwa bado mna ushamba mkubwa wa maana pana ya kitu elimu na pengine nini maana ya mtu kuelimika.

Ndio maana badala ya kutumia elimu mnahangaika na vitu kama eti umesoma wapi au umesoma hadi level gani.
Matokeo yake ndio hayo, ushamba wa elimu haumwishi mtu mpaka anaishia kaburin na ukimtathmini unakuta hajafanya la maana kwa maisha yake na kwa jamii yake.

Until, mtakapoielewa elimu na upana wake, faida ya hiki chombo kinachoitwa elimu tutaisikia kwa wengine tu.
 
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.
Ana kauli za kukera sana! Anaongeza idadi ya wanaomchukia. Hana hekima wala busara kabisa!
 
Kwakua UDSM katika rank ya vyuo duniani iko mbali basi tuajili rais kutoka vyuo bora duniani
 
UDSM ndio baba la baba lao.

MUHAS ni mtoto wa UDSM.
ARU ni mtoto wa UDSM.
DUCE ni tako la UDSM.
MUCE ni bega la UDSM.
Tanganyika Law School ni zao la UDSM.

Maraisi wote wa TZ ni UDSM Alumni.
Achana na Yoweri Kaguta Museveni.
Achana na Paul Kagame.
Achana na Mpambanaji Samora Machel.

Kassim Majaliwa UDSM.
Edward Lowassa (Mabadilikooo) UDSM.
Mizengo Peter Pinda (Mtoto wa Mkulima) UDSM.
Samwel Sitta (RIP- DARUSO President) mpaka akachapwa viboko na JK hadharani UDSM.

Twende:
Zitto Zuberi Kabwe (DARUSO President) UDSM.

Edo Kumwembe UDSM.
K Bazil UDSM.
Jokate Mwigelo UDSM.

Jeshi la Anga (Airforce Command) linapohitaji graduates miaka yote huwa wanakuja COET kurecruit Engineers.

Hivi vyuo vingine ni kama Takataka tuu.
Havina legacy yoyote.
Vipo tu kwa sababu UDSM haina capacity ya ku admit wanafunzi wote TZ na East Africa.
Wewe kalia kuongelea wengine, sijui na wewe watakuongelea lini?
 
Anaehusudu kiingereza namuona kama shule haijamsaidia
Ujue hilo ni swali rahisi sana,, pale unapojiuliza inakuaje mtu katumia more than 7 years in learning using the medium of commnctn ambayo bado inampa shida even to state a correct single sentence in English??? Ni uboya wa mtu au walo mtrain wameshindwa???
 
Back
Top Bottom