Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,044
- 127,589
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesema?? Haki nimecheka huo mfano wakoSheillah, wee kwenu ni wangapi kuzaliwa? Na umezaliwa mwezi gan?? Usikute nawewe ni wale watu ambao, anaweza kukukuta umekaa kwenye kiti.
Kwa heshima ukaamua kumpisha yeye akae.
Maajabu, akatoa kwanza kitambaa, akafuta kile kiti weeee..kisha ndo akakaa.
Ukiwa wa ivo, basi utaumizwa na vingi sana , vingine fanyaga kuvimezea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app